Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Kuna watetezi wa CCM lakini "Mafao ya viongozi wastaafu yashtua"! Tujaribu kwa upande mwingine! Sio dhambi

Kwa huu ujinga naomba marekani waingie hata sasa .
 
Unaakili za kitoto sana itakuwa ni form 6 mliotoka Jkt

Kwataarifa yako
Pakistan ni puppet wa USA na anasaidiwa kwa kila kitu hadi saivi USA anakambi zaidi ya 4 ndani ya Pakistani

Huyo China hawezi bishana na USA kwa kuwa yeye mwenyewe bado njaa ,kushindwa kumsaidia Mugabe ,kushindwa kumsaidia Korea ya kiduku saivi wakorea wanalia na vikwazo na chaajabu zaid hata kampuni zake za ndani (huawei na tiktalk ) zinanyanyaswa yeye yupo kimya tuu
 
Mbele ya China na USA,nchi za ulimwengu wa tatu,hususani TZ ni Kama Malaya wanaojiuza,kila mmoja anapigania amchukue akampige pipe,hawana kipya hao.

Mchina yeye anafanya lobbying,ushawishi wa siri kuhusu mradi gani ujengwe,anatoa Rushwa ndefu kwa baadhi ya waandamizi,anachukua mradi anapanga bei,anaweka masharti makubwa na magumu endapo mtashindwa kulipa mkopo,mchina aingilii mnavyotenda,hata mkikiuka haki za binadamu yeye haimuhusu.

USA na nchi za magharibi,wao ni mpaka utilize viwango fulani vya kulinda haki za binadamu ndio anatoa pesa.
 
China hawajali siasa zako. They don't care ww ni mjamaa au mbepari, una demokrasia au huna. Hawaingilii mambo yako ya ndani.
They care about:

1. Wewe ni soko la bidhaa zao.

2. Utaendelea kuwapa tenda za ujenzi

3. Utaacha raia wao wafanyebkazi kwa UHURU ndani ya jamhuri ya Danganyika hata kama ni za kuchezesha makorokoro ya bahati nasibu.

Ukiwapa hayo wewe hata UA kiatili ndugu zako tu wenye rangi nyeusi tiii, wao hawana muda na wewe.
 
China hawajali siasa zako. They don't care ww ni mjamaa au mbepari, una demokrasia au huna. Hawaingilii mambo yako ya ndani.
China hata kama mnauana na kutiana vilema,as long as wao wanaendelea kupiga pesa basi hiyo siyo concern yao kabisaaaa!Ndio maana Marekani anatambulika kama baba wa kulinda amani ya dunia!
 
Kwa hiyo America wao wana AK 47 peke yake hawana silaha nyingine



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

wanazo tena nyingi tu, ila russia na china ni kitu kimoja! marekani hana modern weapons kama russia na china walivo nazo, marekani cant fight even china alone, infact hata vita ya uchumi tayar washaloose kwa china, kwa sababu kila mtu akirudi nchini kwake marekani inabaki hopeless, hata google ilitengenezwa na mrussia na ndo spy mkubwa hii dunia haijawahi tokea wakishairikiana na FBI, sasa utawafanya nn, there is nothing you can do, ndo uzuri wa ubabe kwa ubabe
 
Haya madikteta yameanza. Kwao yamemetekwa akili na Xi Ping eti awe kiongozi wa maisha.
 
China hata kama mnauana na kutiana vilema,as long as wao wanaendelea kupiga pesa basi hiyo siyo concern yao kabisaaaa!Ndio maana Marekani anatambulika kama baba wa kulinda amani ya dunia!

hahaha wanalinda amani gan? kumuua gadafi?
 
Kwa ujinga wa Ccm wanadhani kujipeleka kwa China ndo wako salama!! Ccm kweli vilaza sana.

Mugabe alivyopigwa sanctions na Marekani na Uingereza walijifanya kumbeba Ila Zimbabwe ilikuwaje kiuchumi pamoja na kubebwa na China??? Zimbabwe ilikufa kiuchumi huku ikiwa inabebwa na China na siku ya mwisho mnagangwa akampindua Mugabe kwa support ya hao hao China na sasa kawarudisha Uingereza na Marekani Zimbabwe.

CHINA ndo mshenzi kuliko hata Marekani maana yeye ndo amechangia sana kubeba rasilimali za Tanzania hasa pembe za ndovu kipindi cha Kikwete. Sasa kama Magufuli anaona yuko salama kwa China asubiri mziki wake ataona.

Mwisho ni kwamba hakuna wa kuzuia mabadiliko Tanzania mwaka huu. Magufuli lazima atoke
 
Mambo ni 🔥🔥🔥
Secretary Pompeo fanya yako naona hadi Beijing wamekurupuka tayari
 
Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu CHINA! Je ni kwanini CHINA inawaandama wanaohimiza uchaguzi kuwa huru na wa haki Tanzania?? Marekani wameshaweka wazi kuwa hawana mgombea Tanzania lakini wangependa kuona uchaguzi wetu unakuwa huru na wa haki! Je kuto wito huu tayari ni kuingilia uchaguzi wa nchi nyingine???
Au labda China wanaogopa CCM ikianguka watapoteza ulaji kwenye uwekezaji????
Kwanini wao CHINA hawaimizi uchaguzi kuwa wa haki , ila tu wanayasuta mataifa yanayoimiza suala hili??? Tunajua chama cha china ni marafiki na CCM, Je au ndio kusema CCM inajaribu kuwaziba mdomo mataifa mengine kupitia China???
Nawasihi CHINA wayaache mataifa yanayosimamia AMANI ya dunia yafanye kazi ya kuepusha uvunjifu wa AMANI, Sote tunajua HAKI ndio msingi mkuu wa AMANI! Mahala popote pasipo na haki hata kama pataonekana kuwa na amani, basi amani hiyo ni ya bandia, tunataka AMANI YA KWELI!
 
China inafaidika sana na udhalimu wa CCM. Hatujasahau balozi wa China alivyovaa nguo za CCM na kupanda jukwàani
 
Hivi mnapata wapi ujasiri wakuongelea kitu ambacho hamna maarifa nacho? Kwani hizo ICBM anazo China na Urusi tu? Acheni stories za vijiweni za kupotezea muda mkiwa idle? Eti wakibofya tu Marekani majivu kha😂😂
Embu naomba uniambie destructive range and parimeters ya hizo ICBM walizokuwa nazo hao uliowataja.
 
Tulieni mpapaswe kwanza tarehe 28 hayo mapovu mkafulie bendera za chama baada ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…