China yasema inaiunga mkono Iran kulinda usalama na heshima yake

Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki ya kati.
Katika mazungumzo hayo waziri huyo wa China aliweka wazi kuwa kuuliwa kwa kiongozi wa Hamas,Ismail Haniye ndani ya Iran ilikuwa ni kitendo cha kichokozi na ukiukwaji wa maazimio ya kimataifa ya kuheshimiana kati ya nchi na nchi.
Tamko hilo la China linakuja wakati Pentagon imeidhinisha kupelekwa kwa meli zaidi ya kivita katika eneo la mashariki ya kati pamoja na silaha mbali mbali za kivita kutokana na kitisho cha vita vya wazi kutokea baina ya Israel na majirani zake.

China supports Iran in defending security, says foreign minister

China ametoka kusuluhisha makundi hasimu ya hamas na fatah ili waungane waweze kumpiga Israel lakini baada kama ya siku 4 kiongozi wa hamas Ismail Haniyeh akalipuliwa, Israel alishaweka wazi kwa yoyote aliyehusika na shambulizi la October 17 atashughulikiwa, China kama wanawependa hamas wawape hifadhi viongozi wa hamas ili wasiuliwe.
 
Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki ya kati.
Katika mazungumzo hayo waziri huyo wa China aliweka wazi kuwa kuuliwa kwa kiongozi wa Hamas,Ismail Haniye ndani ya Iran ilikuwa ni kitendo cha kichokozi na ukiukwaji wa maazimio ya kimataifa ya kuheshimiana kati ya nchi na nchi.
Tamko hilo la China linakuja wakati Pentagon imeidhinisha kupelekwa kwa meli zaidi ya kivita katika eneo la mashariki ya kati pamoja na silaha mbali mbali za kivita kutokana na kitisho cha vita vya wazi kutokea baina ya Israel na majirani zake.

China supports Iran in defending security, says foreign minister

Yaan ameshindwa kuichukua Taiwan akamiganie Iran. Uwe na wewe unafikiri. Ni vita gan china aliwah kupigana akashinda kwa uelewa wako.
 
Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki ya kati.
Katika mazungumzo hayo waziri huyo wa China aliweka wazi kuwa kuuliwa kwa kiongozi wa Hamas,Ismail Haniye ndani ya Iran ilikuwa ni kitendo cha kichokozi na ukiukwaji wa maazimio ya kimataifa ya kuheshimiana kati ya nchi na nchi.
Tamko hilo la China linakuja wakati Pentagon imeidhinisha kupelekwa kwa meli zaidi ya kivita katika eneo la mashariki ya kati pamoja na silaha mbali mbali za kivita kutokana na kitisho cha vita vya wazi kutokea baina ya Israel na majirani zake.

China supports Iran in defending security, says foreign minister

China ni mnafiki nani asiyemjua lakini iran isithubutu mziki wa myahudi anasubiriwa kwa hamu
 
Usingeandika ulicho andika.
Naandika kiahalisia sio kwa kuongozwa na hisia kama wewe. Nilikuwa hapa wakati uchumi wa marekani unayumba 2007-8 wakat wa Bush anaondoka na nimekuwa hapa wakati wote wa COVID. Uchumi wa China umeshikiliwa na wazungu amin Usiamin. Ingawaje kinachowasaidia ni wingi wao na utaratibu wao wa kiutawala. Ila mpaka ninavyoongea na wewe bado hawajarecover. Usione watu wanaongea hapo kwenye TV mzee. Underground hakuko poa kiivyo.
 
Umejuaje nimetumia hisia wakati nimekuuliza tu swali ?

"Unasema uchumi wa China umeshikiliwa na wazungu"

Twende sawa kwanza kabisa China ni nchi ya kikomunisti pasina kujali wanaufuta kwa asimilia 100% ama laah hivyo moja kwa moja uchumi upo mikono mwa serikali sasa nataka uniambie ni asilimia ngapi ya wazungu wapo au wamiliki wa serikali ya China ?

FDI isikusombe na kuona umiliki wa uchumi upo kwa watu gani hata hivyo FDI yenyewe kwa kiasi kikubwa ni mataifa toka hapo hapo Asia hapa sijazungumzia uwekezaji wa ndani.

Twende na hayo niliyokuuliza huwa napenda napo jadiliana na mtu masuala kama haya tunaenda facts with facts.
 
