4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
wewe unajuwa kuhusu corona kuzidi WHO ? na China ? yaan China wasiseme uhusika wa Magharibi ika wewe ndo useme kwa niaba ya China ?Ndio umeandika nini sasa hapa na wewe nae?? Hebu rudi ukajitawaze kwanza huko ulipotoka ndio uje ucomment hapa nyau wewe..
Kwanza unajua hata aliyeanzisha vugu vugu la kumtoa Viktor Yanukovych madarakani na kisha baadae kumpachika Petro Poroshenko? Na kwa nini unawaita waukraine waliokuwa ni anti-west kwamba wao ni waasi? Hivi ndivyo western media zilivyowapumbaza?
Kuhusu corona hapo ndio hujui chochote zaidi ya kile WHO walichokuwa wanakwambia na kusikia kwenye local news outlets, heri ukae kimya tu
Ccmu imekuharibu akili sana , wajinga kama nyiny ndo mtaji wa viongoz wabov , unaujuwa ukwel ila upo kutetea unafiki utafikiri unalipwa kusimama na unafiki ?