Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Naomba nikusahihishe uchina hawakutangaza kuondoa umaskini kwanza tukubaliane hapaUchina imekuwa sana lakini ndan ya china hasa ukienda huko vijijn wanamaisha hayana tofauti sana na kule kwetu vijijn ni miaka minne tu serikali ilitangaza imemaliza umasikin lakini bado mindset hazijaish bado maisha ya usasa. Mchina hata akija kwako kupanga. Hicho chumba analala na kufanya store na kila kitu Anafanya kama mbongo tu. Tofauti na mzungu. Pili mchina maisha yake yeye ni hela tu anataka wakati mzungu sio watu wa material thing's coz kwake anataka kuishi real life.
Alichotangaza uchina nikupunguza maskini
Hili la suala la maisha vijinini kwa uchina kuwa puwa naunga mkono hoja