China yasema inaiunga mkono Iran kulinda usalama na heshima yake

wewe unajuwa kuhusu corona kuzidi WHO ? na China ? yaan China wasiseme uhusika wa Magharibi ika wewe ndo useme kwa niaba ya China ?
Ccmu imekuharibu akili sana , wajinga kama nyiny ndo mtaji wa viongoz wabov , unaujuwa ukwel ila upo kutetea unafiki utafikiri unalipwa kusimama na unafiki ?
 
Ukiambiwa huna akili unaweza ukabisha

Canada kubwa kuliko Uchina mbona haijafikia level ya Uchina kama rahisi ?

Ukiaa huna akili usichangie
unahisi eneo linajijenga ?

Canada's population just passed 41 million while there are something like 1.2 billion Chinese.


Ukija kwenye ratio ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja ( itoe hii mikimbiz milala barabaran isiotaka kujenga kwao bali kudandia mafanikio ya wengine )

Canad is far ahead of china
 
Kama unajua kua eneo halijijengi kwanini ukaifananisha uchina na uingereza?

Uchina inatakiwa iheshimiwe sana yaani licha yakua na watu wote hao ila iangalie uchina na iangalie india au hata nchi nyingi za ulaya au zote zinawatu wachache ila zimeachwa mbali sana na uchina
 
Uingereza,italy wote hukopa china,na nchi nyingi tu za ulaya,huwezi linganisha uchumi wa china na canada,china is wealthy
 
Kafililwee mbele huko fala wewe, tena usini quote tena... nimechoka kujibizana na matahira
 
Marekani ametokea wapi Tena?

Kwahiyo adui wa Iran ni adui wa china pia?
Marekani ni adui wa IRAN na Marekani ni adui wa CHINA pia

Kipi usichokielewa hapo tukueleweshe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…