GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Nilisubiri jibu kama hili naona umemaliza ubishaniChina hana ndege ya kuuza Ulaya. Flankers zote hawezi uza Mrusi hatokubali, pia J-20 haiuzwi pale inabaki J-10 sasa mzungu gani anunue J-10 aache F-16.
Na ndege zinanunuliwa kulingana na compatibility. NATO based weapon systems, AA missiles, IFF, electronics, secure communication exchange kama Link 16 vyote vya NATO haviendani na ndege za Kichina. Kununua ndege za China ni kuanza upya sasa kujenga mifumo ya ulinzi inayoendana na ya Kichina la sivyo silaha zao zitakuwa hazina kazi. Mwishowe watatumia gharama kubwa kubadili mifumo na haina tija. Huwezi enda hospitali ina vifaa tiba vya CT Scan na MRI vya Hitachi au Philips wewe ukaleta Siemens hapo ukategemea kila kitu kitakuwa integrated burebure tu. Lazima uumie
Zaidi ya hapo wqtakuwa vichaa