China wamezindua 6th Gen Jet Figher inaitwa Baidi: Ina uwezo wa kuoperate kwenye air na Space!

Nilisubiri jibu kama hili naona umemaliza ubishani
Zaidi ya hapo wqtakuwa vichaa
 
Israel hakupiga iran yenye mifumo mikali ya kiulinzi kutoka russia s300 batteries? 🤣
 
Thaad na hizo patriot zimeaibika vibaya baada ya ile video kuonekana mifumo ya s300 na s400 ikidungua makombora ya Israel nchini Iran like a boss...

Lakini ukija kusoma porojo za pro wa west unaweza dhani hao Russians wana tech duni, lakini kumbe ni opposite...


Ndio uhalisia ulivyo...
 
Ila wakifanya cha kwako cnn fox na sky wanavyovipamba utafikri vimeshushwa na nabii
 
Israel hio mifumo ya NATO imewasaidia vipi kuzuia makombora ya Iran?...

Wangerusha hizo F35 waka intercept missiles , wakamaliza wakaenda kufanya retaliation kwa kutumia F35 nchini Iran, mmekomaa stealth, electronics war... Blah blah blah... F35 ni ndege iliyo katika theory tu, practically haina tofauti na migs za kawaida...

Russians wanaifahamu tech vizuri zaidi, wana ignore upuuzi usiokuwa na maana, wana mashine kwa ajili ya kazi na si kwa ajili ya propaganda...

F35 ni upuuzi...
 
Hujajibu swali langu f-35 ziko mzigoni miaka 10+
Je j-35 zina muda gani ukitoa airshow ya juzi 🤣🤣🤣
Kwa hiyo mada imebadilika tena sio sula la moshi bali ni muda iliotangazwa kutengenezwa pathetic 🤣

J-35 zenye engine ya WS-19 na WS-21 hizi huwezi kuona ikitoa moshi kama F-35

More powerful twin engine sio kama F-35 zenye engine issues
 
Kwa hiyo mada imebadilika tena sio sula la moshi bali ni muda iliotangazwa kutengenezwa pathetic 🤣

J-35 zenye engine ya WS-19 na WS-21 hizi huwezi kuona ikitoa moshi kama F-35

More powerful twin engine sio kama F-35 zenye engine issues
We unachekesha kweli nenda youtube kaone vituko show yako ilivyokuwa inamwaga moshi
Halafu bado hujajibu swali f-35 iko zaidi na miaka 10 tangu itoke kiwandani na inatumika
Hiyo j-35 stealth tech ina muda gani tangu itoke kiwandani mpaka imwage moshi hivyo je imetumika vita ipi ? 🤣
Ndege yenywe imeundwa baada ya kuiba blueprint ya f-35 halafu iwe bora si kichekesho wangekuwa na design yao tungesema swa kila kitu amekopi
Halfu kubold maandishi hakukufanyi wewe kuwa expert 🤣 zaidi inaonyesha ulivyo mpumbavu
 
Ndio, mfano Lockheed Martin YF-12 pilot wanavaa nguo za space. Oya chuma ilikua inapiga mach 3 uko, zaidi ya 3,600 km/h

Na hapo ni miaka ya 1960s si tupo na TANU.
Yaani Dar to Mbeya inachukua dakika 12 tu
 
Suala sio muda suala ni kuwa F-35 ina engine efficient issues

Pentagon walishaitaka Lockheed Martin na partners wenzake kama BAE waboreshe wamekimbia gharama

Miaka 10 sasa engine tu imewashinda kuboresha

F-35 kinachouzwa ni brand na hasa kwa allies wa Marekani lakini upande wa engine ni bure kabisa
 
MAswali yangu hujajibu bado kuhusu j-35
Umevamia f-35 🤣
 
J-35 ni jibu tosha kwa F-35

Japan anafanya hii project ya 6th generation akishirikiana na mataifa mengine (multinational) yuko na UK na Italy
J-35 haiwezi kuwa jibu maana mpaka sasa nchi moja tu ndio wanayo isitoshe sio ' battle tested '.
 
Kabisa yaani watu wa magharibi wanapiga sana propaganda silaha zao zikiwa field hua na mambo tofauti kabisaa iron dome hovyo yale mavifaru yao bure kabisa na kitanda cha mungu wao merkava ndio uchafu kabisa ila kwenye media sasa weeeeeh
 
Kabisa yaani watu wa magharibi wanapiga sana propaganda silaha zao zikiwa field hua na mambo tofauti kabisaa iron dome hovyo yale mavifaru yao bure kabisa na kitanda cha mungu wao merkava ndio uchafu kabisa ila kwenye media sasa weeeeeh
Iron dome, thaad , patriots,david sling n.k hazifikii ufanisi wa bavar, s300 na s400 lakini kwenye media zinatukuzwa balaa...
 
Western bila propaganda hawatoboi kwa kweli
 
Usimwogope mtu anayeonesha silaha alizo nazo. Mwogope asionesha na ambaye amenyamaza. Kuna mataifa kama Japan yatakuja ishtua sana Dunia vitan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…