Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Hahahahaha, acha uongo ndugu, Lissu tunampiga wenyewe asubuhi tu huku kwetu kanyamsenga kwenye sanduku LA kura!
 
China siyo nchi ya kuongelea demokrasia, haki au maendeleo ya watu. China ni nchi ya kidikteta, na kwenye maendeleo ya watu ni nchi ya 89 Duniani, inazidiwa hata na baadhi ya nchi za Afrika.

Wachina, kwa kadiri ya tafiti za wanasaikolojia, haigundui chochote zaidi ya kuiga kwa sababu mfumo wa nchi yao ni ule usiotoa uhuru wa watu kufikiri.

China ina pato kubwa la nchi kutokana na uwingi wa watu lakini maendeleo ya mtu mmoja mmoja, ni duni sana. Sisi tunataka HAKI, UHURU na MAENDELEO YA WATU. Vitu ambavyo, vyote China haina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China wafadhili wakuu wa CCM,sponsa anapoona danga lake linakoromewa lina haki ya kuvimba!!
Hii kiboko haki nimecheka......!!

Yani bongo ni danga la wachina kwa sababu ya madili wanayopewa na serikali ya ccm so wachina wakiona wamarekani wanaipiga mkwara serikali ni lazima waikoromee...
 
Demokrasia ni asili ya magharibi udikteta ni asili ya uchina, watawala upenda udikteta ili kuwaumiza watu. Kina jiwes and company awataki mtu anaewaambia kuhusu demokrasia
 
Toa mfano wa rasrimali anazoiba
Nenda tu hapo DRC na Mozambique ukaone jinsi wachina wanavyokata magogo usiku na mchana. Ni waharibifu wakubwa wa mazingira. Na ni watu wachafu sana kimaadili. Wanapenda sana kuhonga ogisi za umma ili wasilipe kodi.

Mzungu anakuja Afrika kutafuta faida lakini ana utu na maadili ya biashara lakini mchina ni shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha, acha uongo ndugu, Lissu tunampiga wenyewe asubuhi tu huku kwetu kanyamsenga kwenye sanduku LA kura!
Sawa kijana. Nadhan sina haja ya kubisha kwa hoja na mtu asiejielewa kama wewe. Maana ni imani yangu kwa maoni haya kichwani uko mweupe kabisa kwa masuala ya kimataifa katika kila nyanja ya maisha. Na istoshe kama CCM inaamin inaweza kushinda kwa kishindo cha zaidi ya 80% ni bora ithibitishe kwa kutengeneza mchuano wenye haki sawa maana wakifanya hivo tutajionalea wwnyewe bila figisu, lakin kwakua we ni mweupe hakuna unaloliona na unabaki kushabikia ujinga tu bila hoja zenye mashiko.
 
Hawa ndo watu wanatakiwa kuwa JF. Bahati mbaya sana siku hizi forum imejaza wajinga wengi kuliko wenye maarifa kama huyu.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ TZ inagombaniwa na mabeberu! by the way, CHINA lazima aisapoti TZ mana ukiachilia miradi mbali mbali ambayo wao ndo mafundi, kuna sapoti ya kuimeza Taiwan kutoka Tanzania, jambo ambalo linafanana na Tanzania kutaka kumaliza kuimeza Zanzibar.
 

yeap yeap, but there are still chances znaweza kutumika, humans ni self destructive creatures! bila uongozi humans wanfanya damage kubwa sana. but haitakua because ya tanzania, izi ni politics tu za kujisogeza mbele za china na usa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…