Kwanza kabisa china ni nchi ya kikomunist Lakin huu ukomunisti wao sio ule wa Zaman. Maana baada ya chairman Mao kufa. Aliyefuata sera yake ilikuwa ni hachagui paka wake ni wa rangi gan maadam anaweza kukamata panya yeye atamtumia. Which means haijalish ni sera zip atafuta cha msingi china ipate uchumi mkubwa. Pili. Ukitaka kujua uchumi wa china ukoje nenda soko la hisa la shanghai. Uangalie uwekezaji china ni akina nani wanaongoza kwa kuwekeza. Although uchumi wa dunia umeshikamana. Nionyeshe products 30 za kichina zimeweza kupenya kwenye soko la dunia na zikahit. Ukiacha tiktok Alibaba na na hiz simu fake zinazokuja Africa ambao ulaya haziruhusiwi hata china kwenyewe hazina vibali kuuza ndani. Ni kweli kuwa mchina katumia fursa ya wazungu kupeleka viwanda na kuzalisha mabilionea wengi Lakin mzungu akitoa viwanda vyake china uchumi unayumba mbaya. Mchina anajithad sana lakin bado. Hata ndege aliyotengeneza juz kati material kachukua huko huko Boeing. Ninachowakubali hawa fareast ni kuwa ni wazur kukopi na kujaribu bila kukata tamaa. Hilo Mungu kawajalia sana. Hakuna kitu utampelekea mchina akuambie hataweza kutengeneza kulikon hivyo atasafiri mpaka huko uzungun kwenda kukifatiwlia kinatengenezwaje nae afyatue. Lakin pia uchumi cku hiz ni ngumu kumilikiwa na serikali 100 pasee coz ukianzisha kampuni ili ikue iwe ya kimataifa lazima uuze hisa. In china serikali inacontrol sera mipango usalama na uchumi kwa jumla ila soko ndio linaamua hatima ya kila kitu. Ambayo hiyo sio china tu hata marekan ukigundua kitu ambacho usalama wa nchi wakiona wanaweza kukiktumia kwa manufaa ya nchi kinakuwa cha nchi.
 
Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki ya kati.
Katika mazungumzo hayo waziri huyo wa China aliweka wazi kuwa kuuliwa kwa kiongozi wa Hamas,Ismail Haniye ndani ya Iran ilikuwa ni kitendo cha kichokozi na ukiukwaji wa maazimio ya kimataifa ya kuheshimiana kati ya nchi na nchi.
Tamko hilo la China linakuja wakati Pentagon imeidhinisha kupelekwa kwa meli zaidi ya kivita katika eneo la mashariki ya kati pamoja na silaha mbali mbali za kivita kutokana na kitisho cha vita vya wazi kutokea baina ya Israel na majirani zake.

China supports Iran in defending security, says foreign minister

China lazima awaunge mkono Iran na hata kijeshi anaeza kuja Fanya ivo mambo ikiharibika ...na hii ni kwakua wananjijua wako wachache bila kusaidiana hawatoboi kwa NATO
 
Kwa kujua hilo ofisi za Pentagon zinazikimbiza meli zake zote kubwa kwenda mashariki ya kati haraka.
Wanajua uchokozi wa Israel sasa umeanza kuchafua eneo lote.
 
Mossad walivyosema waliohusika wote na oct 7 , watauawa mmoja baada ya mwingine popote pale walipo duniani , hilo neno popote pale walipo nadhani wadau hawakulitilia manan nakudhani ni tamathali za semi ttu
 
China ataweza figisu za wayahudi. Anafikiri marekani kuwakumbatia wayahudi anapenda. Ni kwa sababu wamejipenyeza katika siasa za Marekani. Inawalazimu Marekani awe anahusika kila inapotokea Israel kawasha moto uko mashariki ya Kati. Leo hiii China iliyoshindwa kumzuia Spika Nancy Pelosi asiende Taiwan 🇹🇼 na akaenda akaa siku moja na kuondoka na kuwaaacha wachina wakikata viuno kwenye bahari. Ndio wataweza kumzuia Myahudi ambae nyuma ya myahudi kuna USA 🇺🇸, Canada 🇨🇦, France 🇫🇷, Germany 🇩🇪, England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿, Italy 🇮🇹 na Japan. Na hata haawa warusi waliopo kwenye system wana asili ya kiyahudi. Na isitoshe bihashara anaowategemea kufanya nao kibiashara ndio hawo G7. Naona hanguko la uchumi la China limekaribia kama atajihusisha na siasa za mashariki ya kati.
Kwamba hao uliowaorodhesha hapo ndio wanaweza kuuwangusha uchumi wa China kwa muunganiko pamoja na Israel?

Unaelewa unachokisema lakini?

China hii hii yenye economic espionage kali ambayo hata huyo muisrael mwenyewe anasubiri?
 
Ilmu yako ni hadi sunday school ya ngapi shekhe???
Wewe unafikiri wote ni mashekhe. Mashekhe wanarusha mawe uku wenzao wakiwachapa risasi na kufa. Na bado wanaendelea na uchokozi. Ngoja tuone wapalestina wakiamishwa moja kwa moja apo Gaza na hakuna mpuuuzi yeyote atakayefyatua mdomo na kuingilia kati. Mchina mpuuzi kaanza kujua dunia ya figisu juzi juzi. Katishiwa kuongezewa kodi katika bidhaaa akawa anapiga magoti kila siku. Wamemuaribi kampuni ya Huawei na ajafanya chochote
 
