China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

Hizo haki za binadamu unazifahamu ?

Unaweza sema ni zipi zimevunjwa na China na zimelindwa na mataifa mengine ?
We jamaa unataka nirudie rudie mpaka lini?

Forced labour and forced organ harvesting kukamatwa na kufungwa kwa human rights activists

Unataka kukataa haya yote hayapo china
 
Huu ni uzuzu, kama wao hawataki mnawalazimisha nini?

Yaani wazanzibar watukatae kisha bara tutake kuwatala kinguvu? Hapana haiwezekani.

US sambaza Long range missiles hapo TAIWAN mapema. Bila kusahau Patriots.
Je Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika au ni sehemu ya Muungano wa Tanzania ?

Suala la Taiwan halina mfanano na suala lililopo Tanzania kuhusu Zanzibar na Tanganyika.
 
Hili swala haliwezi kutokea,

Na Xi akijaribu basi ujue China itaingia shimoni. I mean itarudi nyuma mara elfu ya ilipo sasa

Hauwezi ukaishambulia Demokrasia halafu watu wakuache tu ufanye unavyotaka.

Australia
Japan,
South Korea
European union na
USA

There is no way.....
 
Je Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika au ni sehemu ya Muungano wa Tanzania ?

Suala la Taiwan halina mfanano na suala lililopo Tanzania kuhusu Zanzibar na Tanganyika.
Umeshawahi kusikia wapi wazanziba wanataka kujitenga
We are both democratic countries na tunaishi kwa furaha na kupendana na kutegemeana

Taiwan is democratic China ina Autocratic leadership wapi na wapi?
 
Kama urussi aliyebaba wa nishati duniani kachemka sembuse mchina
?
China ina industrial supplies, Hana natural resources muhimu Kwa Dunia atakalishwa faster.

Hana gesi, hana mafuta....atakalushwa mapema kwa vikwazo
China anaongea tu lakini hawezi nusa hapo Taiwan. Watu watarusha vyuma mpaka hapo China.
 
Hivi unanielewa ninapozungumza kuhusu sera?

Sera ndizo zinazotoa mwelekeo wa nchi.

Embu nitajie taifa linalohaha sasaivi na covid 19, I mean sasahivi tunavyoongea zaidi ya China...?

Hii inatokana na sera mbovu za Afya.

Zero covid policy ni sera mbovu ya Afya ambayo ilikuwa inasisitiza massive lockdown, sasa madhara ya kuwekwa Karantini kwa muda mrefu kunafanya miwili kushindwa kujitengenezea kinga asilia yenyewe dhidi ya covid 19., hili sasa ndilo linalowatafuna wachina kwa sasa...

Japokuwa madaktari wa kichina walishaonya lakini selikari yao haiwasikilizi
Zero Covid policy ndio iliyo zuia maafa ya vifo vya watu.

Hayo mataifa ambayo haya kuchukua hatua hizo ndiyo yenye vifo vingi vya Covid19.

Covid19 ni janga la dunia ambalo haliwezi kuisha leo wala kesho hivyo ni vyema watu kuendelea na shughuli za kiuchumi muda ambao makali yamepungua huo ndio uamuzi serikali iliyo chukua.
 
Duh, data tu za covid 19 za wazi za China hakuna utasemaje nchi zina vifo vingi walakini data za covid 19 aa China hakuna anaezijua?

Zero covid policy imezuia nn mbona watu sasahivi china tunavyoongea bado wanakufa tena ni wengi compared na sehemu zingine
 
We jamaa unataka nirudie rudie mpaka lini?

Forced labour and forced organ harvesting kukamatwa na kufungwa kwa human rights activists

Unataka kukataa haya yote hayapo china
Forced labour imefanyika wapi China na hiyo human organ harvesting imefanyika wapi China ?

Una ushahidi na hivi vitu unavyo andika au waandika vile unavyo fikiri wewe
 
Zaidi ya 75% ya energy products China inaagiza nje na njia kuu ni malaka straight. Hii njia ikifungwa kwa vikwazo China kutakuwa na hali mbaya sana.

CCP hawajali wao wanachowaza ni usupa pawa tu. Xi anawaponza mtapotea vibaya sana. Kinachotokea urusi nadhani mnakiona
China inapigwa kwa energy sanctions, kisha US Navy inaingia baharini kuhakikisha sanctions zinafuatwa. Hakuna tanker inaruhusiwa kupeleka energy China, mwishowe China inatumia tankers zake na inaitegemea nishati ya Urusi ambao watagoma.

Hivyo tutarajie naval battle kali sana hapo China ikiwa inalinda fleets za tankers dhidi ya US Pacific fleet. Hapo Taiwan ishatekwa muda ila kimbembe kipo dhidi ya Marekani. Taiwan uso kwa uso na China wakiwa wenyewe tu haimalizi mwezi. China they are way more organised and superior than Russia, na Taiwan ina eneo dogo sana litakuwa overwhelmed na Chinese rockets, missiles, artillery, warships, drones na fighters.

