stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Zinajiripoti automatically
basi mtulie msisumbue sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinajiripoti automatically
Huyo unaemuona kuwa ni chochote mbona alishindwa kupambana na corona kutoka kwa mchina? Mbona anasumbukiwa na Korea kasikazini Kila siku anaomba mazungumzo?.Hizo Zama za marekani zimeshapita kwasasa anatembelea heshima yake aliowahi kukujengea huko nyuma,Ila hana maajabu yoyote ya kutishia dunia.Atoe tu kwa kujifurahisha. Hakuna anayetoa povu. Tunachowaambia wana lumumba ni kuwa China si lolote si chochote
Hizi Ni story za kwenye vijiwe vya kahawa.hahaha pole sana bro, wacha nkupe details, hizi taarifa kuna mbungo jana nlimwambia hapa hapa forum skumbuki thread ilikua inahusiana na nn, yeye alikua anasema wnaksanya evidence eti wanapeleka mahakama ya kitaifa baada ya uchaguzi!
- Pakistan kama sio suppport ya russia basi wamarekani wangewaonea sana kwa sababu israel wanawaonea sana! israel wanawaonea pakistan kwa sababu israel ina full support ya USA, russia walistep in, ushawahi skia tena israel wanawaonea pakistan? heshima imerudi si ndio?
- China ana ugomvi mkubwa na marekani kwenye battle ya space, kila contract marekani wanaofanya wanawatenga china kwenye
kusign, hata international space station ilivoanza kazi china walitengewa na wakasema watatengeneza ya kwao isiwe tabu,
baada ya hapo sasa china wakasema isiwe tabu, russia ndo watengenezaji wa rocket dunia hii hakuna nchi wanatengeneza rocket efficient kama russia, china wamepatner nao, leo marekani wamebaki wanarusha rocket kupitia kampuni inaitwa spacex inamilikiwa na mwamba mmoja anaitwa ELON MUSK, ni msouth africa aaliehamia marekani
- Mpaka lei russia na china ni wamoja katika rockets, sasa rockets ndo missles dogo, ndo imekuja ilo neno INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, saaahv pakistan wankaa kwa raha bana we unadhan marekani ndo dunia yao saaahv, marekani walipigwa mpaka na vietnam, have you ever heard of september 11? unajua nan ndo yuko nyuma ya hili shambulio, unajua kwann marekani hawajajibu mashabulizi, kama hujui kaaa kimya! ila kaa ukijua marekani can do nothing on us unless support yetu ihame
Amerika akizima mitambo hizi ghasia zote zitaisha hakuna JF wala tweeter wala ukwajuHuyo unaemuona kuwa ni chochote mbona alishindwa kupambana na corona kutoka kwa mchina? Mbona anasumbukiwa na Korea kasikazini Kila siku anaomba mazungumzo?.Hizo Zama za marekani zimeshapita kwasasa anatembelea heshima yake aliowahi kukujengea huko nyuma,Ila hana maajabu yoyote ya kutishia dunia.
Unalolote unalojua kuhusu IT au unaropokwa tu? We unadhani dunia inaishi kwasababu ya uwepo wa twitter na huo upuuzi wako sijui Jf😳.Amerika akizima mitambo hizi ghasia zote zitaisha hakuna JF wala tweeter wala ukwaju
China nayo huifanyia kampeni CCM!Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Mpo wachache wa aina yako, usichelewe kulijua hiloAcha kiburi Cha UfisiCCM wewe.
I tell u, CCM hawana hati miliki ya nji hii na wataondoka tu!!!CCM haiwezi kutawala Tanzania milele never ever!!!
Pole yakoAmka usingizini. Ccm ni Chama pinzani kuanzia mwezi November 2020
Ni vizuri ukajipa Polee wewePole yako
😂😂😂😂 una kombola la kumtisha America wewe????America wepesi sana na wapumbavu sana.wanafikri wanaweza kuifanya Tanzania kama Libya .subutu.sisi tuna makombora ya kibingu. Corona waliyotengeneza imewashinda sembuse the blessed land .
Kama binti bikira..Kwahiyo Tanzania inagombaniwa kama mpira wa kona.
Huko Ccm mnakaririshwa ujinga eeeh??? Nani kakwambia Marekani kashindwa kupambana na Corona??? Na mnakaa kabisa mnaaminishana kuwa Marekani anaomba mazungumko wa korea kaskazini???😂😂😂😂Huyo unaemuona kuwa ni chochote mbona alishindwa kupambana na corona kutoka kwa mchina? Mbona anasumbukiwa na Korea kasikazini Kila siku anaomba mazungumzo?.Hizo Zama za marekani zimeshapita kwasasa anatembelea heshima yake aliowahi kukujengea huko nyuma,Ila hana maajabu yoyote ya kutishia dunia.
Nimejipa pole kitambo kwa kujaribu kuelewesha asiyeelewaNi vizuri ukajipa Polee wewe
Basi jipe Polee tena kwa sababu wewe ndo usiejielewaNimejipa pole kitambo kwa kujaribu kuelewesha asiyeelewa
Tatawbadilikia waachina na tutawabonda wasilete za kuleta mbwa hawa wanatumiwa na mafisiSerikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
CCM wakipeleka njaa zao ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu ujinga wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jikeKumbe ww ni libot, nyie endeleeni kuota mtaichukua nchi, yani tuwape vibaraka wa mabeberu. In your wet dreams.
Wachina wameahidiwa kupewa Bandari tena na kupewa Tenda kibao na CCM ndiyo maana wamejitoa fahamu zoteTatawbadilikia waachina na tutawabonda wasilete za kuleta mbwa hawa wanatumiwa na mafisi