Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.