Reaction ya Wachina nyumbani itategemea performance ya jeshi lao na naamini China itataka ifanye haraka kuliko ilivyowahi kuonekana duniani, ila vita zote wanaoanzisha hudhani zitakuwa haraka. Marekani ikitaka kutia machungu zaidi izuie imports na exports zote za China, tatizo halitokuwa uchumi kwa haraka bali njaa au kupanda bei za chakula, hawajitoshelezi kabisa kwa chakula wanaagiza sana
 
Umeshawahi kusikia wapi wazanziba wanataka kujitenga
We are both democratic countries na tunaishi kwa furaha na kupendana na kutegemeana

Taiwan is democratic China ina Autocratic leadership wapi na wapi?
Ni wapi nimesema Zanzibar yataka kujitenga hayo ni masuala yenu na taifa lenu sina maamuzi kuhusu nchi yenu
 
Ndiyo unapokimbilia kujilinda kwa madai ya eti sifahamu mengi? Endelea kujiliwaza
Ndio haufahamu mengi hayo maoni yako kuhusu kuamisha production wakitaka yana onesha ufahamu wako hafifu.

Afrika mna natural resources lakini mbona hawaleti huko ?
 
Forced labour imefanyika wapi China na hiyo human organ harvesting imefanyika wapi China ?

Una ushahidi na hivi vitu unavyo andika au waandika vile unavyo fikiri wewe
We jamaa wachina ambao ni walikuwa madaktari wa hospitali za kijeshi China wametoroka China wapo Europe na USA na ndio wanaolalamikia hili swala. Kumbuka sio wa west ni wachina wenyewe.

Waislamu wachina wa Urygur waliofanikiwa kutoroka kwenye makempu wapo ulaya na Marekani wanataka haki za ndugu zao ambao wapo kwenye containment wakifanyishwa kazi.

Unabishaje mambo ambayo yapo wazi?
 
China inapigwa kwa energy sanctions, kisha US Navy inaingia baharini kuhakikisha sanctions zinafuatwa. Hakuna tanker inaruhusiwa kupeleka energy China, mwishowe China inatumia tankers zake na inaitegemea nishati ya Urusi ambao watagoma.

Hivyo tutarajie naval battle kali sana hapo China ikiwa inalinda fleets za tankers dhidi ya US Pacific fleet. Hapo Taiwan ishatekwa muda ila kimbembe kipo dhidi ya Marekani. Taiwan uso kwa uso na China wakiwa wenyewe tu haimalizi mwezi. China they are way more organised and superior than Russia, na Taiwan ina eneo dogo sana litakuwa overwhelmed na Chinese rockets, missiles, artillery, warships, drones na fighters.

Reaction ya Wachina nyumbani itategemea performance ya jeshi lao na naamini China itataka ifanye haraka kuliko ilivyowahi kuonekana duniani, ila vita zote wanaoanzisha hudhani zitakuwa haraka. Marekani ikitaka kutia machungu zaidi izuie imports na exports zote za China, tatizo halitokuwa uchumi kwa haraka bali njaa au kupanda bei za chakula, hawajitoshelezi kabisa kwa chakula wanaagiza sana
Unapo yatazama hayo China tazama Afrika itakuwa katika hali gani njia hiyo kuu ikikumbwa na vita.

Kuhusu ushiriki wa marekani na mataifa mengi kwenye Vita moja kwa moja haiwezi kutokea.

Hali mbaya ya kiuchumi itakayo ikumba dunia kuanzia huko marekani, ulaya, amerika, asia, afrika itakuwa sio nzuri.

Masuala ya vita sio ya kuchekewa kama watu wanavyo furahia mchezo wa mpira wa miguu.
 
We jamaa wachina ambao ni walikuwa madaktari wa hospitali za kijeshi China wametoroka China wapo Europe na USA na ndio wanaolalamikia hili swala. Kumbuka sio wa west ni wachina wenyewe.

Waislamu wachina wa Urygur waliofanikiwa kutoroka kwenye makempu wapo ulaya na Marekani wanataka haki za ndugu zao ambao wapo kwenye containment wakifanyishwa kazi.

Unabishaje mambo ambayo yapo wazi?
Kwa sababu wao wamesema basi ni kweli. Huu ndio ushahidi so sad.
 
Ndio haufahamu mengi hayo maoni yako kuhusu kuamisha production wakitaka yana onesha ufahamu wako hafifu.

Afrika mna natural resources lakini mbona hawaleti huko ?
Yaani wewe ni kitimoto kweli, hivi unadhani kuhamisha producyion haiwezekaniki?
Afrika mnaponzeka na undumila zaidi ya kuwili mlio nao. Hamna uniformity lakini siku mkiweza kufanya cleansing hapo mdipo mtakimbiliwa kama partners badala ya beggars wanaoishi juu ya natural resourses
 
Kumbe mnafahamu matatizo yenu ambayo ndio kikwazo kwenu.

Jengeni bara lenu na nchi zenu hayo mataifa ya magharibi yatakuja tu huko.

Masuala ya China hauna ufahamu nayo licha ya kuwa una lazimisha uone unafahamu.
 
Back
Top Bottom