Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

China wamepewa tena Bandari ya Bagamoyo kwa siri ili wawasaidie CCM kupenya kwenye Tundu maana hali ni mbaya sana
 
China hajawahi kuwa na demokrasia wala haki za binadamu
Atupishe tufanye yetu na kwa kuheshimu msingi wa utu ubinadamu na uhuru.
Enzi za utumwa na ubakaji wa haki za raia umepitwa na wakati
China wana mfumo wa chama kimoja tu hawana mfano wa kuigwa hata mmoja
 
Wewe na nani? China wanasema ukweli. Wakati Marekani ina matatizo na uchaguzi wao wa ndani, balozi wao ataionya vipi TZ. Hivi na sisi balozi akisema hivyo USA itakubali.
Kwenye kuomba misaada ya pesa Mbona hamsemi kuwa huko Marekani kuna watu Masikini wapewe hizo pesa kwanza kabla yenu nyinyi?
 
Nyie endeleeni kujidanganya na kujipea moyo, we are not Arabs, mtajikuta wenyewe barabarani mtandikwe mpotezwe na life litaendelea.
Unaona Libya lkn? Ndio demokrasia marekani anayoachaga, sasa unga mikono na miguu na kichwa kabisa
Bora hivyo kuliko nyinyi kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi
 
Kama ni kweli si jambo la kushangaza kwa China kusema hivyo, inalinda maslahi yake zaidi.

Amekuwa mfadhili mkuu wa viongozi wengi waovu hasa Afrika na hata wakati mmoja hutomsikia akitoa maoni kuhusu demokrasia kukandamizwa.
 
Wangekua hawapatani kusingekua kuna G8 wala G20. Wanakaaje pamoja na kufanya vikao juu ya uchumi wa dunia wakiwa wamekosana. Usijidanganye hawa watu wame unit kuliko unavofikiria. Ukiona wamekosana ujue wanawaigizia tu. Na point is wanaokosana ni wananchi sio serikali. Serikali za hizi nchi zina umoja sana.
 
Wakuache? Wanakupenda na wanakutaka na wakishindwa kukupata kwa kukupiga sound wanatumia nguvu. We are always in love with these people. We act so romantic to them. The reason why we call them mabeberu. Sijui ss ni mbuzi
 
China wamepewa tena Bandari ya Bagamoyo kwa siri ili wawasaidie CCM kupenya kwenye Tundu maana hali ni mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji850][emoji850][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji850][emoji850][emoji850][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] no no no. Stop that brother. Ati "kisirisiri".
At this point anything can be possible. We never know. But lets wait for the election. May be its not true.
 
Nasi twaionya China, yetu hayawahusu waache kutuingilia sisi ni nchi huru wao na demokrasia wapi na wapi ni mbingu na ardhi. Wao ni madikteta sisi ni democratic
 
Vipi figisu za mawakala wa vyama vya upinzani kuanza kuchezewa rafu
 
China anaingilia uchaguzi wetu. Yeye ni nani kutusemea?
Ni mnufaika wa raslimali zetu.
Pia ni mnufaika wa hela zetu kwa kuzipora kupitia madalali wa viwanda vyao yaani machinga na bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…