Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Huyu fala hajui wachina walivyotafuna nchi yake hadi hii leo, anashoboka tu.Imebakia sasa uolew na china, kushobokea vidume saa kumi na nusu kisa sichui gpu kitu ambacho hapo kwenu nyamtombo hutakaa kukiona.
Iphone na samsung nyingi zinatengenezwa china,na hata hizo za vietnam na india parts nyingi wanazotengenezea zinatoka chinaTatizo kubwa la Wachina ni ubora wa vitu vyao.
Mfano, wanatengeneza simu, computer, na vifaa vingi vya electronics, lakini ubora wake ni tia maji. Tecno zao kwa mfano ni duni kwa Samsung, iPhone, nk
Kwanini umeumia hivi?Imebakia sasa uolew na china, kushobokea vidume saa kumi na nusu kisa sichui gpu kitu ambacho hapo kwenu nyamtombo hutakaa kukiona.
Kwani BARRICK wanapochimba dhahabu Tanzania wanatumia teknolojia ya Tanzania?Iphone na samsung nyingi zinatengenezwa china,na hata hizo za vietnam na india parts nyingi wanazotengenezea zinatoka china
Mtu yeyote anayeshobokea China huwa namuona ni Mpumbavu na asiye na akiliHuyu fala hajui wachina walivyotafuna nchi yake hadi hii leo, anashoboka tu.
Mtu siejua historia yake, hajui hatokapo na anapoenda.
Kuhusu biashara ni kweli, ila uvumbuzi siyo kweli, wachina ni wazee wa "copy and paste".China imejikita katika uvumbuzi,na biashara duniani, US na ussr wamejikita katika vita, anguko lao limekaribia.
Itakua ule ugonjwa wake umemzidia sana,Kwanini umeumia hivi?
Ni wivu tu unakusumbua ewe black mamba wa chekereni 😄
Kwani BARRICK wanapochimba dhahabu Tanzania wanatumia teknolojia ya Tanzania?
Mchina amefanya watu wengi wa chini waweze kuishi maisha ya kisasa. Angalia sasa kampuni kubwa kama Apple na Samsung nao wanatoa simu za bei rahisi kushindana na wakina Tecno.Tatizo kubwa la Wachina ni ubora wa vitu vyao.
Mfano, wanatengeneza simu, computer, na vifaa vingi vya electronics, lakini ubora wake ni tia maji. Tecno zao kwa mfano ni duni kwa Samsung, iPhone, nk
Sasa ww hata kuwasha computer hujui wanawashaje si bora ukae kimya tu, Kwann mnapenda kujidharilisha?Imebakia sasa uolew na china, kushobokea vidume saa kumi na nusu kisa sichui gpu kitu ambacho hapo kwenu nyamtombo hutakaa kukiona.