Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Zhongtong BusSpeed/ kuchanganya mapema na stability ya climber ipo poa kuliko mega
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwauzia wakina Kimbakae, Mvuha etcZile Scania Polo za Abood ziko wapi? Maana napishana tu na Abood Yutong ndio ziko barabarani zinapiga kazi
Engine ni Weichai au Cummins?Zhongtong Bus
Walianza na Zhongtong Caesar, Zhongtong Climber na saizi wanatengeneza Zhongtong Mega.
Hao wanaopenda Climber ni kuwa wanapenda old fashioned na Climber hazitozalishwa tena. Zhongtong Caesar ndio ilianza sokoni ikafanyiwa maboresho makubwa kuanzia face-lift,side show,cock pit,engine, na muonekano wa nyuma.
Zhongtong Mega ni maboresho machache ya Zhongtong Climber kwenye Taa za mbele,show ya ubavuni na taa za nyuma. Engine na suspension system ni ile ile
Mega imesimama wanaiita umemeZhongtong Bus
Walianza na Zhongtong Caesar, Zhongtong Climber na saizi wanatengeneza Zhongtong Mega.
Hao wanaopenda Climber ni kuwa wanapenda old fashioned na Climber hazitozalishwa tena. Zhongtong Caesar ndio ilianza sokoni ikafanyiwa maboresho makubwa kuanzia face-lift,side show,cock pit,engine, na muonekano wa nyuma.
Zhongtong Mega ni maboresho machache ya Zhongtong Climber kwenye Taa za mbele,show ya ubavuni na taa za nyuma. Engine na suspension system ni ile ile
Hata kimauzo nimeona Zhongtong Mega zinanunuliwa sana, wakurugenzi wameshaanza kuzielewa kuliko ilivyokuwa kwa Zhongtong ClimberZhongtong Bus
Walianza na Zhongtong Caesar, Zhongtong Climber na saizi wanatengeneza Zhongtong Mega.
Hao wanaopenda Climber ni kuwa wanapenda old fashioned na Climber hazitozalishwa tena. Zhongtong Caesar ndio ilianza sokoni ikafanyiwa maboresho makubwa kuanzia face-lift,side show,cock pit,engine, na muonekano wa nyuma.
Zhongtong Mega ni maboresho machache ya Zhongtong Climber kwenye Taa za mbele,show ya ubavuni na taa za nyuma. Engine na suspension system ni ile ile
Kwenye speed basi zote ni sawa hakuna mchina wala mzungu tofauti ni vitu technical ya kumpa unafuu dereva abiria na mmiliki.Muulize Sauli kule nyanda za juu Kusini ana Polo za kutosha anakalishwa na Mchina Zhongtong mega za New Force
Mchina sio wa kumchukulia poa kama wengi mnavyojiaminisha
Zilikuwepo Scania Irizar kanda ya ziwa wamejifia wamemwacha Ally's na tena enzi hizo alikuwa na Kinglong
Wachina kwenye kuunda body wako vizuri ni vile tu chuma nyingi tunazoziona hapa bongo kutoka China ni za inter-city luxury coach designed for AfricaChina kampuni za mabasi nazo saizi zimeanza kazi ya kuuza body. Unawapa chasis ya gari unayotaka wanakutengenezea body. Ukitaka chasis ya Scania au Man Diesel wanakupa
Uko sahihiKwenye speed basi zote ni sawa hakuna mchina wala mzungu tofauti ni vitu technical ya kumpa unafuu dereva abiria na mmiliki
Wachina kwenye Basi na maroli wanatumia Engine za Cummins ila zina majina tofauti kulingana na zilipozalishwa na watengenezaji wa hapo China.Engine ni Weichai au Cummins?
Quality Vs QuantityKwenye speed basi zote ni sawa hakuna mchina wala mzungu tofauti ni vitu technical ya kumpa unafuu dereva abiria na mmiliki.
Tofauti ya mchina na mzungu kwenye basi ni mfumo wa Suspension system (mchina anatumia leaf spring na Europe wao ni airbag suspension)
Gari za kichina kwenye engine wanatumia bado sio electronic controlled zina mechanical pump, wakati Scania wapo na Electric pump. Na Scania engine saizi wapo kwenye Euro 5,6 Emission Standard wakati mchina ni Euro 2,3 standards. Kwenye gear shifting Tofauti ni Europe gear ni very soft na kwenye automatic kama Scania ina opticruise (10 speed gearbox) mchina hata Higer Bus ambazo kaweka auto ni ile gearbox ya kawaida Ukiweka D,R,P haina manoeuvre ya kuruka gear au kuzipangua kwa emergency.
