We jifariji tu.Nmefurah sijaona usipige nyeto 🔥
Ukitubu na kumpokea Yesu moyoni mwako, ataikata 'kiu' ya uasherati na uzinzi. Hizo pisi utaziona kama dada zako tu. Kumbuka Yesu ndiye anayetuwezesha kushinda dhambi. Yesu alipokuwa duniani, zilikuwepo pia pisi kali wakati huo. Na Maandiko yanasema Yesu alijaribiwa katika mambo yote lakini hakutenda dhambi. Huyu Yesu ndiye atakayekusaidia kushinda na zaidi ya kushinda.Kwa hizi pisi zilizojazia minyama tunashindaje mkuu?
Asante kwa ujumbeNakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto'
2. Acha ulevi
3. Usiibe tena
4. Usirudie kusema uongo
5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipa kisasi
6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako
7. Acha dharau, waheshimu wanaostahili heshima
TUBU! GEUKA! ACHA DHAMBI ZAKO NA UMRUDIE MUNGU!
Miguel Felix Gallardo
Hii mada sio ya maana kwako?!
Siku zinakuja watu watatamani kuyasikia maneno ya uzima lakini hawatayapata.
Kisasi ni haki mkuu.5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipa kisasi
Unataka uthibitisho kuhusu nini?Anyway huwa navaa viatu vya watu wanaoamini hizi soga za kusadikika ila bado akili inagoma kuamini stori tu bila uthibitisho.
My friend, sijui kama nimekuelewa. Sasa kama siku ya leo tu umeboreka kwa sababu hujaona mada ya maana, hiyo fullest unayoiishi ni ipi? Sulemani alikuwa na mamia ya wake, alikuwa na chakula cha kumwaga lakini bado maisha aliyaona ya ubatili. Maisha yenye raha timilifu huwezi kuyapata hapa duniani. Raha ya milele tutaipata tutakapoingia mbinguni. Shetani alikuwa huko mbinguni, anaujua uzuri wa huko. Huyo ndiye anayewapotosha watu sasa na kuwafanya wasiiamini Injili ili wakose kuingia kwenye hiyo raha fullest. Mkatae shetani, na uje kwa Yesu leo.Ila for the records, i live every second of my life to the fullest.Ili hata siku nikihitajika kufa i have nothing left to prevent not to die.
Wewe huwezi nielewa mimi pia siwezi kukuelewa.Unataka uthibitisho kuhusu nini?
My friend, sijui kama nimekuelewa. Sasa kama siku ya leo tu umeboreka kwa sababu hujaona mada ya maana, hiyo fullest unayoiishi ni ipi? Sulemani alikuwa na mamia ya wake, alikuwa na chakula cha kumwaga lakini bado maisha aliyaona ya ubatili. Maisha yenye raha timilifu huwezi kuyapata hapa duniani. Raha ya milele tutaipata tutakapoingia mbinguni. Shetani alikuwa huko mbinguni, anaujua uzuri wa huko. Huyo ndiye anayewapotosha watu sasa na kuwafanya wasiiamini Injili ili wakose kuingia kwenye hiyo raha fullest. Mkatae shetani, na uje kwa Yesu leo.
Biblia inasema itamfaidia nini mtu kuupata ulimwengu wote(utajiri, mali, mapesa, wanawake, vilevi nk nk) halafu nafsi yake iangamie? (Marko 8:36)
Maandiko yafuatayo yanaonyesha wazi nyeto ni dhambi:Nyeto imekatazwa wapi kwenye biblia?