Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

Hali,dah,huo sio utafiti unaokubalika mkuu kitaalam.Ni bora ungenyamaza.No research no right to speak
Nimefanya utafiti,Kama nawe unataka uthibitisho Hilo juu ya furaha ya watanzania waweza kuingia mtaan na vijiweni
 
Sawa chawa.
Ila mkumbushe mama, wajawazito wanalia mahospitalini hasa hizi zahanati na hospitali za serikali.
Mama mjamzito anatozwa pesa kwa huduma za kujifungua, Tena kwa njia za oparesheni(upasuaji) gharama zipo juu mno, mwananchi wa kawaida hawezi kumudu.
Madawa ya hospitali hayashikiki.

Hiyo Furaha inatoka wapi?
 
Katika kipindi hiki Cha uongozi wa Rais Samia furaha ya watanzania mitaani imekuwa ni kubwa Sana,Mioyo ya watanzania imechanua kwa furaha na amani,imejaa upendo na Tabasamu,Wanafuraha kwa kuwa wanasikilizwa na serikali yao ya mama Samia,Wana furaha kwa kuwa wanapata huduma za kijamii kwa wakati na karibu yao pasipo ubaguzi wa aina yoyote Ile, Hakuna anayelizwa Wala kuumizwa,hakuna anayeonewa au kukandamizwa.
 
IMG-20230103-WA0085.jpg
 
Umefanya utafiti lini? Sample yako walikuwa nani? Hiyo longitufinal ya furaha kuanzia lini mpaka lini?
 
Rasmi.sasa hii sekta ya uchawa imekwisha rasimishwa.Kwa heshima na taadhima mbele ya majina yao tuanze kuwaita chawa,mfano Chawa Lucas Mwashambwa ,Chawa The Sunk Cost Fallacy nk nk
 
Kazi yangu Mimi Ni kuongea ukweli tu
Hakuna ukweli ulio ongea hapo mkuu,huo ni unafiki.Watu wanalia kila kitu mtaani kimepanda bei maisha ni magumu halafu wewe unasema watu mtaani wanafuraha,usitoneshe watu vidonda mkuu.Samia mtaani hatakiwi hatakiwi kabisa,2025 atapita kiaina tu,si kwamba anapendwa,maana tunajua atapita,hata asipopigiwa kura.
 
Hakuna ukweli ulio ongea hapo mkuu,huo ni unafiki.Watu wanalia kila kitu mtaani kimepanda bei maisha ni magumu halafu wewe inasema watu mtaani wanafuraha,usitoneshe watu vidonda mkuu.Samia mtaani hatakiwi hatakiwi kabisa.2025 atapita kiaina tu,si kwamba anapendwa,maana tunajua atapita,hata asipopigiwa kura.
Wana nchi Wana Imani kubwa Sana na mh Rais, watanzania waliona kipindi Cha mfumuko wa Bei ya mafuta na mbolea namna alivyofanya juhudi na kazi kubwa ya kukabiliana nazo,mfano katika mafuta mh Rais alitoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi,wakati katika kilimo hasa mbolea alitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini hatua iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni
 
Bado mbolea ni ghali mkuu 70,000/=,kwa Magufuli ilikuwa 58,000/= maximum.Halafuu,bidha sio mbolea tu,ziko nyingi,na almost zote zimepanda bei,zingine mara dufu.Maharage ambavyo ndiyo mboga ya mlala hoi bei sasa ni 4,000/=,utamshawishi vipi Mtanzania kwamba Samia ni mzuri,Magufuli ni mbaya,no way.
 
Bei ya mbolea haikupandishwa na Rais Samia na serikali yake, Bali Ni mfumuko wa Bei katika soko la Dunia,Ndio maana mama Yetu Rais Samia akaamua abebe mzigo huo wa kutoa mabillioni ya Ruzuku ili kuwapunguzia maumivu wakulima
 
Back
Top Bottom