Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Nikuambie kitu biashara ya mabas bila kua mjanja mjanja kama wakina about kutoboa ni ngumu sanaBaada ya muda basi huchoka na utakuta imechoka na bado haijafanya ile return on investment
Exactly mkuu madereva wa mabasi TZ hukumu yao ingekua miaka 30 kama mbakaji ukitaka kujua ushenzi wao endesha pkpk highwayMadereva wa bongo ni wapumbavu sana bado wana ujinga na utoto. Kwa mfano hao wa Ally's, Katarama na New Force ni kama wendawazimu. Nchi za wenzetu wangekuwa wameshafungiwa leseni na kampuni kupigwa fine kubwa
Hapo tuko pamoja ujanja mmojawapo ni kununua Mchina kama walivyofanya hao uliowatajaNikuambie kitu biashara ya mabas bila kua mjanja mjanja kama wakina about kutoboa ni ngumu sana
polo g7 itachoka leo[emoji1787][emoji1787] barabarani kuna mapolo mengi namba A ya miaka ya 2000s
Abiria wengi tunapenda chombo kiwe kipya ndani kiwe kinavutia na ndio maana wenye mabas wengi wanapendelea ya kichina kwa sabab uwekezaj unarud fasta wanaleta jipya nyingineNikuambie kitu biashara ya mabas bila kua mjanja mjanja kama wakina about kutoboa ni ngumu sana
polo g7 itachoka leo[emoji1787][emoji1787] barabarani kuna mapolo mengi namba A ya miaka ya 2000s
Hii ni mojawapo ya sababu kwa nini Apple Inc. na Tesla walifungua factories pale nchini ChinaChina wananchi wake wanauwezo wa kununua luxury goods zotezote zinazouzwaa duniani purchasing power yao inazidi kukuwa kila siku
Unamaanisha nini?Afrika imeshika soko la vilaza duniani
Mimi sio mfanyakazi wa mabus ila ni msafiri mzuri sanaUngetaja sehemu hususa ungenielewesha vizuri
Hii diamler moja unanunua yuotong 3.View attachment 2679366Hii chuma (sijui ndiyo DIAMLER) nimeikubali sana.
Nimepata picha ndiyo imekuja bongo uwe na safari mfano ya Arusha halafu dereva asiwe kama hawa wa New Force na Happy Nation wanaondesha roho mkononi na kudondosha mabasi hovyo uta-enjoy sana.
Mchina gani unavutia kwa ndani hadi useme polo g7 litakosa abiria?Abiria wengi tunapenda chombo kiwe kipya ndani kiwe kinavutia na ndio maana wenye mabas wengi wanapendelea ya kichina kwa sabab uwekezaj unarud fasta wanaleta jipya nyingine
Achana na hiyo polo no.A ukiweka hata no.C kwenye kujaza abiria lazima upige ndumba nyingi miksa madalal wapokonye mizigo ya abiria ndio gari ijae kwa sabab mvuto kwa abiria utakua mdogo
Na siyo uwezo tu hata Bei hizo youtong 58 elfu ajijafika thamani diamler 32 elfu. Polo uwezi linganisha na mchina. Watu wanaleta ushabiki maandazi tuMimi sio mfanyakazi wa mabus ila ni msafiri mzuri sana
Naishi mwanza ila nimesomea dar malikizo yote nilikua narudi nyumbani
Nimeanza kupanda allys kipindi kile anamichongo zile gari zilikua zinatembea kinoma mwanza tulikua tunaingia sa 12
baadae nikaanza kusafiri na lucky star enzi hizo ni IRIZAR na ndio ilikua kiboko ya allys
Vijana wa stand hutanguliza mahaba mbele ila sisi wasafiri tunajua hauwezi kuiweka polo g7 na Yutong au golden dragon[emoji3] kwenye kila kitu
Nakumbuka niliwahi kupanda allys moja nyuma imeandikwa kitu kama Chester aiseee gari haina Comfortability ila inakimbia kama umeme[emoji119][emoji119]
Nimeshangaa sana kuona mtu anamuweka mchina mbele ya msweedeni[emoji1787][emoji1787]Na siyo uwezo tu hata Bei hizo youtong 58 elfu ajijafika thamani diamler 32 elfu. Polo uwezi linganisha na mchina. Watu wanaleta ushabiki maandazi tu
Yeah, I agree. Biashara ya mabasi is not about durability but version and muonekano. Kama tajiri unapenda scania nunua lako uwe unaendesha, lakini abiria watafutie kile wanachopenda.Sasa m 800 siti 60 nauli mfano elf 40 utaingiza milioni 2.4.
M 800 kwa Mchina mikocheni unapata tatu kwa dhamana ya 3 unapewa 2 za mkopo.
Achilia mkopo hizo 3 tu ni sawa na siti 180 zidisha kwa elf 40 unaingiza milioni 7.2 Mara tatu ya scania.ndani ya mwaka milioni 800 imerudi wakat scania atahitaji miaka 6 ndo arejeshe hio m 800.
Kwa kudumu ni scania miaka 15 kwa comfortability,Raha mustarehe,ushindani wa abiria chukua Mchina baada ya miaka 5 unazikata screpa unaingiza zingine 10.
Biashara ya mabus inaendana na matoleo ya fasheni
Hata Boeing na Airbus parts nyingi wananunua kutoka makampuni mengine tofauti na yaoNdege na biashara ya bus ni tofauti sana.
Angalia soko lao kubwa la mabasi liko wapi vs european buses
China inabidi waende far from C919 kufikia level za kina boeing. So far bado wanatumia foreign parts kwenye ndege zenyewe.
And hao wakina boieng na airbus si kwamba wamestop ku innovate na wao wanapambana.
Its not an easy game
Wako rafu sanaExactly mkuu madereva wa mabasi TZ hukumu yao ingekua miaka 30 kama mbakaji ukitaka kujua ushenzi wao endesha pkpk highway
Tembea kijana ujionee Mchina akivuka bodaMchina hawezi vuka boda thus zambia to Zimbabwe to south Africa Msweden ndo anatamba
Dar express akitaka kurudi kuwa mwamba wa kaskazini Hana budi Mchina, Kama ni scania awe anaingiza latest je ataweza? leta kina Marcopolo latest.Yeah, I agree. Biashara ya mabasi is not about durability bu version and muonekano. Kama tajiri unapenda scania nunua lako uwe unaendesha, lakini abiria watafutie kile wanachopenda.
Scania, Volvo na wengineo wana mabasi mskali sana, lakini tajiri huyu masikini hawezi kuyamudu.
Operating cost Ulaya iko juu zaidi ya China obvious hapo Yutong katengeneza pesa zaidi ya DiamlerNa siyo uwezo tu hata Bei hizo youtong 58 elfu ajijafika thamani diamler 32 elfu. Polo uwezi linganisha na mchina. Watu wanaleta ushabiki maandazi tu
IRIZAR ziliishia wapi mkuu?baadae nikaanza kusafiri na lucky star enzi hizo ni IRIZAR na ndio ilikua kiboko ya allys
Akithubutu kufanya hivyo anapoteanaDar express akitaka kurudi kuwa mwamba wa kaskazini Hana budi Mchina, Kama ni scania awe anaingiza latest je ataweza? leta kina Marcopolo latest.