China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Huuu mwaka marekani atabanwa kote kote kama alivozoea kuwabana wenzake na nato yake
Wewe jamaa ndio huelew, mwenzako kacheza karata kali sana hapo kama ww2 tuu alikuwa kimya kaz yake kuuza silaha na chakula, ona sasa hiv jins kamsogezea russia mfupa ukrain anabanana nao, yy anauza silaha ametulia kwake, middle east yeye katulia anauza silaha soon utasikia china kabanana na ndugu yake taiwan yeye anauza silaha ama unazan ukisikia msaada wajua ni bure bure
 
Mataifa makubwa yajifunze Kwa vita vya Ukraine na Russia. Usidharau UDOGO WA TAIFA. Kibaya zaidi, population ya China NI kubwa mno na Taiwan ilivyo,haikopeshi kama Ukraine. Wao wanapigwa na kupiga. Ukirusha bomu popote pale china,vifo na majeruhi NI maelfu Kwa sababu ya wingi wap WA watu. Pili,INDIA anaangalia!!!
 
Hapo Ukraine unaona Russia kashindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…