Jamaa haelewi chochote yupo tuu anavuta hewa ya bure nakuichosha miguu yake kubeba kichwa naziMambo ya dada yametoka wapi umepanic tayari. Huku ili usijibiwe usicomment chochote, uki-comment either mtu alike, areport, au areply unatakiwa ujiandae na hivyo vitu vitatu ndo maana ya forums
Tule mawe wakat dunia iko kiganjani mwetu[emoji3][emoji3], kwa kosa la kuupotosha uislam dunia nzima iko against maAyatollah, watakula jeuri yao mpaka watakapoacha huo upotofu wao.Jeuri yake anayoila inalika kula nawewe jeuri yako sasa kama unaweza[emoji23][emoji23]
Lazma mule mpaka mawe[emoji12][emoji14]
Sent using My COVID-19
Sio Hilo ARV watu wanapewa bure na hapo u s ameweka mkono wake ndo maana tunapewa bureNaona watu wana comment kiushabiki na wanasahau uhalisia kwamba wa kwanza kuathirika ni sisi huku nchi zisizo "jielewa" hasa viongozi wetu.
Nikifikiria magonjwa yenye udhamini wa taifa la USA, TB, HIV na malaria sioni hawa ndugu zetu watapata wapi msaada wa madawa haya kwa urahisi na wakati sahihi.
Nikikumbuka mwaka jana nina ndugu namuuguza ana TB kuna kipindi dawa ziliadimika dozi ikawa haipatikani kwa ukamilifu hii ni baada ya mdhamini kumaliza muda wake wa kutoa huduma.
Kiukweli kama haujui changamoto za haya magonjwa ya muda mrefu na upatikanaji wa dawa ukojekwa nchi zetu hizi utajua ni nini kinafata kwa ndugu zetu.
Serikali pekee sidhani kama wataweza kikombe hiki ukizingatia janga la corona ndio kwanza linaanza kuchanganya.
Sioni mchina kama ataweza kuingiza hizo $m400 WHO ili kuendeleza huu ufadhili, tuache masihara baniani mbaya ila kiatu chake dawa.
china na usiri wao ndio chanzo janga la covid 19.
Umeniita mtoto, binti, kichwa nazi kamwe siwezi kasirika, najua hujui maana na matumizi ya social media ndo unapanic panic hovyoJamaa haelewi chochote yupo tuu anavuta hewa ya bure nakuichosha miguu yake kubeba kichwa nazi
Humu kuna ushabiki vitumbua sana, unakuta mtu anakitambi cha ARV, hajui hela za hizo Arv zinatoka wapi, zinazolewa na nani!.Naona watu wana comment kiushabiki na wanasahau uhalisia kwamba wa kwanza kuathirika ni sisi huku nchi zisizo "jielewa" hasa viongozi wetu.
Nikifikiria magonjwa yenye udhamini wa taifa la USA, TB, HIV na malaria sioni hawa ndugu zetu watapata wapi msaada wa madawa haya kwa urahisi na wakati sahihi.
Nikikumbuka mwaka jana nina ndugu namuuguza ana TB kuna kipindi dawa ziliadimika dozi ikawa haipatikani kwa ukamilifu hii ni baada ya mdhamini kumaliza muda wake wa kutoa huduma.
Kiukweli kama haujui changamoto za haya magonjwa ya muda mrefu na upatikanaji wa dawa ukojekwa nchi zetu hizi utajua ni nini kinafata kwa ndugu zetu.
Serikali pekee sidhani kama wataweza kikombe hiki ukizingatia janga la corona ndio kwanza linaanza kuchanganya.
Sioni mchina kama ataweza kuingiza hizo $m400 WHO ili kuendeleza huu ufadhili, tuache masihara baniani mbaya ila kiatu chake dawa.
Isingekuwa inakunyima amani ungekuwa unabwekabweka hapa kama mbwa koko, Marekani inakunyima amani na ndo maana umesema ikianguka utapata amani hata ukiwa kaburini[emoji16][emoji16], unavituko kweli we bwa mdogo, kwamba umejipa kazi ya kupambana na US hadi ianguke na uwanja wako wa mapambano Ni JF[emoji3][emoji3] kazi iliyowashinda akina Ahmadnejad na maAyatollah wewe mmatumbi wa uyui ndo umejipa[emoji1787][emoji1787] tumbaku si kitu kizuriUS Haininyimi Amani Maana Najua Usupa pawa hauja anzia kwake nawala hautamalizia kwake nimbio tu zavijiti kwan watu walidhania kama hitler atakuja kua under dog
Uzuri wamuda hua haudanganyi.
