Marekani anajivunia soko lake la ndani na uwezo wa watu wake kununua vitu. Unaweza kukuta mauzo yote ya China nje ya China ni madogo ukilonganisha na mauzo china inayapata kutoka Marekani. Inaposhindwa china ni kutengeneza masoko ya ndani.Msuli upi unaozungumzia?
Kila mara Trump anapoongeza tariffs kwa Chinese goods China nayo inaongeza tariffs na kuzuia kuuza baadhi ya bidhaa muhimu kwa makampuni ya Marekani
Ulitaka aina gani ya msuli?
Marekani anajivunia soko lake la ndani na uwezo wa watu wake kununua vitu. Unaweza kukuta mauzo yote ya China nje ya China ni madogo ukilonganisha na mauzo china inayapata kutoka Marekani. Inaposhindwa china ni kutengeneza masoko ya ndani.
hujui lolote wewe eti unazijua USA na China!!!kwenda bhana sasa hizo nchi bila kazi na ajira zinge fika hapo ndo maana wazungu wana tudharau yaani baada ya kuwaza tuna kwamuaje jamii zetu na nchi zetu kiujumla tuko bize na watu amabo ata hawatuwazi shenzi kabisaNimechunguza hoja zako zinagusa sana masuala ya kazi na maisha.
Pole sana mkuu, inaonekana ndiyo mambo yanayokuhangaisha sana kwa sasa kwenye maisha yako.
Nafikiri majukwaa ya ajira na siasa yanakufaa zaidi huku umepotea njia
Follow the Sekretarieti ya Ajira channel on WhatsApp: Sekretarieti ya Ajira | WhatsApp Channel
13% kutoka Taifa moja tena umesema yenye thamani USD 500. Bln. Hicho kiasi Cha fedha ni kikubwa mno kukipoteza, ni mara kumi zaidi ya gharama za kuijenga Gaza. Marekani jeuri yake ipo kwenye soko lake la ndani ambopo China ameshindwa kulitengeneza nchini mwake.Soko kubwa la China kwa sasa sio Marekani ni Global South countries
Thamani ya mauzo ya bidhaa za China nchini Marekani ni USD 500 bln ambayo ni sawa na 13% tu ya China's total exports
yaani cc waafrica Mungu alitunyima akili kwelikweli wenzetu itaifa na uzalendo ulikuja na unakuja kwa kufanyakazi na kutoa mchango kwenye mataifa yao cc kutwa kucha China imeizidi Marekani wakati hakuna utakacho pata tunakali ujinga ujingaYaani sisi badala kuchangamkia fursa hzo tuzibe hzo gape za bidhaa zilizozuiwa tupeleke tumebaki kushangilia ugomvi tu wawekeane vikwazo sisi huku tunafurahi tu
We nae una chuki na uislam,mada haihusiani na dini we unaingiza udini,upo kwenye hedhi nn?unatuletea upuuzi humu kulinganisha Marekani na China alafu wale watu wako mbele sana kifikra na kiufahamu kuliko wewe na mjomna zako hawana njaaa njaaa kama za kwako asubuhi asubuhi mtu hujajua unakula nini unatuletea habari za China na Marekani hizo ni tabia za mtu aliye jipata au hukosefu wa Kazi we unafikiria wamarekani wanaishi kama wewe??leta mada za maana husituletee uhalo wako wa chuki za kidini nyie mivaa makobazi uwaga ni bure kabisa
hedhi c anaingia na mzazi wako au we wakukunyaa??We nae una chuki na uislam,mada haihusiani na dini we unaingiza udini,upo kwenye hedhi nn?
Daah my African continentPunguza jaziba, watu hawajajifungia ndani kama wewe ulivyo. Yes US ya Trump inakurupuka na hata yeye mwenyewe na Musk wake walishawahi kili kuwa muda mwingine wanasemaga vitu ambavyo hawana uhakika navyo.
Maneno uliyosema ni makali sanawe jamaa mbona unataka kukifanya unajua kila kitu hizo sanctions USA anazoziweka unafikiri wao hawajui faida na hasara yaani USA inakurupuka kifanya vitu ambavyo haina uhakika navyo??kqamba wewe una jua kuwazidi ecomist analytical wa USA we unajua akiba ya China na USA huko huko uliko mbagala rangi kumi?!! kwamba unajua flactuation ya peecentages za soko la forodha na hisa za USA na China?? wabongo acheni ujuaji jikiteni kufanyakazi kwa ajili ya familia zenu ukiichukia China au USA haitokusaidia chochote maishani??
Africa sio soko. Kikundi cha watu masikini wanaoishi kwa kutegemea misaada na ni omba ombaChina ana kiburi anajua soko lake kubwa lipo afrca currently, nothing to loose
Maneno uliyosema ni makali sana
Mkuu kuwafaidisha watu kwa hizi nyuzi ni kuja kwa hoja,unatuletea upuuzi humu kulinganisha Marekani na China alafu wale watu wako mbele sana kifikra na kiufahamu kuliko wewe na mjomna zako hawana njaaa njaaa kama za kwako asubuhi asubuhi mtu hujajua unakula nini unatuletea habari za China na Marekani hizo ni tabia za mtu aliye jipata au hukosefu wa Kazi we unafikiria wamarekani wanaishi kama wewe??leta mada za maana husituletee uhalo wako wa chuki za kidini nyie mivaa makobazi uwaga ni bure kabisa
Unataka kutuambia nini? Kwamba USA Wana wachumi zaidi kuliko China siyo?we jamaa mbona unataka kukifanya unajua kila kitu hizo sanctions USA anazoziweka unafikiri wao hawajui faida na hasara yaani USA inakurupuka kifanya vitu ambavyo haina uhakika navyo??kqamba wewe una jua kuwazidi ecomist analytical wa USA we unajua akiba ya China na USA huko huko uliko mbagala rangi kumi?!! kwamba unajua flactuation ya peecentages za soko la forodha na hisa za USA na China?? wabongo acheni ujuaji jikiteni kufanyakazi kwa ajili ya familia zenu ukiichukia China au USA haitokusaidia chochote maishani??
Marekani jeuri yake ipo kwenye soko lake la ndani ambopo China ameshindwa kulitengeneza nchini mwake.
13% kutoka Taifa moja tena umesema yenye thamani USD 500. Bln. Hicho kiasi Cha fedha ni kikubwa mno kukipoteza, ni mara kumi zaidi ya gharama za kuijenga Gaza.
Xi Jinping jau sana!