Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

Anaeuza hotelini sio mkulima, mtu anaepeleka kule ni mtu kati anapeleka hizo viazi vya standard flani so anachgua. Na hapeleki hivyo tu, usishangae anapeleka na broccoli na mazaga mengine huko. Hujawah kuona supplier kwenye mahotel inavyokuwa nn?
I know..issue ni reliabilty..hadi wanaimport unaweza kuta wameshajaribu soko la ndani wakashindwa.. Plus kumaintain hiyo uniformity hata kwa restaurant za dsm tu sio mchezo..tuko hapa tunawadiscuss kwa sababu wamefaulu ktk wanalofanya...and we all know viaz vina ladha tofauti tofauti na si vyote ni vizur kwa chips...sasa huyo wa kukusanya huku na huko na kule..SIJUI
 
Shikilia hapa kwenye sijui
 
Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule.

Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini

Shukran
Ushapigwa elf10 chips kavu tu hapo,mishahara ikitoka ni tabu sana,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nikutajie spices? Unaijua vinegar? Unaweka na unga wa njano kwnye ngano.
Kuna mashine ya kukatia viazi saizi moja na vile viazi vinamenywa kwa kujenga shepu ya mstatili so unakata nyama nyingi tu pembeni.
Vipande vile unavitia kwenye maji ya njano yaliyotiwa vinegar..

Lakin kutengenza chips tam mbona easy tu. Unataka kuuzia wap
Ebhana inaonekana unajua njia zao wanakopita
 
Olive oil ni gharama sana lita moja ni 16,000
Olive oil imekuwa dili sana ingawa ni nzuri kwa kukaangia chips
Olive oil Ulaya na duniani kwa sasa kuna fake nyingi sana kwa sababu ya bei yake
Imekuwa kama wauza unga
Mpaka mafia wa Italy wamo na wamekamatwa sana aisee
Hata mwaka huu kuna kesi nyingi tu za kuuza oil fake
Mjihadhari sana
 
Jambo lolote unalotaka kulifanya ili ufikie kila unachokitaka litakuchukua muda mpaka wewe kuja kui master kazi na kuanza kufanya hayo maajabu unayoyataja..

Sasa wewe mleta mada poteza muda wako na gharama hata ya bando la elfu 10 ingia YouTube, search unachotaka kisha nenda kaweke katika practice baada kipindi fulani utakuja kugundua hata recipe mpya ambayo itapendwa na watu kama ilivyo kwa kfc
 
Back
Top Bottom