Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

China hajawahi kuwa na demokrasia wala haki za binadamu
Atupishe tufanye yetu na kwa kuheshimu msingi wa utu ubinadamu na uhuru.
Enzi za utumwa na ubakaji wa haki za raia umepitwa na wakati
 
hahaha daaah, federal reserve is a scam! anyway ownership hii apa, usije ukatia aibu mbelen ukuulizwa swali kama hili

We jamaa ni kilaza sana. Hiki ulicholeta ni nini??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
soma apo chini ownership ya federal reserve usitutie aibu tena
 
Kweli Mnama hatumpi Pombe wala Tundu hapa Ni kupiga mpunga tu Hashim Rungwe aka Spunda atosha.
 
Daah iyo ndo official website??? Hivi unajua hapo wikipedia hata wewe unaweza kuedit???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

si nlisema dogo ni kichaa uyu hya oneni, so unadhan ukiedit ndo direct inakua ulichoandika? wikipedia ndo encyclopidia ya dunia for now, sasa wacha story mob nenda kasome, unaonekana chizi tu apa, sasa kama wikipedia unashangaa na nkikuonyesha internet ya pili ambayo google haiwezi search si ndo utakimbia sasa
 
Kwa iyo wikipedia ndo official website ya Federal reserve???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi huko Lumumba huwa mnalishwa nini???πŸ˜‚
 
 

Mkuu una moyo sana. Shida watu kama nyie huwa hamna kumbukumbu na hata kama mnayo mtajifanya kusahau na kuja na fallacy Mpya. Mlikuwa na Twende na Membe Sasa mmemtosa. JPM HAKUNA WA KUMSHINDA. 5 more years. Ntakuja kula bata January. Najua mambo ya Ubungo na Mbezi sijui yatakuwa tayari. Nipitishe BMW kwa rahaaaaaa.
 
Wewe na nani? China wanasema ukweli. Wakati Marekani ina matatizo na uchaguzi wao wa ndani, balozi wao ataionya vipi TZ. Hivi na sisi balozi akisema hivyo USA itakubali.
 
Hata Marekani ni matapeli tu.
 
Ndio China ina nguvu kuliko marekani. Angalia nchi zinazoidai marekani ni nchi gani inaongoza kwa kudai mpunga mrefu. Njoo pima vigezo vyote marekani kaachwa mbali. Idadi ya watu, biashara na kila kitu
 
Kataa kubali, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu
 
Kwa iyo wikipedia ndo official website ya Federal reserve???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi huko Lumumba huwa mnalishwa nini???πŸ˜‚

FEDERAL RESERVE ni scam, wao ndo wanasababisha pesa za nchi zingine ziloose value, unataka waiandike hii kwenye official website yao ama, kama hutaki kusoma thats upto you dogo
 
Ndio China ina nguvu kuliko marekani. Angalia nchi zinazoidai marekani ni nchi gani inaongoza kwa kudai mpunga mrefu. Njoo pima vigezo vyote marekani kaachwa mbali. Idadi ya watu, biashara na kila kitu
Mwambie china kuna kiwanda cha urafiki hapo mabibo kakitelekeza. Aje akifufue kwanza sio kupambana na mwanaume Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…