kekundu
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 311
- 493
Sanaaaa,,watumishi wanapanda madaraja,,mishahara kaongezakwakweli kaupiga mwingi

Na upigaji pia umeongezeka maradufu.Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Number hazidanganyi peleka upumbavu wako kwenye vijiwe vya chadema 😆Chini ya sa100,
Uwajibukaji serikalini umeporomika
Wizi
Ufisadi
Uzembe
Ukiondoa uchawa, sa100 hatoshi kabisa kuendelea kuwa rais wetu, kipindi chake cha urithi kimethibitisha hivyo!!.
Uchawa ndio unawasumbua!! Kama amefanya kazi nzuri kwanini Ana kuogopa Lissu na kumbumbia kesi ya uhaini; na kuitumia mahakama kuishi fish’s Chadema? Bibi Huyo anapenda sana hela Ndio maana hataki kuondoka!Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Upo sawa kichwani?Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Mama Samia anafanya kazi kubwa sanaNumber hazidanganyi peleka upumbavu wako kwenye vijiwe vya chadema 😆
endelea nakusikilizaUpo sawa kichwani?
Hongera sana Rais SamiaRais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Chadomo na Haters wa SSH watachukiaRais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
yuko sawa sanaHongera sana Rais Samia
"Gharib sikubinyi sana, fanya biashara kwa uhuru "
Hapa kuna mambo matano mazuri ya Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyoonekana wazi katika uongozi wake:Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Kwahiyo mkaguzi mkuu wa serikali ni Chadema na Magufuli naye aliyefurusha mishahara hewa ni Chadema! Unapokuwa na kundi la wanachama wanaokubaliana kila kitu bila kuhoji ni sawa na kundi la vifaranga vya nyama vinavyoshangaa kuchinjwa.Number hazidanganyi peleka upumbavu wako kwenye vijiwe vya chadema 😆
nzuri sana hiiHapa kuna mambo matano mazuri ya Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyoonekana wazi katika uongozi wake:
- Kuimarisha uchumi wa taifa – Rais Samia amesisitiza uwekezaji, maendeleo ya miundombinu, na uwekaji wa sera zinazosaidia biashara ndogo na kubwa, jambo lililoongeza ajira na pato la Taifa.
- Kuboresha huduma za afya – Chini ya uongozi wake, upatikanaji wa huduma za afya umeimarishwa, ikiwa ni pamoja na chanjo kwa watoto na upanuzi wa vituo vya afya vijijini.
- Elimu bila vikwazo – Rais Samia amesisitiza elimu bila ada kwa shule za msingi na sekondari, kuhakikisha watoto wote wanapata fursa ya elimu bora bila vikwazo vya kifedha.
- Miundombinu makini – Amelenga katika ujenzi wa barabara, reli ya SGR, na bandari mpya kama Bandari ya Bagamoyo, ili kurahisisha usafirishaji na biashara ndani na nje ya nchi.
- Kutoa fursa kwa vijana na wanawake – Amekuwa mstari wa mbele katika kuunda ajira, kukuza uwekezaji, na kuhamasisha ushiriki wa wanawake na vijana katika biashara na sekta za kimaendeleo.
Nashukurunzuri sana hii
Hakuna mtumishi heqa Tanzani zililikuw chuki za jpm na publicity ya kifalaNa alijisifia kabisa kwa kuwalipa na kuwarudisha kazini watumishi hewa