Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

Huyo mamako huku kanda ya kati wakulima wa alizet hatuna hamu naye, ameshindwa kulinda viwanda vidogovidogo vya ndani karuhusu mafisadi kuingiza mafuta kutoka nje matokeo yake bei imeanguka vby
Alizeti zenu pekee haziwezi kutosheleza Mahitaji ya mafuta hapa nchini ndio maana serikali inatoa kibali Cha uagizaji wa mafuta nje ya nchi ili kuziba pengo, tukifikia hatua ya kujitosheleza kwa uzalishaji wa ndani tu na kukidhi Mahitaji bila Shaka serikali yetu itapitia upya Sheria na Sera zetu za kikodi na ushuru ili kutoa fursa kwa wazalishaji wa ndani,lakini serikali yetu imizuia wakati uwezo wetu wa kukidhi Mahitaji ni mdogo tutajikuta Bei inapata juu Kama mwanga,mama yetu yupo Nasi na anatujali Sana watanzania na wakulima kwa ujumla
 
Nilishangaa vp huko porini hujaona speech ya mama?? hatimae umekuja.
Mimi nipo mkuu na ninaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia mzalendo wa kweli na aliyejitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu
 
Wewe usitafute Pesa kaa shabikia siasa mwisho wa siku utavuna ulichopanda. Siasa ni ujasiria Mali siasa ya kweli ni kupambana kutafuta Pesa Kijana.

Unasema udikteta kwani huyo dikteta Alikuzuia usilale na mkewako? Au Alikuzuia usiende chooni? Wacha ujinga Uhuru usio na mipaka ni ukichaatu.
 
mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
shukuru Mungu kama unapata mkate wa kila siku,
leo i met mvulana wa miaka btn 24-27 amevaa smart, travota, koti la suti but sijui alivyonitazama akapata tumaini na kuja kuniomba Buku imsaidie kwenye Daladala kwenda Tabata, anadai amemaliza Agro ecomic SUA kama miaka miwili na yupo tu home, aifanikiwa kupata mkopo lkn ndo hivyo ajira hakuna!!

alopoomba nauli siku na pesa ndogo nilichofanya baada ya kumdadisi na kuona its true ni mtu amesoma nikajipa moyo na kwenda nae hs restraunt tukapiga tea baadae nikamuacha na 5k....

ninachotaka kusema ni kwamba mtaani hali ni mbaya sana, watu hawana pesa, bidhaa zimepanda sana, kuna kaya wanashindia mlo mmoja.......kama taifa tunatakiwa kuangalia khs hilo!!!
 
Anayeingia shambani ana uhakika wa kulima kwa kuwa mbolea zinapatikana vizuri na soko la mazao ni la uhakika na hivyo kumlipa mkulima jasho lake,watanzania Ni vicheko na furaha mioyoni mwao,Hawana tatizo na mama Yao na Rais wao Mama Samia,Hata tupitiapo changamoto wanakuwa wenye Subira na uvumilivu kwa kuwa wanajuwa Ni kipindi Cha mpito na ha Hakiwezi kikadumu Milele Kama kovu la ajali ya Gari
 
Unafurahia Mchele kutoka 1,500 mpaka 3,000 na unga wa ugali kutoka 800 mpaka 1,700 haujui kuwa hii mfumuko wa Bei wa asilimia 100.
 
Anayekwenda hospitali anamatumaini ya kupokelewa vizuri,kusikilizwa na kupewa huduma Bora na stahiki,Anayekwenda mahakamani ana matumaini ya kupata haki yake kwa haki bila kuinunua haki yake ,Anayefaulu na kuchaguliwa kidato Cha Tano au chuo kikuu ana uhakika wa kutimiza ndoto zake bila kikwazo kwa kuwa mzigo wa gharama zote umebebwa na serikali ya Rais Samia ili hata watoto wanaotoka familia za kipato Cha chini waweza kupata Haki ya Elim
 
Mtoto wa kambo wa Mama Samia.
CCM choir ( kwaya kuu Lumumba )
 
Furaha hiyo ndio imepelekea nchi kuwa Tulivu,yenye amani na usalama wa kutosha,Hii ndio imepelekea umoja wa kitaifa kuimarika Sana wakati huu,furaha hii ndio imepelekea watanzania kumuunga mkono mh Rais katika juhudi zake za ujenzi wa Taifa let
 
Mda mwingine huwa najiuliza mnalipwa sh ngp kwa mapambio haya? Mama ana mazuri yake Ila kwenye ishu za kiuchumi kachemka vby, maisha magumu mno mtaani hela Haina thamani, kila kitu Bei juu, Hadi mahitaji ya kila siku mfano sabuni, maharage, mchele, unga nk....
Watumishi waliongezewa kiasi kidogo mno tofauti na ahadi lakini hata kile kidogo kimefuatwa kwa njia ya indirect maana baada ya nyongeza Bei ya kila kitu kilipaa, anyway hatuna pa kwenda hatuna Cha kufanya
 
Bado naunga hoja ya "mwaka huu ufutwe tuanze upya"
 
Ndugu zangu watanzania,

Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku.