Sent using My COVID-19
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu akili za mashia utaziweza Basi!Haikunyimi Aman na umesema ikifall utapata Aman hata ukiwa kaburin, mean current huna amani
Hawa watu wengine ni kuwaacha kama walivyo, yaani hiyo pesa ni robo ya utajiri mzima wa USA halafu mtu anasema eti gepu limebaki kidogo.
☝☝☝ hiyo comment nilimjibu Paula Paul sasa ukajifanya unajua kutawaza saaanaUmeniita mtoto, binti, kichwa nazi kamwe siwezi kasirika, najua hujui maana na matumizi ya social media ndo unapanic panic hovyo
☝☝☝ hiyo comment nilimjibu Paula Paul sasa ukajifanya unajua kutawaza saaanaUmeniita mtoto, binti, kichwa nazi kamwe siwezi kasirika, najua hujui maana na matumizi ya social media ndo unapanic panic hovyo
Hujui matumizi ya social media, Kila mtu ana Uhuru wa kumjibu mtu kama ulikua hujui ndo ujue☝☝☝ hiyo comment nilimjibu Paula Paul sasa ukajifanya unajua kutawaza saaana
Aisee wewe wakunifundisha matumizi ya mitandao ya kijamii?Hujui matumizi ya social media, Kila mtu ana Uhuru wa kumjibu mtu kama ulikua hujui ndo ujue
Tutakufundisha matumizi ya social media sababu hujui, uzuri mmoja mim simtukanagi mtu Wala kumdharau,Aisee wewe wakunifundisha matumizi ya mitandao ya kijamii?
Basi kweli kweli Hong..era
MTU ana comment U.S.A ndio inajifia hiyo kwasababu imegoma kuchangia WHO
Mwingine anamuuliza unamaanisha nini kusema inajifia,
Mwingine anaeeleza kuwa huyo anaesema USA inajifia alewi vizuri
Sasa linatokea jitu kuanza kumponda aliesema aelewi vizuri eti hajui kitu khs IMF
Hapo utagundua aliekurupuka katoka wapi kisa ana masters ya kujua kutumia social network
Kwani umetukanwa acha upimbiTutakufundisha matumizi ya social media sababu hujui, uzuri mmoja mim simtukanagi mtu Wala kumdharau,
Nani anayewekaga information kwenye social media, Kama umeweka nakushauri futa usiweke habari za ukweli kwenye social media ni hatariKwani umetukanwa acha upimbi
Birthday yako Humu ni March 7 bado unanyonya unataka bisi
Ila wewe siku unafungua a/c humu huwezi kudanganya tarehe hiyo automatic,sio kwamba unajaza hicho kipengele sio kama tunavyodanganya majina,tar za kuzaliwa,location, zaidi utaishia kuwa na fake ID humu kama ukitaka.Nani anayewekaga information kwenye social media, Kama umeweka nakushauri futa usiweke habari za ukweli kwenye social media ni hatari
Samahan nimeangalia conversation nimeona mim ndo nimekosea nili-quote kimakosa
Mim situmi id fake na jina langu ni Dennis Robert Kama lilivyo ukitaka uthibitisho nifuate pm nikupe namba yangu uangalie kwenye tigo pesaIla wewe siku unafungua a/c humu huwezi kunganya zaidi utaishia kuwa na fake ID
Mimi nilikushangaa kunijibu comment ambayo haiendani na majibu ukasema Mimi sijui matumizi ya social media muda mwingine uwe unaangalia,wacha maisha yaendelee
PoaMim situmi id fake na jina langu ni Dennis Robert Kama lilivyo ukitaka uthibitisho nifuate pm nikupe namba yangu uangalie kwenye tigo pesa
Argument mim na wewe hazikutakiwa ziwepo in first-place kwa sababu niliku-quote kimakosa
Mola sana bagheshi eng'washi?Mwadela mayo,Bariadi mnaendeleaje?