Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #101
Nipe kampuni ya chiha inayowezs shindana na
Boeing
Hao watu ni wabishi na huwaambii kitu kuhusu usa wanapaita mamtoniWamarekani wa buza wakiwa kijiweni
View attachment 3268712
Na ndo maana na wao wanaipambania kwa jasho na damu ila mashango ni kuendeleza vikwazo kitu ambacho kinaifanya isitumike tena global bila kufikiria mathara hasi huko mbele yatakuwajeKITU PEKEE KINACHO IFANYA MAREKANI KUWA JUU KIUCHUMI NI DOLLA YAKE KUFANYWA PESA YA DUNIA ...NDIYO MAANA BRICS WANACHEZA NA HIYO KARATASI NI PIGO TAKATIFU KWA MAREKANI..KAMA SIYO HIYO KARATASI BASI MAREKANI INGEKUWA KAMA BRAZIL TU
Ni swala la muda tu hata boing itakufa tu achilia mbali hivyo viwanda..kuna kipindi Wamarekani walifanya maamuzi ambayo yaliumiza viwanda vyao vya magari, meli, nk.
..sasa hivi ndio wamekuja kushtuka lakini sidhani kama wataweza kuvirudisha viwanda hivyo viwe na thamani kama huko zamani.
Hayo ni matokeo ya wanasiasa uchwara kushika nchi ....wanafanya mambo ya kuji shoot wenyewe ....nguzo ya taifa la marekani KUU KULIKO KITU CHOCHOTE NI HIYO DOLA KUWA PESA YA DUNIA. vinginevyo 🇺🇸 America is nothingNa ndo maana na wao wanaipambania kwa jasho na damu ila mashango ni kuendeleza vikwazo kitu ambacho kinaifanya isitumike tena global bila kufikiria mathara hasi huko mbele yatakuwaje
Hawa ndo huimba israel ni taifa la munguUjue wewe ni mjinga sana
Mimi wabongo linapokuja swala la usa na israel wala usipoteze muda wako kubishana nao wanaamin kule ni pepon na wanoishi sio watu wa kawaidsMtu umeshiba zako kiporo unakuja kusema china wanajali Quantity na sio Quality aseee😂story za vijiwen ziishie huko huko
Mtu amekupa hadi takwimu basi unakazi shingo na maneno matupuHapa ndipo unapokalilishwa matango poli
Nachokupenda unaongea kwa takwimuWengi msiojua kuwa China iliwekeza kwenye AI tangu miaka kadhaa nyuma mmeanza kuijua China kupitia DeepSeekView attachment 3269116
Ukweli ni kwamba China wako kwenye game la AI kitambo sana kampuni kama vile Alibaba, Tencent na nyinginezo zimekuwa zikifanya vizuri.
Ni vile tu DeepSeek imekuwa game changer kwa kuzikalisha kwa mbali AI za West ndio maana imekuwa well known internationally
Kwenye patents na researches za AI China hana mpinzani. Ujio wa DeepSeek ni matunda ya R&D na innovation kwenye Chinese AI industry
View attachment 3269118
Mimi wabongo linapokuja swala la usa na israel wala usipoteze muda wako kubishana nao wanaamin kule ni pepon na wanoishi sio watu wa kawaids
Kweli Marekani wameishiwa yaani inashindwa kushindana na China mpaka waombe collabo kwa South Korea
Kweli Marekani wameishiwa yaani inashindwa kushindana na China mpaka waombe collabo kwa South Korea
Ukakomea hapo ukaacha kumalizia alichoandika 😂
Hawa ndo husema israel ni taifa la munguMtu umeshiba zako kiporo unakuja kusema china wanajali Quantity na sio Quality aseee😂story za vijiwen ziishie huko huko