Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hoja iliyopo mezani kwa sasa ni tuma iyo official website ya federal reserve of America kuthibitisha kama ni private company. UsikimbieFEDERAL RESERVE ni scam, wao ndo wanasababisha pesa za nchi zingine ziloose value, unataka waiandike hii kwenye official website yao ama, kama hutaki kusoma thats upto you dogo
Wakiingia utakuwa kwanza kujuta. Kawaulize Wairaki na Walibya. Walipiga makofi kumuondoa Sadam Husesein na Muamar Qadarfi, matokeo yake mpaka l;eo wanachinjana. Amani na starehe walizokuwanazo zote zimeyeyuka. Baada ya Marekani kushindwa kurejesha amani huko wamejirudia nyumbani wanastarehe huko Walibya na Wairaki wanateseka. Usiomee usilolijuwa.Kuna watetezi wa CCM lakini "Mafao ya viongozi wastaafu yashtua"! Tujaribu kwa upande mwingine! Sio dhambi
Kwa huu ujinga naomba marekani waingie hata sasa .
Kwa nini akutumie website? Wewe huwezi kuitafuta mwenyewe!Hoja iliyopo mezani kwa sasa ni tuma iyo official website ya federal reserve of America kuthibitisha kama ni private company. Usikimbie
Mbona mnapenda kutoa mifano ya Iraq na Libya tu??? Mbona hamsemi Korea Kusini??? Malyasia??? Taiwan??? Singapore, Umoja wa Falme za Kiarabu, Qatar, IsraΓ«l, Jordan, Hong Kong??? Kuwait??? Ambao ni washirika wa Marekani na mataifa ya mfano kwenye uchumi safi na Maendeleo??Wakiingia utakuwa kwanza kujuta. Kawaulize Wairaki na Walibya. Walipiga makofi kumuondoa Sadam Husesein na Muamar Qadarfi, matokeo yake mpaka l;eo wanachinjana. Amani na starehe walizokuwanazo zote zimeyeyuka. Baada ya Marekani kushindwa kurejesha amani huko wamejirudia nyumbani wanastarehe huko Walibya na Wairaki wanateseka. Usiomee usilolijuwa.
Ili ajithibitishie kama hoja yake ni kweli au la. Na pia ajifunze kuwa hili ni jukwaa la great thinkers wenye exposure zao sio sehemu ya kuleta propaganda na uongo maana unaaibika mchana kweupeKwa nini akutumie website? Wewe huwezi kuitafuta mwenyewe!
Kwani wanaogombea ni wazungu au ni waafrika!?Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Nyie endeleeni kujidanganya na kujipea moyo, we are not Arabs, mtajikuta wenyewe barabarani mtandikwe mpotezwe na life litaendelea.Watatupangia tu maana hatuna uwezo wa kujiongoza, na tutawaunga mkono kwa hatua watakazochukua dhidi ya utawala dhalimu.
Umeona ya Musoma na Songwe leo??? Au Kilombero???Nyie endeleeni kujidanganya na kujipea moyo, we are not Arabs, mtajikuta wenyewe barabarani mtandikwe mpotezwe na life litaendelea.
Unaona Libya lkn? Ndio demokrasia marekani anayoachaga, sasa unga mikono na miguu na kichwa kabisa
Ndo unajidanga hivyo, Siasa ni nuru ya maslai yao.. kawa hawajali why wametoa tamko.?China hawajali siasa zako. They don't care ww ni mjamaa au mbepari, una demokrasia au huna. Hawaingilii mambo yako ya ndani.
Wewe umeona nyomi la Moshi, Himo, Mwanga, Same ambapo ndio ngome zenu kubwa au bado mnakuja na kisingizio wamebebwa, watanzania hawawezi amua mtu wanayemjua fika ni kipenzi cha wazungu. Yani msahau, hilo nyomi lenu halifikii hata nusu ya lowasa, na alishindwa.Umeona ya Musoma na Songwe leo??? Au kilombero???
Endelea tu kuishi kwa kukariri. Watanzania tumeshaamua mwaka huu, uonevu sasa baaasi!!!
Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuukabidhi uhuru wetu kwa wakoloni weusi na mabwana wao, mabeberu wabovu kiliko wote duniani, WACHINA!Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
πππSijawahi kuiamini China.
Juzi Kati, ni likagua entertainment industries za China, Russia na US kuputia Youtube. Nilishangazwa sana na wachina walivyo creative siku hizi!! Kwa hiyo siwezi kushangazwa na taarifa hii.kuna watu wanaichukulia china poa
Ata Bot yenye wana control waoMpumbavu kweli wewe jamaa "FEDERAL RESERVE" ni taasisi ya kiserikali yenye majukum sawa na ya "Bank of Tanzania" BOT
Trust me, wamarekani watatutafuta ubaya hapo mbeleni.Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Unachanganya mambowanazo tena nyingi tu, ila russia na china ni kitu kimoja! marekani hana modern weapons kama russia na china walivo nazo, marekani cant fight even china alone, infact hata vita ya uchumi tayar washaloose kwa china, kwa sababu kila mtu akirudi nchini kwake marekani inabaki hopeless, hata google ilitengenezwa na mrussia na ndo spy mkubwa hii dunia haijawahi tokea wakishairikiana na FBI, sasa utawafanya nn, there is nothing you can do, ndo uzuri wa ubabe kwa ubabe
China ndiyo inaingilia uchaguzi kwa kuifadhili CCM ebu wachina tulieni mmetajirika kwa soko la vitu feki toka nchini mwenuSerikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Hakuna uhuru Tanzania siyo Nchi huru ilinunuliwa mwaka 1998 ipo chini ya Mkoloni mweusi kaburu sasa inaenda kupata uhuru tarehe 28 pindi chadema wakiingia ikuluTrust me, wamarekani watatutafuta ubaya hapo mbeleni.
Sisi hatutakubali kuingiliwa mambo yetu ya ndani