Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

FEDERAL RESERVE ni scam, wao ndo wanasababisha pesa za nchi zingine ziloose value, unataka waiandike hii kwenye official website yao ama, kama hutaki kusoma thats upto you dogo
Hoja iliyopo mezani kwa sasa ni tuma iyo official website ya federal reserve of America kuthibitisha kama ni private company. Usikimbie
 
Wakiingia utakuwa kwanza kujuta. Kawaulize Wairaki na Walibya. Walipiga makofi kumuondoa Sadam Husesein na Muamar Qadarfi, matokeo yake mpaka l;eo wanachinjana. Amani na starehe walizokuwanazo zote zimeyeyuka. Baada ya Marekani kushindwa kurejesha amani huko wamejirudia nyumbani wanastarehe huko Walibya na Wairaki wanateseka. Usiomee usilolijuwa.
 
  • Thanks
Reactions: mmh

Mbona mnapenda kutoa mifano ya Iraq na Libya tu??? Mbona hamsemi Korea Kusini??? Malyasia??? Taiwan??? Singapore, Umoja wa Falme za Kiarabu, Qatar, Israël, Jordan, Hong Kong??? Kuwait??? Ambao ni washirika wa Marekani na mataifa ya mfano kwenye uchumi safi na Maendeleo??
 
Kwa nini akutumie website? Wewe huwezi kuitafuta mwenyewe!
Ili ajithibitishie kama hoja yake ni kweli au la. Na pia ajifunze kuwa hili ni jukwaa la great thinkers wenye exposure zao sio sehemu ya kuleta propaganda na uongo maana unaaibika mchana kweupe
 
Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Kwani wanaogombea ni wazungu au ni waafrika!?
Kwa nini tufanyiane uhuni kwenye uchaguzi kwa sababu ya CCM kungangania madaraka.

Bora basi CCM waibe kura lakini wasitawale kwa Jeuri.
Yani MTU anakuibia halafu anajimwambafai na kutawala kwa jeuri, kiburi,dharau, majivuno na kila aina ya ubabe. Haikubaliki.
Ukiiba kuwa mstarabu sio kujisifu.
CCM imeuza Uhuru wetu na rasilimali zetu kwa China kwa sababu ya uroho tu.

China ndilo Taifa linalotaka kuitawala dunia na kuwanyonya waafrika kwa hali na Mali. Kama ilivyo CCM ,China wanawanyonya waafrika na kuwatukana kwa Jeuri ,mfano ni kule Kenya kuna mchina aliwaita waafrika Tumbili.

Uchaguzi watuachie wenyewe ili tumdhibiti Kiumbe yeyote atakayetaka kuvuruga uchaguzi.
Hii kanuni ya kumgawana naona ni nzuri.
Hawa wasimamizi wa Uchaguzi kwa miaka mingi wamechezea amani ya nchi yetu kwa kufanya uhuni kuwapitisha watu walioshindwa.
Mwaka huu muhuni yeyote hapaswi kupewa nafasi ya kufurahia uhuni wake.
MTU akivuruga matokeo anapaswa naye afurugwe tuu mana hakuna namna nyingine.
 
Watatupangia tu maana hatuna uwezo wa kujiongoza, na tutawaunga mkono kwa hatua watakazochukua dhidi ya utawala dhalimu.
Nyie endeleeni kujidanganya na kujipea moyo, we are not Arabs, mtajikuta wenyewe barabarani mtandikwe mpotezwe na life litaendelea.

Unaona Libya lkn? Ndio demokrasia marekani anayoachaga, sasa unga mikono na miguu na kichwa kabisa
 
Umeona ya Musoma na Songwe leo??? Au Kilombero???

Endelea tu kuishi kwa kukariri. Watanzania tumeshaamua mwaka huu, uonevu sasa baaasi!!!
 
Umeona ya Musoma na Songwe leo??? Au kilombero???

Endelea tu kuishi kwa kukariri. Watanzania tumeshaamua mwaka huu, uonevu sasa baaasi!!!
Wewe umeona nyomi la Moshi, Himo, Mwanga, Same ambapo ndio ngome zenu kubwa au bado mnakuja na kisingizio wamebebwa, watanzania hawawezi amua mtu wanayemjua fika ni kipenzi cha wazungu. Yani msahau, hilo nyomi lenu halifikii hata nusu ya lowasa, na alishindwa.
Nakuhakikishia jamaa, nyinyi ni washiriki tu. Tar 28 ni kesho kutwa, tutaona, nani asiewajua nyinyi keyboard warriors
 
Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuukabidhi uhuru wetu kwa wakoloni weusi na mabwana wao, mabeberu wabovu kiliko wote duniani, WACHINA!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
kuna watu wanaichukulia china poa
Juzi Kati, ni likagua entertainment industries za China, Russia na US kuputia Youtube. Nilishangazwa sana na wachina walivyo creative siku hizi!! Kwa hiyo siwezi kushangazwa na taarifa hii.
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Trust me, wamarekani watatutafuta ubaya hapo mbeleni.

Sisi hatutakubali kuingiliwa mambo yetu ya ndani
 
wanazo tena nyingi tu, ila russia na china ni kitu kimoja! marekani hana modern weapons kama russia na china walivo nazo, marekani cant fight even china alone, infact hata vita ya uchumi tayar washaloose kwa china, kwa sababu kila mtu akirudi nchini kwake marekani inabaki hopeless, hata google ilitengenezwa na mrussia na ndo spy mkubwa hii dunia haijawahi tokea wakishairikiana na FBI, sasa utawafanya nn, there is nothing you can do, ndo uzuri wa ubabe kwa ubabe
Unachanganya mambo
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
China ndiyo inaingilia uchaguzi kwa kuifadhili CCM ebu wachina tulieni mmetajirika kwa soko la vitu feki toka nchini mwenu
 
Trust me, wamarekani watatutafuta ubaya hapo mbeleni.

Sisi hatutakubali kuingiliwa mambo yetu ya ndani
Hakuna uhuru Tanzania siyo Nchi huru ilinunuliwa mwaka 1998 ipo chini ya Mkoloni mweusi kaburu sasa inaenda kupata uhuru tarehe 28 pindi chadema wakiingia ikulu
 
Back
Top Bottom