China inapigwa kwa energy sanctions, kisha US Navy inaingia baharini kuhakikisha sanctions zinafuatwa. Hakuna tanker inaruhusiwa kupeleka energy China, mwishowe China inatumia tankers zake na inaitegemea nishati ya Urusi ambao watagoma.
Hivyo tutarajie naval battle kali sana hapo China ikiwa inalinda fleets za tankers dhidi ya US Pacific fleet. Hapo Taiwan ishatekwa muda ila kimbembe kipo dhidi ya Marekani. Taiwan uso kwa uso na China wakiwa wenyewe tu haimalizi mwezi. China they are way more organised and superior than Russia, na Taiwan ina eneo dogo sana litakuwa overwhelmed na Chinese rockets, missiles, artillery, warships, drones na fighters.
Reaction ya Wachina nyumbani itategemea performance ya jeshi lao na naamini China itataka ifanye haraka kuliko ilivyowahi kuonekana duniani, ila vita zote wanaoanzisha hudhani zitakuwa haraka. Marekani ikitaka kutia machungu zaidi izuie imports na exports zote za China, tatizo halitokuwa uchumi kwa haraka bali njaa au kupanda bei za chakula, hawajitoshelezi kabisa kwa chakula wanaagiza sana