China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

Hiyo ni ndoto marekani inataka usawa katika kufadhili mashirika ya kimataifa kama hao who, nato nk

China anapenda kubebwa tu apambane na kama anaweza alipe hizo milion 400 usd yeye.
Namaanisha inadondondoka kutoka dola kuu kwenda dola la hovyo

Kumbuka tofauti ya China na usa kwa sasa GDP ni dola tilion tano tu

China ni silent killer

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni huyo mgonjwa aliyeko madarakani. Nashangaa kwa nini wabunge wa chama chake wameshindwa kumdhibiti. Amewaaibisha Marekani na badala ya kuonekana taifa kubwa wamechukua backstage.
 
Wanasepa mdogo mdogo yaani hakuna namna sasa.....

Sent using My COVID-19
Waziri wa Mambo ya kigeni wa uchina anasema 'US kutotoa pesa WHO huenda ikaathili nchi zote duniani' [emoji3][emoji3] yaani kujitoa kwa nchi moja tu US inaathili nchi zote ulimwenguni, hiv waajemi wanachangiaga shi ngapi kweli? Hata hivyo Iran hata isipotoa hivyo visenti vyake hakuna athari hata kwenye kata moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]
Hiyo ni ndoto marekani inataka usawa katika kufadhili mashirika ya kimataifa kama hao who, nato nk

China anapenda kubebwa tu apambane na kama anaweza alipe hizo milion 400 usd yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unajiita baba mwenye nyumba halaf unataka utoe pesa sawa na mkeo utakua sio mzima.

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
China mpaka leo ipo chini ya vikwazo vya marekani, na USA ndio inaamua uchumi wa china ukue kea kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wewe ndio unamwita mweupe mwenzako wewe sijui utakua warangi gani kama wao ndio wanao amua ukue kwahio waliamua ukue kiasi hiki chakumfanya awe kiburi mbele ya hao wanaomuamulia ?![emoji16][emoji23]

Propaganda zitawamaliza vijana ohooo.

Sent using My COVID-19
 
Wao wanaojiita super power si nisawa namwanaume kwenye nyumba unategemea mwanaume atoe pesa sawa namkewe katika nyumba[emoji23][emoji23][emoji23]


Polen sana asee[emoji3][emoji16][emoji23][emoji12][emoji14]

US Anahangaika tusasa anatapa tapa tu

Sent using My COVID-19
 
Sasa naona wataelewana kuhusu 5G. Mmarekani keshaonyesha ubabe wake. Leta corona, vuruga vuruga soko la mchina linalompa kiburi mpaka Africa, ondoa ufadhili kwe afya ili kila mtu apambane na hali yake. Mengine ni colatral damage.
Halafu hapo hapo US Akaenda Nunua Mask huko huko UCHINA Akawa anawachangia bila kujijua[emoji16]

MCHINA ss hv kawa kama maji asee usipomnywa utamuoga .

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…