China wamezindua 6th Gen Jet Figher inaitwa Baidi: Ina uwezo wa kuoperate kwenye air na Space!

China hana ndege ya kuuza Ulaya. Flankers zote hawezi uza Mrusi hatokubali, pia J-20 haiuzwi pale inabaki J-10 sasa mzungu gani anunue J-10 aache F-16.

Na ndege zinanunuliwa kulingana na compatibility. NATO based weapon systems, AA missiles, IFF, electronics, secure communication exchange kama Link 16 vyote vya NATO haviendani na ndege za Kichina. Kununua ndege za China ni kuanza upya sasa kujenga mifumo ya ulinzi inayoendana na ya Kichina la sivyo silaha zao zitakuwa hazina kazi. Mwishowe watatumia gharama kubwa kubadili mifumo na haina tija. Huwezi enda hospitali ina vifaa tiba vya CT Scan na MRI vya Hitachi au Philips wewe ukaleta Siemens hapo ukategemea kila kitu kitakuwa integrated burebure tu. Lazima uumie
Nilisubiri jibu kama hili naona umemaliza ubishani
Zaidi ya hapo wqtakuwa vichaa
 
Ila western military huwa inapigiwa propaganda na vyombo vyao balaa halafu wanaenda kuwauzia waaarabu kwa billion of dollar ..ila kwenye battle ndo tunaona uhalisia ..tumesikia patriot mara thaad ..hivi vitu havina huo ubora tunaoaminishwa na CNN na fox ...tuliambiwa isreli space is inapenetratable ..tumeona Iran juzi kapiga target kutoka 2000km
Israel hakupiga iran yenye mifumo mikali ya kiulinzi kutoka russia s300 batteries? 🤣
 
Ila western military huwa inapigiwa propaganda na vyombo vyao balaa halafu wanaenda kuwauzia waaarabu kwa billion of dollar ..ila kwenye battle ndo tunaona uhalisia ..tumesikia patriot mara thaad ..hivi vitu havina huo ubora tunaoaminishwa na CNN na fox ...tuliambiwa isreli space is inapenetratable ..tumeona Iran juzi kapiga target kutoka 2000km
Thaad na hizo patriot zimeaibika vibaya baada ya ile video kuonekana mifumo ya s300 na s400 ikidungua makombora ya Israel nchini Iran like a boss...

Lakini ukija kusoma porojo za pro wa west unaweza dhani hao Russians wana tech duni, lakini kumbe ni opposite...

Ndio uhalisia ulivyo...
 
Leo hata China atoe ndege superior kuliko ndege zote alizonazo US za kijeshi, wataanza kuwaambia nchi washirika kuanzia Canada, UK, Australia n.k kwamba wasinunue...

Kwani issue ya 5G ilikuwaje... Hivi hivi... Kuuzwa kwa F35 sio kwamba ni bora ni kwa sababu ni suala la kisiasa zaidi kuliko ubora wa bidhaa.
Ila wakifanya cha kwako cnn fox na sky wanavyovipamba utafikri vimeshushwa na nabii
 
China hana ndege ya kuuza Ulaya. Flankers zote hawezi uza Mrusi hatokubali, pia J-20 haiuzwi pale inabaki J-10 sasa mzungu gani anunue J-10 aache F-16.

Na ndege zinanunuliwa kulingana na compatibility. NATO based weapon systems, AA missiles, IFF, electronics, secure communication exchange kama Link 16 vyote vya NATO haviendani na ndege za Kichina. Kununua ndege za China ni kuanza upya sasa kujenga mifumo ya ulinzi inayoendana na ya Kichina la sivyo silaha zao zitakuwa hazina kazi. Mwishowe watatumia gharama kubwa kubadili mifumo na haina tija. Huwezi enda hospitali ina vifaa tiba vya CT Scan na MRI vya Hitachi au Philips wewe ukaleta Siemens hapo ukategemea kila kitu kitakuwa integrated burebure tu. Lazima uumie
Israel hio mifumo ya NATO imewasaidia vipi kuzuia makombora ya Iran?...

Wangerusha hizo F35 waka intercept missiles , wakamaliza wakaenda kufanya retaliation kwa kutumia F35 nchini Iran, mmekomaa stealth, electronics war... Blah blah blah... F35 ni ndege iliyo katika theory tu, practically haina tofauti na migs za kawaida...

Russians wanaifahamu tech vizuri zaidi, wana ignore upuuzi usiokuwa na maana, wana mashine kwa ajili ya kazi na si kwa ajili ya propaganda...

F35 ni upuuzi...
 
