Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Atoe tu kwa kujifurahisha. Hakuna anayetoa povu. Tunachowaambia wana lumumba ni kuwa China si lolote si chochote
Huyo unaemuona kuwa ni chochote mbona alishindwa kupambana na corona kutoka kwa mchina? Mbona anasumbukiwa na Korea kasikazini Kila siku anaomba mazungumzo?.Hizo Zama za marekani zimeshapita kwasasa anatembelea heshima yake aliowahi kukujengea huko nyuma,Ila hana maajabu yoyote ya kutishia dunia.
 
Hizi Ni story za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Amerika akizima mitambo hizi ghasia zote zitaisha hakuna JF wala tweeter wala ukwaju
 
America wepesi sana na wapumbavu sana.wanafikri wanaweza kuifanya Tanzania kama Libya .subutu.sisi tuna makombora ya kibingu. Corona waliyotengeneza imewashinda sembuse the blessed land .
 
Naona mnatambiana mabwana wengine wanasifia mabwana zao wachina wengina mabwana zao marekani,mwengine anaona ni sahihi mabwana wake kuingilia maisha yake binafsi na kumsifia kwa hilo na mwengine anamsifia bwana wake kwa kutokuingilia maisha yake binafsi.
 
Amerika akizima mitambo hizi ghasia zote zitaisha hakuna JF wala tweeter wala ukwaju
Unalolote unalojua kuhusu IT au unaropokwa tu? We unadhani dunia inaishi kwasababu ya uwepo wa twitter na huo upuuzi wako sijui Jf😳.
 
China nayo huifanyia kampeni CCM!
 
America wepesi sana na wapumbavu sana.wanafikri wanaweza kuifanya Tanzania kama Libya .subutu.sisi tuna makombora ya kibingu. Corona waliyotengeneza imewashinda sembuse the blessed land .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una kombola la kumtisha America wewe????
 
Huko Ccm mnakaririshwa ujinga eeeh??? Nani kakwambia Marekani kashindwa kupambana na Corona??? Na mnakaa kabisa mnaaminishana kuwa Marekani anaomba mazungumko wa korea kaskazini???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Daah kwa ujinga huu wa wana Ccm ni lazima tuwatoe madarakani mwaka huu. Hatuwezi ongozwa na wajinga kiasi hiki
 
Tatawbadilikia waachina na tutawabonda wasilete za kuleta mbwa hawa wanatumiwa na mafisi
 
Kumbe ww ni libot, nyie endeleeni kuota mtaichukua nchi, yani tuwape vibaraka wa mabeberu. In your wet dreams.
CCM wakipeleka njaa zao ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu ujinga wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Mchina hana uchungu na sisi anachopigania ni maslahi ya kibiashara na kupoka raslimali zetu. Kwanza taifa hilo linaongoza kwa kukiuka haki za binadamu kwa raia wao.Mifano michache ni kuwabagua, kuwatesa na kutaka kuwafuta duniani wa Uighurs, raia ambao idadi yao ni wachache ambao pia ni waumini wa dini ya ki islamu.Na pia China imekuwa ikiwatesa na kuwaua waumini wa dhehebu la Falun Gong.
Hata huko China kwenyewe harakati za kupigania Haki za Binadamu ni sehemu ya maisha ya baadhi ya raia. Mauaji ya Tiananmen Square mwaka1989 yalitokana na watu kuchoka ubinywaji wa haki zao na kuamua kuingia mtaani kudai haki zao. Mchina asijitie kimbelembele akae pembeni atulie na ikibidi akasafishe nyumba yake kwanza maana sisi ndio tunaoguswa na wenye uchungu na nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…