Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Unadhani kwanini wazungu wasiende kuushikilia uchumi wao ukawa mkubwa kama ama kuuzidi huo wa uchinaNaandika kiahalisia sio kwa kuongozwa na hisia kama wewe. Nilikuwa hapa wakati uchumi wa marekani unayumba 2007-8 wakat wa Bush anaondoka na nimekuwa hapa wakati wote wa COVID. Uchumi wa China umeshikiliwa na wazungu amin Usiamin. Ingawaje kinachowasaidia ni wingi wao na utaratibu wao wa kiutawala. Ila mpaka ninavyoongea na wewe bado hawajarecover. Usione watu wanaongea hapo kwenye TV mzee. Underground hakuko poa kiivyo.
Ukitoa Americant nchi ipi nyengine ya wazungu inaishinda china kwa uchumi imara
Sasa hao wazungu wanaujinga gani wasishikilie uchumi wao ukawa kama wa uchina badala yake wanauacha wa uchina unakua kila leo