Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
China akiamua kuitingisha USA madhara yake yatakuwa km hayo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
aiseeh, china hii ambayo uchumi wake unaweza kutingishwa na usa na ukatingishika? Trump aliweka vikwazo baadhi ya bidhaa za china uchumi ukashuka toka 6.8(2018) hadi 6.0(2019)
Sent using Jamii Forums mobile app