Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Wanaovuruga uchaguzi ni Ccmwavuruge uchaguzi ndo utajua wao ni nan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaovuruga uchaguzi ni Ccmwavuruge uchaguzi ndo utajua wao ni nan
Hapa mkuu wote ni mabeberu, lakini wazungu walitufanya kitu mbaya sana bara la Afrika labda mna short memory.Mbele ya China na USA,nchi za ulimwengu wa tatu,hususani TZ ni Kama Malaya wanaojiuza,kila mmoja anapigania amchukue akampige pipe,hawana kipya hao.
Mchina yeye anafanya lobbying,ushawishi wa siri kuhusu mradi gani ujengwe,anatoa Rushwa ndefu kwa baadhi ya waandamizi,anachukua mradi anapanga bei,anaweka masharti makubwa na magumu endapo mtashindwa kulipa mkopo,mchina aingilii mnavyotenda,hata mkikiuka haki za binadamu yeye haimuhusu.
USA na nchi za magharibi,wao ni mpaka utilize viwango fulani vya kulinda haki za binadamu ndio anatoa pesa.
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Sijakutisha, nimekwambia ukweli na kukuonya. Mungu anasema kwenye kitabu cha Ezekiel kuwa ukimuona mwenzako ana dhambi na usimuonye, Akifa na dhambi yake damu yake itadaiwa mikononi mwako.hahaha sasa unamtisha nan na izo laaana zako, Ushavunja amri ya Mungu kwanza amesema mpende jirani yako kama nafsi yako, we unaleta mzaha na mambo ya Mungu wakati watu wanajifurahisha na siasa uku utadhan mnagombania huo uraisi, ona sasa ushaanza Kumuingiza Mungu na unaanza na dhambi
Kwani China haibi Rasilimali??? Ndege ya Raisi wa China iliondoka na nini Tanzania mwaka 2014???Hapa mkuu wote ni mabeberu, lakini wazungu walitufanya kitu mbaya sana bara la Afrika labda mna short memory.
Ukisikia eti mzungu anadai haki za binadamu kwa yale makoloni alioyatawala ,kuwaibia maliasili,kupora mali zao,utumwa,kuwauwa na kufungwa kwa kudai haki ujue ni mwongo na mnafiki.
Hivi Mwingereza anayo jeuri hata ya kuomba msamaha potelea mbali kulipa fidia ya mali alizopora na unyama aliofanyia Afrika mbwa huyo?
Sijakutisha, nimekwambia ukweli na kukuonya. Mungu anasema kwenye kitabu cha Ezekiel kuwa ukimuona mwenzako ana dhambi na usimuonye, Akifa na dhambi yake damu yake itadaiwa mikononi mwako.
Nimetimiza wajibu wangu!
China wako sawa kabisa kumkemea Mmarekani ambaye anajiona na kujipa "UPOLISI" wa dunia. US wana uchaguzi wao in the next two weeks or so. Kiherere cha nini kwenye mambo ya wengine. Bravo China kwa kuwakemea US na wakome kabisa.Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Sasa unafikiri China kumkemea Marekani ndo kutaisimamisha Marekani kuwachukulia hatua??? Kweli Ccm vilaza sana😂😂😂China wako sawa kabisa kumkemea Mmarekani ambaye anajiona na kujipa "UPOLISI" wa dunia. US wana uchaguzi wao in the next two weeks or so. Kiherere cha nini kwenye mambo ya wengine. Bravo China kwa kuwakemea US na wakome kabisa.
