Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Nimefanya utafiti,Kama nawe unataka uthibitisho Hilo juu ya furaha ya watanzania waweza kuingia mtaan na vijiweniHali,dah,huo sio utafiti unaokubalika mkuu kitaalam.Ni bora ungenyamaza.No research no right to speak
https://www.facebook.com/Nimefanya utafiti,Kama nawe unataka uthibitisho Hilo juu ya furaha ya watanzania waweza kuingia mtaan na vijiweni
Katika kipindi hiki Cha uongozi wa Rais Samia furaha ya watanzania mitaani imekuwa ni kubwa Sana,Mioyo ya watanzania imechanua kwa furaha na amani,imejaa upendo na Tabasamu,Wanafuraha kwa kuwa wanasikilizwa na serikali yao ya mama Samia,Wana furaha kwa kuwa wanapata huduma za kijamii kwa wakati na karibu yao pasipo ubaguzi wa aina yoyote Ile, Hakuna anayelizwa Wala kuumizwa,hakuna anayeonewa au kukandamizwa.
🙏Nimefanya utafiti,Kama nawe unataka uthibitisho Hilo juu ya furaha ya watanzania waweza kuingia mtaan na vijiweni
Sawa mkuu,ila ulichofanya ni kuwapigia mwingi tu wana siasa kwa kuwadanganya wadanganyika,nothing less.It seems wewe ni chawa.Nimefanya utafiti,Kama nawe unataka uthibitisho Hilo juu ya furaha ya watanzania waweza kuingia mtaan na vijiweni
[emoji3][emoji3][emoji3] duhWewe nahisi umetolewa msukule
Hutaki mambo mengi zaidi ya evidence
Kazi yangu Mimi Ni kuongea ukweli tuSawa mkuu,ila ulichofanya ni kuwapigia mwingi tu wana siasa kwa kuwadanganya wadanganyika,nothing less.It seems wewe ni chawa.
Leta hoja inayopingana na yangu na inayoonyesha unafiki wanguImekaa kinafiki Sana hii.
Hakuna ukweli ulio ongea hapo mkuu,huo ni unafiki.Watu wanalia kila kitu mtaani kimepanda bei maisha ni magumu halafu wewe unasema watu mtaani wanafuraha,usitoneshe watu vidonda mkuu.Samia mtaani hatakiwi hatakiwi kabisa,2025 atapita kiaina tu,si kwamba anapendwa,maana tunajua atapita,hata asipopigiwa kura.Kazi yangu Mimi Ni kuongea ukweli tu
Wana nchi Wana Imani kubwa Sana na mh Rais, watanzania waliona kipindi Cha mfumuko wa Bei ya mafuta na mbolea namna alivyofanya juhudi na kazi kubwa ya kukabiliana nazo,mfano katika mafuta mh Rais alitoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi,wakati katika kilimo hasa mbolea alitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini hatua iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoniHakuna ukweli ulio ongea hapo mkuu,huo ni unafiki.Watu wanalia kila kitu mtaani kimepanda bei maisha ni magumu halafu wewe inasema watu mtaani wanafuraha,usitoneshe watu vidonda mkuu.Samia mtaani hatakiwi hatakiwi kabisa.2025 atapita kiaina tu,si kwamba anapendwa,maana tunajua atapita,hata asipopigiwa kura.
Bado mbolea ni ghali mkuu 70,000/=,kwa Magufuli ilikuwa 58,000/= maximum.Halafuu,bidha sio mbolea tu,ziko nyingi,na almost zote zimepanda bei,zingine mara dufu.Maharage ambavyo ndiyo mboga ya mlala hoi bei sasa ni 4,000/=,utamshawishi vipi Mtanzania kwamba Samia ni mzuri,Magufuli ni mbaya,no way.Wana nchi Wana Imani kubwa Sana na mh Rais, watanzania waliona kipindi Cha mfumuko wa Bei ya mafuta na mbolea namna alivyofanya juhudi na kazi kubwa ya kukabiliana nazo,mfano katika mafuta mh Rais alitoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi,wakati katika kilimo hasa mbolea alitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini hatua iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni
Bei ya mbolea haikupandishwa na Rais Samia na serikali yake, Bali Ni mfumuko wa Bei katika soko la Dunia,Ndio maana mama Yetu Rais Samia akaamua abebe mzigo huo wa kutoa mabillioni ya Ruzuku ili kuwapunguzia maumivu wakulimaBado mbolea ni ghali mkuu 70,000/=,kwa Magufuli ilikuwa 58,000/= maximum.Halafuu,bidha sio mbolea tu,ziko nyingi,na almost zote zimepanda bei,zingine mara dufu.Maharage ambavyo ndiyo mboga ya mlala hoi bei sasa ni 4,000/=,utamshawishi vipi Mtanzania kwamba Samia ni mzuri,Magufuli ni mbaya,no way.