Kwenye retarder, hapa tofauti ni kubwa sana. Kwenye gari za mchina zinazoingia nchini kwetu retarder ni option kuna basi zinakuja na retarder na nyingine hazina.
Mchina anatumia Eddy Current Retarder kwenye basi zake na hii ndio chanzo cha ajali nyingi sehemu zenye mvua au maji maji yakigusa sehemu ya retarder na madereva wengi baada ya kutoka mfumo engine brake(stopper) wao wanajiachia wanajua retarder ndio kila kitu.
Gari za ulaya wanatumia hydraulic retarder wakina Volvo,Benz,Scania hii inakupa ufanisi hasa na kupunguza matumizi ya brake ya mguuni. Kwa madereva wazuri hii inampa maisha marefu ya brake pass,shoes na akiwa speed ndogo au anapotaka kusimama haraka akitumia unaona uharaka wa gari kupungua speed.
Kuhusu muonekano wa Body kila mtengenezaji ana design yake nzuri ya kuvutia mtu yeyote.
Zjnanua howk sjo kwa ubora Quakity nk urahic tu wa bei compare to scania ,benz na Man ....Na kwenye upande wa trucks naona sasa hivi HOWO E7 new model inanunuliwa sana. Wanapoelekea wanaipiga gap FAW.
Ila pale Mchina wa SINOTRUK alituliza akili chuma imetulia sana ndio maana kampuni nyingi zinainunua HOWO E7 kwa kasi sana
Wewe unalo la bei rahisi?Zjnanua howk sjo kwa ubora Quakity nk urahic tu wa bei compare to scania ,benz na Man ....
Inaonekana yana bei kali,halafu bila shaka spea zake zitakuwa adimuHayana soko hapa bongo
Basi kama hauna taarifa kamili tuishie hapa
FAW nao wana chuma yao JH6 ile ni msumari balaa.Na kwenye upande wa trucks naona sasa hivi HOWO E7 new model inanunuliwa sana. Wanapoelekea wanaipiga gap FAW.
Ila pale Mchina wa SINOTRUK alituliza akili chuma imetulia sana ndio maana kampuni nyingi zinainunua HOWO E7 kwa kasi sana
kwa namna ambavyo hio C919 imekopa teknolojia nyingi USA sioni ushindani itakaoleta. Naona tu ikianza kuleta jam watawanyima access ya hizo system walizokopa US kisha drop in sales itafata kama ilivyofanywa huawei.hapa nakupinga kaka , boeing na airbus kuja kupata mpinzani mkali kutoka china kuna safari ndefu kidogo. Labda hiyo kampuni ifanye competition na akina ambraer, gulfstream,dasault ,bomberdier n.K japo napo kuna kakipengele
Wala hawakati screpa, kwa kampuni kubwa kubwa kama shabiby hizo bus huwa wanaziuza zinaenda kwenye kampuni changa changa. hivyo kama aliuziwa 200M akaja kuliuza 50M baada ya miaka 3 anakuwa hana hasara na unakuta kitu bado kiko pamba nyepesi. Chuma inapelekwa Chunya huko kupiga kazi au Tanga inaenda vijijini huko. Zingine zinapigishwa Moro kwenda Ifakara huko au Mahenge. Ukishakuwa na soko la kumalizia basi zako ndio unakuwa kama shabiby sasa kila baada ya miaka mitatu anashusha vyuma vipya basi 50 paap. Unakuta kalipa 30 tu 20 kapewa mkopo.Sasa m 800 siti 60 nauli mfano elf 40 utaingiza milioni 2.4.
M 800 kwa Mchina mikocheni unapata tatu kwa dhamana ya 3 unapewa 2 za mkopo.
Achilia mkopo hizo 3 tu ni sawa na siti 180 zidisha kwa elf 40 unaingiza milioni 7.2 Mara tatu ya scania.ndani ya mwaka milioni 800 imerudi wakat scania atahitaji miaka 6 ndo arejeshe hio m 800.
Kwa kudumu ni scania miaka 15 kwa comfortability,Raha mustarehe,ushindani wa abiria chukua Mchina baada ya miaka 5 unazikata screpa unaingiza zingine 10.
Biashara ya mabus inaendana na matoleo ya fasheni
Golden Dragon ni uchafu tu. Kwa sasa mwekezaji ni bora alete scania tu zitadumu mda mrefu zaidiGolden Dragon ndio supplier pia wa mwendo kasi hapa Tanzania
Vipi kuhusu Zhongtong?