Kwanza kabisa china ni nchi ya kikomunist Lakin huu ukomunisti wao sio ule wa Zaman. Maana baada ya chairman Mao kufa. Aliyefuata sera yake ilikuwa ni hachagui paka wake ni wa rangi gan maadam anaweza kukamata panya yeye atamtumia. Which means haijalish ni sera zip atafuta cha msingi china ipate uchumi mkubwa. Pili. Ukitaka kujua uchumi wa china ukoje nenda soko la hisa la shanghai. Uangalie uwekezaji china ni akina nani wanaongoza kwa kuwekeza. Although uchumi wa dunia umeshikamana. Nionyeshe products 30 za kichina zimeweza kupenya kwenye soko la dunia na zikahit. Ukiacha tiktok Alibaba na na hiz simu fake zinazokuja Africa ambao ulaya haziruhusiwi hata china kwenyewe hazina vibali kuuza ndani. Ni kweli kuwa mchina katumia fursa ya wazungu kupeleka viwanda na kuzalisha mabilionea wengi Lakin mzungu akitoa viwanda vyake china uchumi unayumba mbaya. Mchina anajithad sana lakin bado. Hata ndege aliyotengeneza juz kati material kachukua huko huko Boeing. Ninachowakubali hawa fareast ni kuwa ni wazur kukopi na kujaribu bila kukata tamaa. Hilo Mungu kawajalia sana. Hakuna kitu utampelekea mchina akuambie hataweza kutengeneza kulikon hivyo atasafiri mpaka huko uzungun kwenda kukifatiwlia kinatengenezwaje nae afyatue. Lakin pia uchumi cku hiz ni ngumu kumilikiwa na serikali 100 pasee coz ukianzisha kampuni ili ikue iwe ya kimataifa lazima uuze hisa. In china serikali inacontrol sera mipango usalama na uchumi kwa jumla ila soko ndio linaamua hatima ya kila kitu. Ambayo hiyo sio china tu hata marekan ukigundua kitu ambacho usalama wa nchi wakiona wanaweza kukiktumia kwa manufaa ya nchi kinakuwa cha nchi.
Elimu haina mwisho unahitaji kujifunza yaliyo mengi.
 
Ulishasikia China amepeleka jeshi lake kulinda usalama sehemu yoyote duniani?
Mission nyingi tu wameshiriki na mpaka sasa wanashiriki na ni miongoni mwa nchi zinazo peleka wanajeshi wengi katika kulinda amani.
 
nchi gani walikwenda?

Ninajua India ndiyo inaongoza kwenye mission za peacekeeping za UN
 
China ataweza figisu za wayahudi. Anafikiri marekani kuwakumbatia wayahudi anapenda. Ni kwa sababu wamejipenyeza katika siasa za Marekani. Inawalazimu Marekani awe anahusika kila inapotokea Israel kawasha moto uko mashariki ya Kati. Leo hiii China iliyoshindwa kumzuia Spika Nancy Pelosi asiende Taiwan 🇹🇼 na akaenda akaa siku moja na kuondoka na kuwaaacha wachina wakikata viuno kwenye bahari. Ndio wataweza kumzuia Myahudi ambae nyuma ya myahudi kuna USA 🇺🇸, Canada 🇨🇦, France 🇫🇷, Germany 🇩🇪, England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿, Italy 🇮🇹 na Japan. Na hata haawa warusi waliopo kwenye system wana asili ya kiyahudi. Na isitoshe bihashara anaowategemea kufanya nao kibiashara ndio hawo G7. Naona hanguko la uchumi la China limekaribia kama atajihusisha na siasa za mashariki ya kati.
Endelea kuona anguko la china hivyo hivyo
Uchina kaishajishirikisha totally kwenye siasa za Asia magharibi labda uwe hujui
Kuwafanya Iran na Saudi kupatana nizaidi ya kujihusisha maana inajulikanwa wenye mashariki yakati wengi ila Giant's ndio hawa
Kuwaoatanisha makundi zaidi ya 14 ya Palestine wakiwemo hamas na fatah pia nikujihusisha pakubwa
Kutaka liundwe dola huru la Palestine ni kujihusisha
Sijui unataka uchina ajihusisheje na hayo masuala ya hapo
Mwisho hao G7 si wameshirikiana na israhell kuipiga ghaza wamekomboa mateka au wameifuta hamas
Dunia ilikua inaendeshwa kipropaganda ila tumeiona kama kuna maisha nje ya hao wanaojiita G7 na wao sio wanaoamua kila kitu duniani kama mnavyotaka kutuaminisha
Dunia imejua kama israhell ipo over rated saaana
China anaeweza kumuangusha ni Mungu pekee
Italy ipo huko G7 na iligomea BRI ila hatimae imeenda kupiga goti yenyewe kwa uchina
Labda G7 nyengine unayoisema wewe
Kwanza hio G7 siasa hakuna kitu kama hicho duniani kivitendo kimaneno kipo
Mwisho -Iran ina haki ya kujilinda kila mpenda haki anajua hili
 
Back
Top Bottom