ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

Nimekuambia Barrick Bulyanhulu wamepiga marufuku hizo mashine za kichina na nimeshaeleza sababu za kuzipiga marufuku na sitaeleza tena hapa.

It's obvious that the Chinese products have no name for quality but they gain easy access to many global markets just because of their low price, that's all.
 
Sio kwamba China wanajitangaza nchi za wenzetu wanapofanya research institutions zao zinakuwa zina-publish scientific research paper na ndio maana innovations ikifanyika inajulikana worldwide na inakuwa rahisi kulinda Intellectual Property rights

Kwa mfano hiyo habari ya China kuja na tech ya 4th generation nuclear reactor imeandikwa na Al Jazeera na kuna sehemu na wao wamechukua info kutoka REUTERS zote hizo sio media za China
 
Miaka 20 ijayo nchi zilizojipambanua kama nchi za kijamaa zitakwenda kasi sana kimaendeleo kutokana na watu wake kuwa na juhudi kubwa katika kazi na ubunifu na uzalendo,utu na maadili kuliko nchi za Kibepari. Ni wazi kuwa nchi za kibepari zimejenga ubinafsi na unyama jambo linalowaumiza wanadamu wengi kwa uroho wa watu wachache wasiokua na chembe ya kuridhika hata wakipewa mali zilote za Dunia watataka wapewe na sayari nyingine. Hafai kuishi peponi mana watataka kiti cha enzi kama Lusifer au shetwani.

Tanzania ni miongoni mwa nchi zitakaziinuka kiuchumi kwa kasi endapo itafanikiwa kuwaondoa mawakala wachache wa shetani waliopo kwa sasa katika viti vya ofisi za umma. Rasilimali zilizopo ni za Mwenyezi Mungu aliwaumbia watu wote waishi kwa amani na klfuraha ya moyo huku wakifurahia haki na usawa katika kufaidi huduma za Afya ,Elimu , na mahitaji ya msingi ya binadamu . Ziada ya hapo mtu ataipata kwa juhudi binafsi kama kujitegemea zaudi katika biashara. Lakini sio kukwapua rasilimali za umma na kuhamishia kwenye familia za watawala wachache .
 
iaka 20 ijayo nchi zilizojipambanua kama nchi za kijamaa zitakwenda kasi sana kimaendeleo kutokana na watu wake kuwa na juhudi kubwa katika kazi na ubunifu na uzalendo,utu na maadili kuliko nchi za Kibepari
Baadhi ya wachangiaji kwenye huu uzi hawataki huu ukweli
 
Nimekuambia Barrick Bulyanhulu wamepiga marufuku hizo mashine za kichina na nimeshaeleza sababu za kuzipiga marufuku na sitaeleza tena hapa.
NI wao wameamua kupiga marufuku hilo halitamuathiri hata kidogo manufacturer wa hizo mashine
 
FAW wanatumia engine za Weichai ambazo ni China based

Kama ulikuta engine na gear box ni ya Volvo basi waliipachika tu
Unajua watu mnakuwa na ubishi usio na maana wakati ni ukweli ulio dhahiri kwamba China ni taifa linaloagiza teknolojia kutoka nje kwa sababu yenyewe haina teknolojia.

Kuwa na tekinolojia sio mchezo ni kipawa ambacho nchi chache mno inacho na hazizidi labda nchi tano. Mataifa mengi, China ikiwemo, ni mataifa ambayo yanaweza tu kununua hiyo teklonojia au kuiba ndipo waipate na kuitumia.


Pia elewa kwamba hata wale waturuki wanaotengeneza reli ya SGR hawataki kabisa mashine za kichina labda hulifahamu na hilo.
 
It's obvious that the Chinese products have no name for quality but they gain easy access to many global markets just because of their low price, that's all.
Thats ur opinion

Large number of factories in China now manufacture goods that match western quality standards and sometimes even exceed them both high tech and high quality
 
Mkuu tukizungumza suala zima la machines, ulaya hawana mpinzani unless tutake tu ubishani.
 
Mkuu hiyo ni joint venture hilo ni jambo la kawaida kwa haya makampuni makubwa kibiashara. Hiyo ni means ya kuongeza wigo wa biashara

FAW ni kiwanda kimeanzishwa tangu 1953 jiulize kabla ya hapo walikuwa wanatumia engine gani?

Maana hiyo joint venture kati ya VOLVO na FAW ni ya miaka ya 2000s

Usishangae kuna joint venture nyingi tu mfano kati ya ya FAW-Volkswagen, FAW-GM, FAW-Toyota

Hebu ongeza uelewa kwanza hapa

A joint venture: is a strategic partnership where two or more companies develop a new entity in order to collaborate on a specific project or venture.
 


Waingie Taiwan waone! wanaongea sana ni vita gani China imepigana! ni waoga waoga sana hao
 
Pia elewa kwamba hata wale waturuki wanaotengeneza reli ya SGR hawataki kabisa mashine za kichina labda hulifahamu na hilo
Wachina haohao wamesaini deal la kumalizia km 506 kwenye hiyohiyo SGR ya Mturuki, $2.2-billion contract

Na niliona Waturuki wanatumia trucks za Kichina, HOWO. Sijui kama zilifikia quality walizokuwa wanataka hao Waturuki 😊

Kwenye game la reli, high speed railway, SGR, locomotives Mturuki anangoja sana kwa Mchina hata akatae mashine za Kichina
 
Kuna Shipyard ya China iitwayo Jiangnan Iko Shanghai , muda Huu inatengeneza MELI vita 13 ,Kwa wakati Mmoja.


Sasa hiyo ni Shipyard Moja tu.
Uko sahihi. Picha ya satellite inaoonyesha hivyo meli vita 13 ziko yard zinaundwa

052-DL destroyers: 4
055-cruisers: 2
054A-frigates: 2
075-amphibious assault ship: 1
076-amphibious assault ship: 1
coast guard ships: 3

Imagine this is just ONE shipyard in China

 
Si afadhali wao wameweza hata hiyo copy and paste. Je, ninyi wadanganyika mmefanya nn? Zaidi kubaki na threads za kupondea east na kuwatukuza west. PERIOD.
 
Yote unayoyasema ni sawa kwa sababu wanafanya kama sehemu ya jitihada za kujitangaza na kuonyesha dunia namna wao walivyo bora.
Pamoja na yote hayo lakini China bado ina kaushamba fulani na teknolojia na imekuwa kama inafanya vitu kwa ushindani tofauti na nchi zilizoendelea.
Nahisi kuna muda watazizoea na ushamba utawapungua kidogo
 
Mshamba ni ambaye hawezi kufanya innovation, kwa maoni yangu
 
Mh! Mkuu hapo umetupga mambo ya drones kutumika marekan skubali mchna kitu labda anaweza muuzia mmarekan n zile vjiko vyao lakn drones duh umetuonaje ss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…