Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,628
- 1,124
Marekani anajivunia soko lake la ndani na uwezo wa watu wake kununua vitu. Unaweza kukuta mauzo yote ya China nje ya China ni madogo ukilonganisha na mauzo china inayapata kutoka Marekani. Inaposhindwa china ni kutengeneza masoko ya ndani.Msuli upi unaozungumzia?
Kila mara Trump anapoongeza tariffs kwa Chinese goods China nayo inaongeza tariffs na kuzuia kuuza baadhi ya bidhaa muhimu kwa makampuni ya Marekani
Ulitaka aina gani ya msuli?