Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Hapa mkuu wote ni mabeberu, lakini wazungu walitufanya kitu mbaya sana bara la Afrika labda mna short memory.

Ukisikia eti mzungu anadai haki za binadamu kwa yale makoloni alioyatawala ,kuwaibia maliasili,kupora mali zao,utumwa,kuwauwa na kufungwa kwa kudai haki ujue ni mwongo na mnafiki.

Hivi Mwingereza anayo jeuri hata ya kuomba msamaha potelea mbali kulipa fidia ya mali alizopora na unyama aliofanyia Afrika mbwa huyo?
 
Sijakutisha, nimekwambia ukweli na kukuonya. Mungu anasema kwenye kitabu cha Ezekiel kuwa ukimuona mwenzako ana dhambi na usimuonye, Akifa na dhambi yake damu yake itadaiwa mikononi mwako.

Nimetimiza wajibu wangu!
 
Kwani China haibi Rasilimali??? Ndege ya Raisi wa China iliondoka na nini Tanzania mwaka 2014???

Wachina karibu wamalize Tembo wote kwenye mbuga zetu hadi wazungu wakaingilia kati
 
Sijakutisha, nimekwambia ukweli na kukuonya. Mungu anasema kwenye kitabu cha Ezekiel kuwa ukimuona mwenzako ana dhambi na usimuonye, Akifa na dhambi yake damu yake itadaiwa mikononi mwako.

Nimetimiza wajibu wangu!

Sasa umenionya ama umetoa laaana we unabishana na Maandiko yako tena
 
China wako sawa kabisa kumkemea Mmarekani ambaye anajiona na kujipa "UPOLISI" wa dunia. US wana uchaguzi wao in the next two weeks or so. Kiherere cha nini kwenye mambo ya wengine. Bravo China kwa kuwakemea US na wakome kabisa.
 
Sasa unafikiri China kumkemea Marekani ndo kutaisimamisha Marekani kuwachukulia hatua??? Kweli Ccm vilaza sana😂😂😂
 
Sasa unafikiri China kumkemea Marekani ndo kutaisimamisha Marekani kuwachukulia hatua??? Kweli Ccm vilaza sana😂😂😂
Wewe kwa akili yako iliyo "kamili" unadhani US watamchukulia nani hatua hapa Tanzania AU umeaminishwa na Lissu kuwa watakuja kumtetea akishindwa? Mawazo hayo yanaonesha namna usivyo wajua na kuwafahamu hawa wezi na wanyonyaji wa mali za umma.

Kwa maneno yao, wanajaribu kutafuta mtu "wao" hapa nchini ili waweze kuinyonya Tanzania yetu kwa urahisi, lakini wakishindwa (kama ilivyo waziwazi), basi wataendelea na diplomasia yao ya KINAFIKI na kumsahau Lissu. In fact huu ndio mwisho wa "forced political era" ya Lissu.
 
Reactions: mmh
Soma takwimu za sasa hivi ujue nani anaongoza kiuchumi dunia

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
China hata kama mnauana na kutiana vilema,as long as wao wanaendelea kupiga pesa basi hiyo siyo concern yao kabisaaaa!Ndio maana Marekani anatambulika kama baba wa kulinda amani ya dunia!
Mpuuzi wewe Libya alipeleka amani? Iraq alifanyaje na anachofanya Syria unakijua ameungana na waasi kabisa.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabisa unaonesha una upeo mdogo sana na mambo ya dunia ya leo pamoja na mambo ya kimataifa. Nafikiri hujui dunia ilivyo na inavyoenda Ndo mana unabwabwaja hapa. Waulize Sudani na Zimbabwe kuwa Marekani ni nani na anaweza kufanya nini watakwambia
 
Kweli sikuelewi, wewe kwa akili yako timamu unaweza kutulinganisha SISI na Sudan au Zimbabwe au ni ushabiki tu?
 
Wachina wasitufanye sie wapumbavu, watoe kelele zao hapa. Wao wanajua wana maslahi na CCM ambayo Tundu Lissu anaweza kuyafutilia mbali akipita

Nimefarijika sana kusikia Wajamaa wenzetu sasa wameongea.,
JPM mitano tena.
 
Reactions: mmh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…