China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Speed/ kuchanganya mapema na stability ya climber ipo poa kuliko mega

Sent using Jamii Forums mobile app
Zhongtong Bus

Walianza na Zhongtong Caesar, Zhongtong Climber na saizi wanatengeneza Zhongtong Mega.

Hao wanaopenda Climber ni kuwa wanapenda old fashioned na Climber hazitozalishwa tena. Zhongtong Caesar ndio ilianza sokoni ikafanyiwa maboresho makubwa kuanzia face-lift,side show,cock pit,engine, na muonekano wa nyuma.

Zhongtong Mega ni maboresho machache ya Zhongtong Climber kwenye Taa za mbele,show ya ubavuni na taa za nyuma. Engine na suspension system ni ile ile
 
Engine ni Weichai au Cummins?
 
Mega imesimama wanaiita umeme
 
Hata kimauzo nimeona Zhongtong Mega zinanunuliwa sana, wakurugenzi wameshaanza kuzielewa kuliko ilivyokuwa kwa Zhongtong Climber

Na wameleta zenye choo kama za Achimwene na Maning

Kimwonekano pia zinavutia
 
Muulize Sauli kule nyanda za juu Kusini ana Polo za kutosha anakalishwa na Mchina Zhongtong mega za New Force

Mchina sio wa kumchukulia poa kama wengi mnavyojiaminisha

Zilikuwepo Scania Irizar kanda ya ziwa wamejifia wamemwacha Ally's na tena enzi hizo alikuwa na Kinglong
Kwenye speed basi zote ni sawa hakuna mchina wala mzungu tofauti ni vitu technical ya kumpa unafuu dereva abiria na mmiliki.

Tofauti ya mchina na mzungu kwenye basi ni mfumo wa Suspension system (mchina anatumia leaf spring na Europe wao ni airbag suspension)

Gari za kichina kwenye engine wanatumia bado sio electronic controlled zina mechanical pump, wakati Scania wapo na Electric pump. Na Scania engine saizi wapo kwenye Euro 5,6 Emission Standard wakati mchina ni Euro 2,3 standards. Kwenye gear shifting Tofauti ni Europe gear ni very soft na kwenye automatic kama Scania ina opticruise (10 speed gearbox) mchina hata Higer Bus ambazo kaweka auto ni ile gearbox ya kawaida Ukiweka D,R,P haina manoeuvre ya kuruka gear au kuzipangua kwa emergency.

Kwenye retarder, hapa tofauti ni kubwa sana. Kwenye gari za mchina zinazoingia nchini kwetu retarder ni option kuna basi zinakuja na retarder na nyingine hazina.

Mchina anatumia Eddy Current Retarder kwenye basi zake na hii ndio chanzo cha ajali nyingi sehemu zenye mvua au maji maji yakigusa sehemu ya retarder na madereva wengi baada ya kutoka mfumo engine brake(stopper) wao wanajiachia wanajua retarder ndio kila kitu.

Gari za ulaya wanatumia hydraulic retarder wakina Volvo,Benz,Scania hii inakupa ufanisi hasa na kupunguza matumizi ya brake ya mguuni. Kwa madereva wazuri hii inampa maisha marefu ya brake pass,shoes na akiwa speed ndogo au anapotaka kusimama haraka akitumia unaona uharaka wa gari kupungua speed.

Kuhusu muonekano wa Body kila mtengenezaji ana design yake nzuri ya kuvutia mtu yeyote.
 
China kampuni za mabasi nazo saizi zimeanza kazi ya kuuza body. Unawapa chasis ya gari unayotaka wanakutengenezea body. Ukitaka chasis ya Scania au Man Diesel wanakupa
Wachina kwenye kuunda body wako vizuri ni vile tu chuma nyingi tunazoziona hapa bongo kutoka China ni za inter-city luxury coach designed for Africa

Ila ukiziona zile luxury coaches zilizotengenezwa kwa ajili ya mataifa ya wenzetu hapo ndio utamjua Mchina kwenye body mtamu
 
Engine ni Weichai au Cummins?
Wachina kwenye Basi na maroli wanatumia Engine za Cummins ila zina majina tofauti kulingana na zilipozalishwa na watengenezaji wa hapo China.

Kuna Weichai Cummins, Dongfeng Cummins,Yuchai Cummins. Kwa mujibu wa wachina wao wanasema ya kwanza kwa ubora ni Weichai kisha zinafata zingine. Ila engine hizo zote ni sawa na parts zote zinaingiliana tofauti ndogo wameweka kwenye ukubwa wa bore na stroke, pia na nguvu inayozalishwa.
 
