Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

Kuna ule msemo unasema hakuna kama mama kila nikiutafakari naona kuna watu wana bahati sana,lkn kuna sisi wengine tunapitia machungu sana kwa mama zetu na inakuwa ni siri tu unaitunza moyoni bila kumwambia mtu yeyote!,yaani hadi inafika kipindi unajiuliza huyu ni mama yangu kweli!?
 
Mkuu em wekea bold hii post.
 
nakuelewa sana kaka wamama wa hivyo km wako wapo sana,
unapaswa kubadilisha mtindo wa maisha ili kukabiliana naye bila kugombana naye.
 
Mimi pia nina tatizo hili. Ni mwaka wa pili tangu nifahamu kwamba Kila ninachomshirikisha mama kinafeli. Kwa sasa najikusanya nihame mkoa kwa siri na kamwe sirudi hata nikisikia amefariki siji kumzika.

Nimejaribu ku Link dots hata huu umaskini unaotuandama unasababishwa na yeye.
What!!???

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Somemtimes wazazi ukiwaonyesha mipango yako mizuri hawachelewi kwenda kuyatangaza kwa watu wengne eiza ndugu zak au mashoga zake ndo hapo wakati mwingine vipengele vinavyoanzia
Hapa ndipo wazazi wengi wanapoharibu
 
Back
Top Bottom