China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

Kama ni uchumi umeimarika tayari mpaka competitor anakimbilia tariffs
Inatakiwa muende zaidi ya hapo ili muwe world super power

Ila umenishangaza yani Rais unasahau hadi nchi yako ni ipi kweli!!!
 
Umesema vyema

Kwa sababu katika international trade, China ina diversification kubwa ya masoko zaidi ya Marekani

Kwa mfano kwa sasa soko kubwa la bidhaa za China ni Global South countries huku Marekani ikiwa ni 13% tu ya China's total export
SASA CHINA WAKO ANALILIA NINI SI AENDE HUKO GLOBAL SOUTH
 
Huna hoja kaa pembeni siyo unakata mauno hapa
 
SASA CHINA WAKO ANALILIA NINI SI AENDE HUKO GLOBAL SOUTH
Iende mara ngapi?



Ulitakiwa uulize kwa nini licha ya tariffs kuongezwa bado Wamarekani wananunua bidhaa za China? Swali lako lingekuwa na hoja

Ilitakiwa Marekani kama kidume izuie kabisa bidhaa za China zisiingie nchini mwao na sio kuishia tu kuziongezea tariffs
 
Umesema vyema mkuu

Wameweka vikwazo mpaka wamechoka na hakuna walipomdhoofisha Putin na Russia

Mpaka Trump imebidi ampigie simu Putin wakae mezani kusitisha vita

Na kama haitoshi Trump ametaka kurudisha baadhi ya mikataba ya kibiashara na Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…