China angekuwa sio mnafki angemsapot waziwazi mrusi kule Ukraine. Mbona UK, France, German n.k zinaungana na US kumsapot Ukraine.
Kwanini China asijioneshe kumsapot Russia kule Ukraine? Jibu ni moja tu, China sivyo kama tunavyoidhania.
Tukisemaga kuwa uchumi wa China umeshikwa na Westerns muwe mnatuelewa. China ajira zake nyingi, ushuru, kodi n.k anapata kutokana na uwekezaji wa Westerns.
Hapo usizungumze export ya china kwenda ulaya na America, ni kufuru. China anapiga pesa ndefu mno kupitia mataifa ya magharibi.
Kumwambia leo avimbe mbele yao ni kutomtakia mema Mchina.