Serikali na uongozi uliopo hasa Rais wa nchi una mchango mkubwa Sana katika furaha za wananchi wake,Watu hawawezi kuwa na furaha ikiwa Hali ya umaskini imekithiri nchini,uonevu Ni mkubwa,Udikiteta umeshika hatamu,watu hawana Uhuru wa kuzungumza na kutoa mawazo yao,Watu hawawezi wakawa na amani katika mioyo Yao ikiwa mtu Anamaliza chuo kikuu anabaki anaishi kwa kukata Tamaa pasipo matumaini ya kupata ajira au mkopo kupitia halmashauri au mtaji wa kufungua biashara mtaani,Watu hawawezi kuwa na furaha ikiwa mtu akienda hospitalini anakosa dawa muhimu na kusumbuliwa au kuzungushwa au kucheleweshwa kupata huduma.

Watu hawawezi wakawa na furaha ikiwa hawasikilizwi Wala kusaidiwa wawapo na changamoto,hawana wa kumlilia au kumtegemea Kama msaada wao au mtetezi wao au sauti Yao dhidi ya uonevu wa aina yoyote Ile au changamoto ya aina yoyote.

Katika kipindi hiki Cha uongozi wa Rais Samia furaha ya watanzania mitaani imekuwa ni kubwa Sana,Mioyo ya watanzania imechanua kwa furaha na amani,imejaa upendo na Tabasamu,Wanafuraha kwa kuwa wanasikilizwa na serikali yao ya mama Samia,Wana furaha kwa kuwa wanapata huduma za kijamii kwa wakati na karibu yao pasipo ubaguzi wa aina yoyote Ile, Hakuna anayelizwa Wala kuumizwa,hakuna anayeonewa au kukandamizwa.

Anayekwenda hospitali anamatumaini ya kupokelewa vizuri,kusikilizwa na kupewa huduma Bora na stahiki,Anayekwenda mahakamani ana matumaini ya kupata haki yake kwa haki bila kuinunua haki yake ,Anayefaulu na kuchaguliwa kidato Cha Tano au chuo kikuu ana uhakika wa kutimiza ndoto zake bila kikwazo kwa kuwa mzigo wa gharama zote umebebwa na serikali ya Rais Samia ili hata watoto wanaotoka familia za kipato Cha chini waweza kupata Haki ya Elimu.

Anayeingia shambani ana uhakika wa kulima kwa kuwa mbolea zinapatikana vizuri na soko la mazao ni la uhakika na hivyo kumlipa mkulima jasho lake,watanzania Ni vicheko na furaha mioyoni mwao,Hawana tatizo na mama Yao na Rais wao Mama Samia,Hata tupitiapo changamoto wanakuwa wenye Subira na uvumilivu kwa kuwa wanajuwa Ni kipindi Cha mpito na ha Hakiwezi kikadumu Milele Kama kovu la ajali ya Gari.

Furaha hiyo ndio imepelekea nchi kuwa Tulivu,yenye amani na usalama wa kutosha,Hii ndio imepelekea umoja wa kitaifa kuimarika Sana wakati huu,furaha hii ndio imepelekea watanzania kumuunga mkono mh Rais katika juhudi zake za ujenzi wa Taifa letu.

Ni furaha kila eneo Ni furaha kila mahali,Ni furaha kwa watu wote,Ni furaha kwa vyama vyote,ni furaha kwa Dini zote,Ni furaha kwa Rika zote na jinsia zote,Ni furaha katika vijiwe mitaani,Ni furaha masokoni,minadani,michezoni,vilabuni,mashambani,kwenye magari na Hadi vyuoni kwote Ni furaha tu kwa watanzania wote.

Hii ni kutokana na usikivu alionao mh Rais na utayari wa kumsikiliza kila mtu,kukaa na kuzungumza na kila mtu,kumpa nafasi mtu yeyote kuzungumza alilo nalo Moyoni mwake,kutenda haki katika kila maamuzi afanyayo,Kuzungumza lugha inayoeleweka kwa kila mtu,kutia faraja na pole kwa yeyote apataye tatizo au janga,kusimama nawananchi wakati wa shida na kutoa suluhisho kwa kero yoyote Na kuwapigania watanzania wakati wote.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana Mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Umetumia kipimo gani kupima furaha?Nadhani tuanzie hapo.Usikubali kupigia mwingi wana siasa mkuu,huo ni utumwa.
 
Mda mwingine huwa najiuliza mnalipwa sh ngp kwa mapambio haya? Mama ana mazuri yake Ila kwenye ishu za kiuchumi kachemka vby, maisha magumu mno mtaani hela Haina thamani, kila kitu Bei juu, Hadi mahitaji ya kila siku mfano sabuni, maharage, mchele, unga nk....
Watumishi waliongezewa kiasi kidogo mno tofauti na ahadi lakini hata kile kidogo kimefuatwa kwa njia ya indirect maana baada ya nyongeza Bei ya kila kitu kilipaa, anyway hatuna pa kwenda hatuna Cha kufanya
Hali ya uchumi chini ya uongozi wa Rais wetu Ni nzuri Sana,Hali ya biashara na shughuli nyinginezo za kiuchumi Ni zenye Afya Sana ,Ndio maana unaona hata makusanyo yameongezeka na kufikia Trioni mbili kwa Mwezi
 
Wewe usitafute Pesa kaa shabikia siasa mwisho wa siku utavuna ulichopanda. Siasa ni ujasiria Mali siasa ya kweli ni kupambana kutafuta Pesa Kijana.

Unasema udikteta kwani huyo dikteta Alikuzuia usilale na mkewako? Au Alikuzuia usiende chooni? Wacha ujinga Uhuru usio na mipaka ni ukichaatu.
Mimi Ni mkulima na kilimo ndio ajira yangu kuu ya kujipatia kipato Cha kuendeshea maisha yangu na mambo mengine
 
Back
Top Bottom