Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Mama Samia anafanya kazi kubwa sana kwenye hii nchiMaendeleo ni watu, watu wanaongezwa mishahara, viva Samia
SIO KWELI ANADAI KODI SIO RAIS SAMIA"Gharib sikubinyi sana, fanya biashara kwa uhuru "
Mama ni jembe apewe maua yake. Mm si mtumishinwa umma ila nafurahi watanzania wenzangu wanavyofurahiRais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
NANI KAKUFANYA KUWA MSEAMJI WAO?HUO NI UONGO.WATUMISHI HATUJAONA HILO ONGEZEKO NA HATUMTAKI
Labda km we ni mtumishi wa shetaniHUO NI UONGO.WATUMISHI HATUJAONA HILO ONGEZEKO NA HATUMTAKI
Mama atashinda kwa qsilimia99%Labda km we ni mtumishi wa shetani
Mama atashinda kwa qsilimia99%
unazodata auChini ya sa100,
Uwajibukaji serikalini umeporomika
Wizi
Ufisadi
Uzembe
Ukiondoa uchawa, sa100 hatoshi kabisa kuendelea kuwa rais wetu, kipindi chake cha urithi kimethibitisha hivyo!!.
Kwanini kisiongezeke kama wenza nao wanakula mishaharaRais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi.
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika mwaka huo, Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ilitumia jumla ya shilingi bilioni 608.37 sawa na shilingi trilioni 7.3 kwa mishahara ya watumishi wa wizara na taasisi zake. Mwaka 2025|26, matumizi ya mishahara ya watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja.
wenza wako wangapi?Kwanini kisiongezeke kama wenza nao wanakula mishahara
kwakweli kaupiga mwingiKwenye mishahara kwakweli mh Samiah apewe maua yake,,,MITANO TENA