Kwenye speed basi zote ni sawa hakuna mchina wala mzungu tofauti ni vitu technical ya kumpa unafuu dereva abiria na mmiliki.

Tofauti ya mchina na mzungu kwenye basi ni mfumo wa Suspension system (mchina anatumia leaf spring na Europe wao ni airbag suspension)

Gari za kichina kwenye engine wanatumia bado sio electronic controlled zina mechanical pump, wakati Scania wapo na Electric pump. Na Scania engine saizi wapo kwenye Euro 5,6 Emission Standard wakati mchina ni Euro 2,3 standards. Kwenye gear shifting Tofauti ni Europe gear ni very soft na kwenye automatic kama Scania ina opticruise (10 speed gearbox) mchina hata Higer Bus ambazo kaweka auto ni ile gearbox ya kawaida Ukiweka D,R,P haina manoeuvre ya kuruka gear au kuzipangua kwa emergency.

Kwenye retarder, hapa tofauti ni kubwa sana. Kwenye gari za mchina zinazoingia nchini kwetu retarder ni option kuna basi zinakuja na retarder na nyingine hazina.

Mchina anatumia Eddy Current Retarder kwenye basi zake na hii ndio chanzo cha ajali nyingi sehemu zenye mvua au maji maji yakigusa sehemu ya retarder na madereva wengi baada ya kutoka mfumo engine brake(stopper) wao wanajiachia wanajua retarder ndio kila kitu.

Gari za ulaya wanatumia hydraulic retarder wakina Volvo,Benz,Scania hii inakupa ufanisi hasa na kupunguza matumizi ya brake ya mguuni. Kwa madereva wazuri hii inampa maisha marefu ya brake pass,shoes na akiwa speed ndogo au anapotaka kusimama haraka akitumia unaona uharaka wa gari kupungua speed.

Kuhusu muonekano wa Body kila mtengenezaji ana design yake nzuri ya kuvutia mtu yeyote.
Quality Vs Quantity

Mchina bado anayosafari ya kujifunza
 
Na kwenye upande wa trucks naona sasa hivi HOWO E7 new model inanunuliwa sana. Wanapoelekea wanaipiga gap FAW.

Ila pale Mchina wa SINOTRUK alituliza akili chuma imetulia sana ndio maana kampuni nyingi zinainunua HOWO E7 kwa kasi sana
Zjnanua howk sjo kwa ubora Quakity nk urahic tu wa bei compare to scania ,benz na Man ....
 
Basi kama hauna taarifa kamili tuishie hapa
images (1).jpeg
 
hapa nakupinga kaka , boeing na airbus kuja kupata mpinzani mkali kutoka china kuna safari ndefu kidogo. Labda hiyo kampuni ifanye competition na akina ambraer, gulfstream,dasault ,bomberdier n.K japo napo kuna kakipengele
kwa namna ambavyo hio C919 imekopa teknolojia nyingi USA sioni ushindani itakaoleta. Naona tu ikianza kuleta jam watawanyima access ya hizo system walizokopa US kisha drop in sales itafata kama ilivyofanywa huawei.
 
Sasa m 800 siti 60 nauli mfano elf 40 utaingiza milioni 2.4.
M 800 kwa Mchina mikocheni unapata tatu kwa dhamana ya 3 unapewa 2 za mkopo.
Achilia mkopo hizo 3 tu ni sawa na siti 180 zidisha kwa elf 40 unaingiza milioni 7.2 Mara tatu ya scania.ndani ya mwaka milioni 800 imerudi wakat scania atahitaji miaka 6 ndo arejeshe hio m 800.
Kwa kudumu ni scania miaka 15 kwa comfortability,Raha mustarehe,ushindani wa abiria chukua Mchina baada ya miaka 5 unazikata screpa unaingiza zingine 10.

Biashara ya mabus inaendana na matoleo ya fasheni
Wala hawakati screpa, kwa kampuni kubwa kubwa kama shabiby hizo bus huwa wanaziuza zinaenda kwenye kampuni changa changa. hivyo kama aliuziwa 200M akaja kuliuza 50M baada ya miaka 3 anakuwa hana hasara na unakuta kitu bado kiko pamba nyepesi. Chuma inapelekwa Chunya huko kupiga kazi au Tanga inaenda vijijini huko. Zingine zinapigishwa Moro kwenda Ifakara huko au Mahenge. Ukishakuwa na soko la kumalizia basi zako ndio unakuwa kama shabiby sasa kila baada ya miaka mitatu anashusha vyuma vipya basi 50 paap. Unakuta kalipa 30 tu 20 kapewa mkopo.
 
Back
Top Bottom