China yasema inaiunga mkono Iran kulinda usalama na heshima yake

Unadhani kwanini wazungu wasiende kuushikilia uchumi wao ukawa mkubwa kama ama kuuzidi huo wa uchina
Ukitoa Americant nchi ipi nyengine ya wazungu inaishinda china kwa uchumi imara
Sasa hao wazungu wanaujinga gani wasishikilie uchumi wao ukawa kama wa uchina badala yake wanauacha wa uchina unakua kila leo
 


MBONA MATAMKO MENGI SANA UNAHANGAIKA NAYO HAKUNA MATENDO
 
Hili la kwamba bidhaa za china haziuzwi ulaya kakwambia nani unatuona wote wajinga?
Ishu tu nikwamba china bidhaa anayoipeleka marekan ulaya na arabuni na afrika zinatofautiana ubora tu
Hakuna bara hapa duniani nchi hapa duniani ambayo hawatumii bidhaa kutokea uchina hakuna
Tena uache kutudanganya mzee uache
 
Kwamba hao uliowaorodhesha hapo ndio wanaweza kuuwangusha uchumi wa China kwa muunganiko pamoja na Israel?

Unaelewa unachokisema lakini?

China hii hii yenye economic espionage kali ambayo hata huyo muisrael mwenyewe anasubiri?
Kuna vijamaa hapa jf vikiishashiba vinaona vinaweza kutudanganya tu vikiamua
Yaani sijui wanatuchukuliaje hawa watu
Tena anaona kaongea yamaana kwel kwel mwenyewe๐Ÿ˜€
 
Zama za mawe kwa risasi hizo ziliishapita
Nakuhusiana na wapalestina kuhamishwa ghaza hilo endelea kuliota hivyo hivyo
Israhell kuwahamisha wapalestina ghaza na kuifuta hamas na kukomboa mateka wake hawezi na asahau
 
Bidhaa za china sio kopi za china wewe mang'aa. Wewe ushaona wapi gari made in china linaendeshwa ulaya kama sio hizo hizo za foreigner walizowekeza ndio wanazouza kwao
 
Nimewaambia google hapo mfano leo uone ukuaji wa uchumi wa china miaka hii mitatu na huko nyuma uone utofauti wake.
 
Bidhaa za china sio kopi za china wewe mang'aa. Wewe ushaona wapi gari made in china linaendeshwa ulaya kama sio hizo hizo za foreigner walizowekeza ndio wanazouza kwao
Kama unashindwa hata ku gugo pole sina tena lakukusaidia
Ulaya na america wananunua mpaka masofa kutokea uchina kama hujui
Mnapenda kukaririshwa
 
Kama unashindwa hata ku gugo pole sina tena lakukusaidia
Ulaya na america wananunua mpaka masofa kutokea uchina kama hujui
Mnapenda kukaririshwa
Nakuambia mchina ana bidhaa chache sana anaingiza soko la ulaya. Bidhaa zake original ila wanazozalisha mwekezaji wanaingiza. Cjakuambia hawaingizi kabisa nimesema chache sana. Nyingi ni za hao hao wazungu. Na ukiingia kwenye soko la hisa la Shanghai angalia namna wawekezaji walivyowekeza na namna serikali ya china inawavutia.
 
Nimewaambia google hapo mfano leo uone ukuaji wa uchumi wa china miaka hii mitatu na huko nyuma uone utofauti wake.
Utofauti wa ukuaji wa china nyuma na sasa unatofauti kweli

Ila tu kwakukuongeze sio uchina tu bali dunia nzima ndani ya miaka hii mitatu mpaka mitano mataifa mengi kama sio yote uchumi wao ulikua kwa kuchechemea au haukukua yakiwemo ya ulaya

Sababu kubwa wanazodai kwanza ilianza makoronya na ikifuatiwa na Ukraine na Russia war

Sasa kabla hujaudis ukuaji wa uchumi wa uchina twende kwanza kwenye ulaya na marekani halaf tufananishe na uchina
 
Sasa ulitegemea dunia hii ya leo ya free market uchina isitegemee wawekezaji kutokea nje au ulitegemea kipi?

Uchina hizo kopi unazosema anakopi ndio kazigeuza kua fursa mpaka kuwa sec kwenye nyanja ya uchumi

Mchina hakwepeki mzee yaani ruka weeee ila lazima lazima lazima utamtegemea tu uchina
 
Ulaya na marekani hizo nchi zilishakuwa so uchumi hauwez kukua kwa kiwango cha china au india au Ethiopia Chief. Zikikua sana kwa asilimia 1 au 2 sio zaid. Siujui uchumi unauelewaje. Ni lini ulaya au marekani imekuwa kwa asilimia 5 au 8 mara ya mwisho?
 
Impact ya pelosi kwenda taiwan ni nini
 
Nakuelewa sana na naelewa points yako
Ukisema ulaya haiwezi kukua kiuchumi unamaanisha ulaya kama euro (wanaotumia sarafu) ama unamaanisha nini
Nchi kama ureno na spain washafikia hio pick kiasi wasikue tena kama german nk

Uchina ina maendeleo mengi na makubwa sana kuliko mataifa mengi kama sio yote ya ulaya kwasasa je nae hajafikia hio level yakuwa hakui tena kiuchumi

Tunaiongelea uchina ambayo ipo ya pili kiuchumi duniani
 
Uchina imekuwa sana lakini ndan ya china hasa ukienda huko vijijn wanamaisha hayana tofauti sana na kule kwetu vijijn ni miaka minne tu serikali ilitangaza imemaliza umasikin lakini bado mindset hazijaish bado maisha ya usasa. Mchina hata akija kwako kupanga. Hicho chumba analala na kufanya store na kila kitu Anafanya kama mbongo tu. Tofauti na mzungu. Pili mchina maisha yake yeye ni hela tu anataka wakati mzungu sio watu wa material thing's coz kwake anataka kuishi real life.
 
Mchina hakwepeki sikatai hata mzungu humkwepi. ni kama urusi. Pamoja na waropa kumpiga vita lakini urusi inamiliki rasilimali karibu robo ya dunia huwez kumkwepa
 
Yaan ameshindwa kuichukua Taiwan akamiganie Iran. Uwe na wewe unafikiri. Ni vita gan china aliwah kupigana akashinda kwa uelewa wako.
China kapigana vita na India akashinda hebu we tupe US kawahi pigana na Taifa kama la India akashinda. Hio Taiwan anacheza naye Dana Dana hataki tu bado kumpiga.
 
Mchina hakwepeki sikatai hata mzungu humkwepi. ni kama urusi. Pamoja na waropa kumpiga vita lakini urusi inamiliki rasilimali karibu robo ya dunia huwez kumkwepa
Mzungu bila kutumia ujanja ujanja wa kuungana ungana ambae asingekwepeka ni marekani peke yake
Ila vitaifa vya kipuuzi puuzi kama croatia sijui sweden wengi hawa wangekua hawajulikanwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