Wewe tafsiri kama laana ila umeonywa kikamilifusasa umenionya ama umetoa laaana we unabishana na Maandiko yako tena
Wewe kwa akili yako iliyo "kamili" unadhani US watamchukulia nani hatua hapa Tanzania AU umeaminishwa na Lissu kuwa watakuja kumtetea akishindwa? Mawazo hayo yanaonesha namna usivyo wajua na kuwafahamu hawa wezi na wanyonyaji wa mali za umma.Sasa unafikiri China kumkemea Marekani ndo kutaisimamisha Marekani kuwachukulia hatua??? Kweli Ccm vilaza sana😂😂😂
Soma takwimu za sasa hivi ujue nani anaongoza kiuchumi duniaUnaakili za kitoto sana itakuwa ni form 6 mliotoka Jkt
Kwataarifa yako
Pakistan ni puppet wa USA na anasaidiwa kwa kila kitu hadi saivi USA anakambi zaidi ya 4 ndani ya Pakistani
Huyo China hawezi bishana na USA kwa kuwa yeye mwenyewe bado njaa ,kushindwa kumsaidia Mugabe ,kushindwa kumsaidia Korea ya kiduku saivi wakorea wanalia na vikwazo na chaajabu zaid hata kampuni zake za ndani (huawei na tiktalk ) zinanyanyaswa yeye yupo kimya tuu
Mpuuzi wewe Libya alipeleka amani? Iraq alifanyaje na anachofanya Syria unakijua ameungana na waasi kabisa.China hata kama mnauana na kutiana vilema,as long as wao wanaendelea kupiga pesa basi hiyo siyo concern yao kabisaaaa!Ndio maana Marekani anatambulika kama baba wa kulinda amani ya dunia!
Wewe kwa akili yako iliyo "kamili" unadhani US watamchukulia nani hatua hapa Tanzania AU umeaminishwa na Lissu kuwa watakuja kumtetea akishindwa? Mawazo hayo yanaonesha namna usivyo wajua na kuwafahamu hawa wezi na wanyonyaji wa mali za umma. Kwa maneno yao, wanajaribu kutafuta mtu "wao" hapa nchini ili waweze kuinyonya Tanzania yetu kwa urahisi, lakini wakishindwa (kama ilivyo waziwazi), basi wataendelea na diplomasia yao ya KINAFIKI na kumsahau Lissu. In fact huu ndio mwisho wa "forced political era" ya Lissu.
Kwanza kabisa unaonesha una upeo mdogo sana na mambo ya dunia ya leo pamoja na mambo ya kimataifa. Nafikiri hujui dunia ilivyo na inavyoenda Ndo mana unabwabwaja hapa. Waulize Sudani na Zimbabwe kuwa Marekani ni nani na anaweza kufanya nini watakwambiaWewe kwa akili yako iliyo "kamili" unadhani US watamchukulia nani hatua hapa Tanzania AU umeaminishwa na Lissu kuwa watakuja kumtetea akishindwa? Mawazo hayo yanaonesha namna usivyo wajua na kuwafahamu hawa wezi na wanyonyaji wa mali za umma. Kwa maneno yao, wanajaribu kutafuta mtu "wao" hapa nchini ili waweze kuinyonya Tanzania yetu kwa urahisi, lakini wakishindwa (kama ilivyo waziwazi), basi wataendelea na diplomasia yao ya KINAFIKI na kumsahau Lissu. In fact huu ndio mwisho wa "forced political era" ya Lissu.
Weka ushahidi hapa akijitangazaLord Denning, you are not serious, KWELI HUMJUI SHOGA, pamoja na yeye kujitangaza dunia nzima tangu akiwa Ubelgiji hadi USA? Kweli humjui au!?
Kweli sikuelewi, wewe kwa akili yako timamu unaweza kutulinganisha SISI na Sudan au Zimbabwe au ni ushabiki tu?Kwanza kabisa unaonesha una upeo mdogo sana na mambo ya dunia ya leo pamoja na mambo ya kimataifa. Nafikiri hujui dunia ilivyo na inavyoenda Ndo mana unabwabwaja hapa. Waulize Sudani na Zimbabwe kuwa Marekani ni nani na anaweza kufanya nini watakwambia
Wachina wasitufanye sie wapumbavu, watoe kelele zao hapa. Wao wanajua wana maslahi na CCM ambayo Tundu Lissu anaweza kuyafutilia mbali akipitaSerikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Nimefarijika sana kusikia Wajamaa wenzetu sasa wameongea.,Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Mmarekani katupiwa kombora la korona na china, mpaka leo hajui atajikomboajeKwa hiyo America wao wana AK 47 peke yake hawana silaha nyingine
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app