Kmmk ππItakua ule ugonjwa wake umemzidia sana,
JF VAR CHECK
Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.
Halafu hakuna vipele wala redness.
Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
- Top Gun
- bila mafanikio makalio sana
- Replies: 73
- Forum: Jamii Health (Jukwaa la Afya)
ππππYani mtu upo vigwaza, huna hata kibanda cha matunda lakn unachambua biashara za wachina eti zitakosa soko
Utakuta hapa jf inangia kwa kutumia Smart kitochiππππ
Before mchina haja take over nakumbuka ilikuwa ukipita mbagala au kawe usiku unakutana na vibatari tu vimejipanga bara barani Kwa wafanya biashara wadogo
Leo hii mchina kawaletea taa zenye solar na vibatali vyote vinetoweka still bado Kuna watu wanaleta dharau
Wakati mchina amekuja kuwatoa gizani
Ila wabongo jau sana ππ
Hivi vitoto vya 2000 haviwezi kuelewa cause havijui Nchi ilipotokaUtakuta hapa jf inangia kwa kutumia Smart kitochi
Kutengeneza OS ni akili kubwa ndiyo maana wazungu wamefanikiwa hili na siyo yoyote anaweza kutengeneza OSππππOS hata haba bongo unatengeza, issue kuingiza kwenye soko kwa namna ya biashara na kutekea soko ambayo mchina alitanguliwa na wazungu, ila kwamba hana OS zake zipo ila hazijawa kwenye wigo wa biashara mkubwa kama watangulizi wake, kwasababu miundombinu mingi wazungu walitangulia ingawa sasa watu wanabadirika
Unaelewa OS ni kitu gani hadi uone kwamba hakiwezekanai kutengezwa na taifa kama China ? Au ndio unaleta ushabiki wa magharibi ( Hata hapa Tanzania tukitaka tengeza OS yetu tunaweza lakini kupenye kibiashara ndio itakuwa swala gumuKutengeneza OS ni akili kubwa ndiyo maana wazungu wamefanikiwa hili na siyo yoyote anaweza kutengeneza OSππππ
1. Symbian
2. Blackberry OS
3. Linux
4. Windows
5. Windows Phone
6. Android
7. IOS
Hizo zote wametengeneza wazungu ndiyo maana AI walianzisha wazungu kisha mchina akacopy (deep sick). Mchina hana akili ya kutengeneza OS mpaka acopy kutoka kwenye OS za wazungu.
Tofauti na microsoft office, software gani ya kichina unatumia?ππππ
Hili ni jukwaa la technology, sioni sababu ya kuanza kukasirika na kutukana watu.Huyu fala hajui wachina walivyotafuna nchi yake hadi hii leo, anashoboka tu.
Mtu siejua historia yake, hajui hatokapo na anapoenda.
Suala la kutengeneza OS na kuingia sokoni na kufanya vizuri linahitaji akili kubwa sana ambayo China hana hiyo akili.Unaelewa OS ni kitu gani hadi uone kwamba hakiwezekanai kutengezwa na taifa kama China ? Au ndio unaleta ushabiki wa magharibi ( Hata hapa Tanzania tukitaka tengeza OS yetu tunaweza lakini kupenye kibiashara ndio itakuwa swala gumu
Sawa, ujajibu swali langu ili twende vizuri. Unaelewa maana ya OS na nini kinafanya iwe OS ? Huenda pia AI umeanza sikia hivi karibu mkuu, hujajua AI imeanzia wapi ( history yake na inapo elekea )..Suala la kutengeneza OS na kuingia sokoni na kufanya vizuri linahitaji akili kubwa sana ambayo China hana hiyo akili.
Punguza mihemko, kwanini China haikuwa ya kwanza kutengeneza AI?
Kutengeneza OS inahitaji akili kubwa ambapo China hana hiyo akiliππππ
Unanichosha tu, kutengeneza OS inahitaji akili kubwa na siyo blah blah.Sawa, ujajibu swali langu ili twende vizuri. Unaelewa maana ya OS na nini kinafanya iwe OS ? Huenda pia AI umeanza sikia hivi karibu mkuu, hujajua AI imeanzia wapi ( history yake na inapo elekea )..
we jamaa islamaphobic inakusumbua. Tukuondoe ujinga kichwani. Unamjua AVICENNA? Huyu ni muislam ambaye ndiye aliyeanzisha modern medicine, shukuru mamaako mzazi ameweza kukuzaa wewe hospitalini kwa mchamgo wa modern medicine wa Ibn SInna ambao wazungu kwa kuficha aibu wakamuita AVICENNA. Sulphuric acid wameigundua waislam wa kiajemi. Kuhusu China hizo printer unazotumia stationary na wino wake wagunduzi ni wao. Msiwe mnaongea kama hamuna ujuzi.Waislamu wanatengeneza Nini duniani?
Kwenye suala la teknolojia China Bado Sana angalia ubora wa bidhaa zao ni tia maji maji
1. Ni Operating system gani aliyotengeneza mchina ambayo inashindana na Android, IOS, windows na Linux?
2. Ni Television gani ya mchina inayoishinda Sony, LG na Samsung? Umeshaitumia Hisense? Vidaa ni uchafu na takataka
3. Ni Subwoofer gani ya kichina inayoshindana JBL?
Howo, Faw ni takataka mbele ya Scania, Mercedes Benz na DAF.
Bila Android OS, Play store, chrome, na application za Marekani Bado simu za kichina ni takataka
Oh! Sawa huna unacho elewa kuhusu OS wala huna unacho elewa kuhusu AI.Unanichosha tu, kutengeneza OS inahitaji akili kubwa na siyo blah blah.
Tangu Windows XP, Vista, 7, 8, 10 na 11 mpaka leo Mchina hajawahi kutengeneza OS ya computer