China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Unafikiri US akiamua anashindwa kusupport vita zote hizo?
 
Me nashauri ule mlima Kilimanjaro inabidi tuuzunguke haraka kabla Kenya hawajapeleka jeshi Lao kufanya mazoezi mliman
Afrika pambaneni na njaa kwanza na maradhi. Mambo ya kigombea maeneo acheni hizo developed country

Food food food bado ni tatizo Afrika yote
 
Yaani ww una udini na ukabila pia ,,roho mbaya na chuki hazikusaidii kitu mkuu hatujuani ila kwa comment zako zinaonyesha tabia yako
Ukristo ulionao haujakufunza upendo maana unachuki za kijinga kweli
Usingenishambulia mimi na badala yake ungepinga hoja yangu kwa hoja sasa kwa kuwa huna hoja ndio na wewe unatoa shambulizi linaloonyesha kwamba wewe ndio una chuki za kidini.
 
Watu wana mipango ya maendeleo ya miaka mia mbili ijayo wewe unaota eti miaka 50 wataanguka. Endelea kuota.
 
Wapo mstari wa mbele mda huu.
🚨Update: Chinese PLA Army, Navy and Air Forces are surrounding Taiwan, cutting it off from the world! Tens of thousands of troops, hundreds of fighter jets and dozens of warships have been deployed….
Unapoteza muda kumbetia Mchina.
 
China anashangaza sana.

Kwani ni Lazima Taiwan iwe sehemu yake.
Kwa usalama wa China,Taiwan inatakiwa kuwa chini yake.Jiulize kwanini Tanzania inang'ang'ania Zanzibar?Mmarekani kushirikiana na Taiwani anatengeneza mazingira ya kumchungulia China kirahisi!China ni Threat kwa Marekani kiuchumi,so US anatafuta namna ya kumuangusha!
 
Umejibu vema sana na kwa weledi mkubwa.. Huwa sikariri majina ya watu
 
Is the world coming to an end?
Kule Korea
Hapo Iran
Pale Lebanon
Huku tuko bize na Mambo ya michongo, kujenga majumba ya kifahari kwa pesa za rushwa na uchawa.
 
Huyo hana maajabu, ingekuwa Muajemi ndo katamka hivyo dunia nzima ingekaa mkao wa kula kusubiri utekelezaji wa tukioo
 
... hata Russia kuivamia Ukraine ilikuwa mikwara tu!
NB: ... THIS TIME 'EVERY SHIT IS BECOMING REAL!'
TAKE A NOTE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…