Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Du! Tz imekuwa yakugombewa na mabeberu. Hii ni hatari na kwa jicho la tatu ni wazi kuna kitu hakiko sawa katika uchaguzi huu. Ni juu yetu wananchi kuondoa mizizi ya fitina kwenye sanduku la kura na NEC iwe fair kutangaza mshindi wa haki na sio wa mizengwe.
 
tuone
Huu ndio uchaguzi wenye press conference nyingi toka Beijing hadi sun Fransisco kote press conference juu ya JMT election.
unajifariji
 
Boda boda na machinga Hawa ni madalali wa viwanda vya china vya kuuzia bidhaa zao, kupitia machinga na bodaboda china inavuna mabilioni ya dola toka tz na kuifanya tz ni shamba lao la kuchukua pesa zetu kila tunaponunua bidhaa zao,thus awataki kuona shamba lao likivamiwa.

Kwa upande wa wazungu sababu ya humanity wao ukemea madhara ya udikteta, sababu udikteta uleta Vita ambapo wao ndio upewa mzigo wa kuhudumia wakimbizi.

Makambi yote ya wakimbizi ni mashirika toka ulaya ndio yanahudumia na si China.Hadi leo wakimbizi warundi na wacongo upita airport wanapelekwa USA and Canada kupewa maisha ya kudumu.
China ni rafiki wa kwel wa raslimali zetu
 

Alianza uyu mwanamke wa chadema kwamba dunia inaangalia na kweli ikaangalia, miaka yote nenda rudi marekani hua wanakuaga kwenye uchaguzi kawaida na hakuna shida yoyote sasa waliovuruga ni huyu mwanamke mwenye mguu mfupi
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti "Mibeberu minyonge"
 

Wewe kawadanganye wajinga wenzako huyo rais wa mashoga duniani anayetete maslahi yake kwa Lissu ndio utaita kuungwa mkono na Western block.

Kama hukuelewa kwa ni Barrick wamekuja kutoa gawiwo kipindi hiki cha kampeni. Unafaida yeyote ya kuwa hapa JF wewe?
 
Nimekushika pabaya amsore mbeligiamu ila hakuna namna mtetea ushoga atabeba nchi hii
 
Wamewajengea ccm chuo cha siasa Kibaha kwa mfipa....
Tutakibadili kuwa chuo cha mitishamba na tiba asili kama tutakavyo badili viwanja vya michezo kuwa vya Halmashauri zetu kumiliki.
Kwani nani anabisha? Anyooshe mkono kama anajikuna tuu, aone kazi! marabouk! [emoji443][emoji443]
 
Alianza uyu mwanamke wa chadema kwamba dunia inaangalia na kweli ikaangalia, miaka yote nenda rudi marekani hua wanakuaga kwenye uchaguzi kawaida na hakuna shida yoyote sasa waliovuruga ni huyu mwanamke mwenye mguu mfupi
Na Ndo mana Mungu anaenda kuwapa pigo kuu mwaka huu. Yaani kumpiga risasi Lissu mkiwa na nia ya kumuua mumpige nyie na kumsababishia ulemavu mumsababishie nyie alafu hapa unamkebehi Eti mwanamke mwenye mguu mfupi. Laana ya Mungu na ikumalize wewe na uzao wako kwa jina la Yesu.
 
Story za kwenye vijiwe vya gahawa.
 
China hamuwezi mmarekani na hatomuweza kamwe. Kiwanda cha urafiki tu wameshindwa kukifufua ndo aweze kupambana na Marekani?[emoji23]
Itakua neema kwetu kama ata surrender ila akikomaa ujue raia wa Tanzania ndio watapata tabu sana.
 
Nchi ikishawekwa mtu kati, basi machafuko yoyote yakitokea hao "wanaotufadhili" watafadhili vikundi ambavyo itakuwa vigumu kuvirudisha kwenye umoja wa kitaifa.
 

hahaha sasa unamtisha nan na izo laaana zako, Ushavunja amri ya Mungu kwanza amesema mpende jirani yako kama nafsi yako, we unaleta mzaha na mambo ya Mungu wakati watu wanajifurahisha na siasa uku utadhan mnagombania huo uraisi, ona sasa ushaanza Kumuingiza Mungu na unaanza na dhambi
 
China anaingilia uchaguzi wetu. Yeye ni nani kutusemea?
anyway long story short, Marekani ndo wamekua mstari wa mbele sku zote kuhakikisha uchaguzi unakua huru na haki na hawajawahi toa repoti kwamba kuna wizi wa kura sasa nyie ndo kwida yenu kulalamika sjui mmeibiwa kura, mkishinda hamsemi mmeibiwa mkishindwa mnalalamika, mwaka huu kitaeleweka tu! mm sina interest sana na china wala USA lakini uchaguzi huu uko funded 100% na serikali sasa kila kitu ni juu ya tanzania
 
Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Waambie hao marekani tunataka misaada yao tu na si vinginevyo
 
Reactions: mmh
China wana maslahi gani na uchaguzi huu wa Tanzania mpaka wainyoshee kidole USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…