China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

Ss ulitaka akawape pesa wakat watu wapo vitani
Kama aliweza kuipiga JAPAN hashindwi kuipiga nchi yeyote
IRAN ndio anazonyuklia facility waka deal nazo tu hakuna shida
Kama wao wanaakili nampaka IRAN kama anamiliki ujue anaakili ndio maana anamiliki
Mbona nyie huko kwenu usagara mmeshindwa kumiliki MKUU[emoji16][emoji38][emoji12]
 
China ka advance but me uwa naona mashaka makubwa kwa watu wanaibeza nguvu ya Us katika nyanja ya vita.
Us hawana gwalide kuonyesha vifaa vyao ila vita ikiaanza tutaona mengi ambayo macho hayajawai ona.
Mrusi kamtekenya vya kutosha hajibu mapigo.......toka US awe superpower hajapigana na taifa kubwa wanalolingana nalo kinguvu ....na hadi leo anaogopa kupigana na nchi ambayo anaona inauwezo pia wa kumtwanga kwake ....vita zake nyingi ni kwa kutumia proxies au kuvamia vitaifa vidogo....mrusi kaibeba Crimea wameufyata kimya wamebaki wanabweka tu........Mchina anaichukua Taiwan ni muda tu
 
Wengi hawaelewi haya mambo ,wamemezeshwa historia za darasani tu na za ma muvi ambazo ni propaganda za haohao wa magharibi
 
ni nani aliyekuambia kuwa Us alikuwa ana hand over responsibility dhidi usalama wa cremia?.
Crimea ni nini kwa Us?.
ikiwa Russia mbabe akairudishe kwa nguvu Alaska aliyoiuza kwa dola 100.
 
ni nani aliyekuambia kuwa Us alikuwa ana hand over responsibility dhidi usalama wa cremia?.
Crimea ni nini kwa Us?.
ikiwa Russia mbabe akairudishe kwa nguvu Alaska aliyoiuza kwa dola 100.
Kauza kwani alipokonywa? Na ajicheki asije mjapani nae akamgeuka alipize kisasi....maana mjapani alikubali kuufyata kwasababu hakua na option ila kwa sasa mambo yanabadilika USA kawa mchumba tu sio kama zamani, sahivi anapapasika vizuri tu
 
ni nani aliyekuambia kuwa Us alikuwa ana hand over responsibility dhidi usalama wa cremia?.
Crimea ni nini kwa Us?.
ikiwa Russia mbabe akairudishe kwa nguvu Alaska aliyoiuza kwa dola 100.
Ww jamaa bana[emoji38][emoji28][emoji16][emoji113][emoji113]
Sasa sehem kashaiuza unataka akaichukue kwan alipokonywa
 
sasa Cremia ni sehemu ya Us hata uone ni wajibu wa Us kuzuia Russia alichokifanya?.
 
Nasikia jamaa kiafya hayuko vzr. Kwamba soon yule mama atakuwa full manyota... Na ndio hakuna rangi tutaacha kuona
 
Ww jamaa bana[emoji38][emoji28][emoji16][emoji113][emoji113]
Sasa sehem kashaiuza unataka akaichukue kwan alipokonywa
🤣🤣huyo kasema Russia anaweza fanya chochote coz ni mbambe. sasa ajaribu hivyo ili tuone huo ubabe wake.
ikitokea umemuuzia mtu heka 6 za shamba la miti kwa thamani ya elfu 10 na mtu huyo ubavu unamzidi upo over everything juu yake nivipi ushindwe kwenda rudisha shamba lako kwa tenk? na unahisi kabisa alikuuingiza kingi, thamani ya kitu ulichomuuzia hakiendani na pesa aliyokupa!! .
😎😎
 
Ww unaijua thamani ya Alaska kuliko RUSSIA [emoji12][emoji16][emoji113]
 
Ww unaijua thamani ya Alaska kuliko RUSSIA [emoji12][emoji16][emoji113]
kwa hiyo Russia hajui thamani ya Alaska? ardhi yake na njia muhimu ikitokea vita atapitisha vifaru vyake kuingia Us, uthamani huo Russia haujui, ila at the same time unataka Us ajue thamani ya jimbo la cremia kitu ambacho hakimuhusu hana gharama nacho ila unataka Us aingie vitani na Russia, asipoingia vitani inakuwa ni sababu ya kuitwa Coward😂🙏🙏.
 
sio yake ila wana Treaty Taiwan.
Mtu anawapapasa kalio kila siku. ..... anawatumia mesej wajipange....mtu ameingiza hadi ndege zake kwenye anga lako we bado unabwabwaja tu anadhani alieingiza hizo ndege ni Iraq ama Afghanistan anaowaonea kila siku? Muda unakuja Taiwan inachukuliwa kama ilivyochukuliwa hongkong mtu akileta chokochoko anatandikwa tu.....kidume kaanza haya wakukapaswa toeni majibu acheni ngonjera
 
ni nani aliyekuambia kuwa Us alikuwa ana hand over responsibility dhidi usalama wa cremia?.
Crimea ni nini kwa Us?.
ikiwa Russia mbabe akairudishe kwa nguvu Alaska aliyoiuza kwa dola 100.
Crimea ilikua part ya Ukraine ambayo ni mwanachama wa Nato...hio Nato inaundwa na huyo marekani na mashoga zake kadhaa wa huko ulaya.....Mrusi kaibeba crimea na sehem ya Ukraine ambae ni mwanachama wa Nato na hawajamfanya kitu mrusi zaidi tu ya kuimba taarabu
 
Ukraine amekuwa akiomba kujiunga na nato for almost 15 years(sijui kwasasa) sasa wewe habari yakuwa cremia ilimegwa wakat Ukraine ikiwa ndani ya nato umezitoa wapi?.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…