Hujajibu swali langu f-35 ziko mzigoni miaka 10+
Je j-35 zina muda gani ukitoa airshow ya juzi 🤣🤣🤣
Kwa hiyo mada imebadilika tena sio sula la moshi bali ni muda iliotangazwa kutengenezwa pathetic 🤣

J-35 zenye engine ya WS-19 na WS-21 hizi huwezi kuona ikitoa moshi kama F-35

More powerful twin engine sio kama F-35 zenye engine issues
 
We unachekesha kweli nenda youtube kaone vituko show yako ilivyokuwa inamwaga moshi
Halafu bado hujajibu swali f-35 iko zaidi na miaka 10 tangu itoke kiwandani na inatumika
Hiyo j-35 stealth tech ina muda gani tangu itoke kiwandani mpaka imwage moshi hivyo je imetumika vita ipi ? 🤣
Ndege yenywe imeundwa baada ya kuiba blueprint ya f-35 halafu iwe bora si kichekesho wangekuwa na design yao tungesema swa kila kitu amekopi
Halfu kubold maandishi hakukufanyi wewe kuwa expert 🤣 zaidi inaonyesha ulivyo mpumbavu
 
Ndio, mfano Lockheed Martin YF-12 pilot wanavaa nguo za space. Oya chuma ilikua inapiga mach 3 uko, zaidi ya 3,600 km/h

Na hapo ni miaka ya 1960s si tupo na TANU.
Yaani Dar to Mbeya inachukua dakika 12 tu
 
We unachekesha kweli nenda youtube kaone vituko show yako ilivyokuwa inamwaga moshi
Halafu bado hujajibu swali f-35 iko zaidi na miaka 10 tangu itoke kiwandani na inatumika
Hiyo j-35 stealth tech ina muda gani tangu itoke kiwandani mpaka imwage moshi hivyo je imetumika vita ipi ? 🤣
Halfu kubold maandishi hakukufanyi wewe kuwa expert 🤣 zaidi inaonyesha ulivyo mpumbavu
Suala sio muda suala ni kuwa F-35 ina engine efficient issues

Pentagon walishaitaka Lockheed Martin na partners wenzake kama BAE waboreshe wamekimbia gharama

Miaka 10 sasa engine tu imewashinda kuboresha

F-35 kinachouzwa ni brand na hasa kwa allies wa Marekani lakini upande wa engine ni bure kabisa
 
MAswali yangu hujajibu bado kuhusu j-35
Umevamia f-35 🤣
 
J-35 ni jibu tosha kwa F-35

Japan anafanya hii project ya 6th generation akishirikiana na mataifa mengine (multinational) yuko na UK na Italy
J-35 haiwezi kuwa jibu maana mpaka sasa nchi moja tu ndio wanayo isitoshe sio ' battle tested '.
 
US ni wakali ku hype bidhaa zao, bidhaa inakuwa hyped hadi unahisi itakuwa na u special flani, njoo uweke kwenye ufanyaji kazi ndipo utacheka...

Iron dome ilikuwa hyped yako wapi? Inapigwa kila siku na migambo wa hezbollah... Vifaru vya abrams huko Ukraine vinapigwa kama makopo, ila ungesikia abrams zinavyo kuwa zinazungumziwa, ungesema ni kifaru kutoka sayari nyingine.

Merkava nayo walisema story hizo hizo kwenye mapambano inapigwa na roketi za kienyeji za hamas zinatengengenezwa sebuleni...

Sukhoi uwanja wa mapambano utashangaa inachofanya...
Kabisa yaani watu wa magharibi wanapiga sana propaganda silaha zao zikiwa field hua na mambo tofauti kabisaa iron dome hovyo yale mavifaru yao bure kabisa na kitanda cha mungu wao merkava ndio uchafu kabisa ila kwenye media sasa weeeeeh
 
Iron dome, thaad , patriots,david sling n.k hazifikii ufanisi wa bavar, s300 na s400 lakini kwenye media zinatukuzwa balaa...
 
Ila western military huwa inapigiwa propaganda na vyombo vyao balaa halafu wanaenda kuwauzia waaarabu kwa billion of dollar ..ila kwenye battle ndo tunaona uhalisia ..tumesikia patriot mara thaad ..hivi vitu havina huo ubora tunaoaminishwa na CNN na fox ...tuliambiwa isreli space is inapenetratable ..tumeona Iran juzi kapiga target kutoka 2000km
Western bila propaganda hawatoboi kwa kweli
 
Kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Aviation & Aerospace huko China, almaarufu Zhuai Air Show jamaa wamefanya yao.
Wametuletea fighter wanaiita Baidi kwa lugha nyepesi “White Emperor” ambayo inaaminiwa kua ni 6th gen yao ya kwanza katika ulimwengu wa Fighters.

Chuma ina uwezo wa kwenda supersonic speed na kuvuka barrier ya atmosphere na kwenda kwenye space, hii ni moja ya feature inayosubiriwa sana kwenye next gen fighters (integrated space-air fighter).
Ingawa specifications nyingi bado wamezificha, ila kidogo wametupa ABC ya tunakoenda.

Tusubirie Lockheed Martin watatuletea nini.
Usimwogope mtu anayeonesha silaha alizo nazo. Mwogope asionesha na ambaye amenyamaza. Kuna mataifa kama Japan yatakuja ishtua sana Dunia vitan.
 
Back
Top Bottom