China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

Kama ni uchumi umeimarika tayari mpaka competitor anakimbilia tariffs
Inatakiwa muende zaidi ya hapo ili muwe world super power

Ila umenishangaza yani Rais unasahau hadi nchi yako ni ipi kweli!!!
 
Umesema vyema

Kwa sababu katika international trade, China ina diversification kubwa ya masoko zaidi ya Marekani

Kwa mfano kwa sasa soko kubwa la bidhaa za China ni Global South countries huku Marekani ikiwa ni 13% tu ya China's total export
SASA CHINA WAKO ANALILIA NINI SI AENDE HUKO GLOBAL SOUTH
 
unatuletea upuuzi humu kulinganisha Marekani na China alafu wale watu wako mbele sana kifikra na kiufahamu kuliko wewe na mjomna zako hawana njaaa njaaa kama za kwako asubuhi asubuhi mtu hujajua unakula nini unatuletea habari za China na Marekani hizo ni tabia za mtu aliye jipata au hukosefu wa Kazi we unafikiria wamarekani wanaishi kama wewe??leta mada za maana husituletee uhalo wako wa chuki za kidini nyie mivaa makobazi uwaga ni bure kabisa
Huna hoja kaa pembeni siyo unakata mauno hapa
 
SASA CHINA WAKO ANALILIA NINI SI AENDE HUKO GLOBAL SOUTH
Iende mara ngapi?

20240505_202622.jpg


Ulitakiwa uulize kwa nini licha ya tariffs kuongezwa bado Wamarekani wananunua bidhaa za China? Swali lako lingekuwa na hoja

Ilitakiwa Marekani kama kidume izuie kabisa bidhaa za China zisiingie nchini mwao na sio kuishia tu kuziongezea tariffs
 
Mfn. Kwemye Mzozo kati ya Kiev dhidi Kremlin zile Sanctions aliweka USA na allies wake UK na EU lakin je zili workout?
Kuna popote walipomdhoofisha Putin zaid ya kuiangamiza Kiev?

Huenda una hoja ila shida umekuja kwa mtazamo wa kuitetea Washington in anyway.
Umesema vyema mkuu

Wameweka vikwazo mpaka wamechoka na hakuna walipomdhoofisha Putin na Russia

Mpaka Trump imebidi ampigie simu Putin wakae mezani kusitisha vita

Na kama haitoshi Trump ametaka kurudisha baadhi ya mikataba ya kibiashara na Russia
 
Back
Top Bottom