Nafikiri haulijui soko la ndani la China.
Unapozungumzia world's largest markets in consumer spending huwezi kukosa kutaja soko la China
Unafikiri ni kwa nini makampuni makubwa hukimbilia kuwekeza China?
Kuanzia food & beverage companies kama McDonalds; high tech companies kama Apple; auto companies kama Tesla, Ford, VW, Toyota; Luxuries manufacturies kama Prada, LV n.k? Wote hao wamewekeza China
Hakuna asiyelitaka soko la China. Wachina ni moja ya watu ambao ni big spenders
Kusema China hajatengeneza soko lake la ndani ni uongo mkubwa sana